Kijana wa kiume aliye hitimu elimu ya chuo kikuu katika fani ya Biashara mwenye uwezo mkubwa sana wa kutumia computer hasa MS exel na Word processing anahitajika. Awe na uwezo wa kutengeza/kutumia pivotal tables, look up functions, scenario analysis, simple excel macros na uwezo wa kuchambua...
Mkuu tuma tatizo lako ukiambatanisha Na vielelezo vyako vyote customer-hotline@crdbbank.com; pia ukiona hupati ushirikiano ingia kwenye website ya crdbbank Plc, hapo utakuta email za wakurugunce wote wa Crdb escalate issue yako: na kuhakikishia masaa 12 Ni Mengi Swala lako litakuwa limekwisha!
Mkuu inategemea na scale ya kiwanda unachotaka kuanzisha, kuna Mashine wanauza wachina pale ubungo sh 12m hii ni mashine pamoja na mixer yenye uwezo wa kutoa Tofari nne kwa Mara moja. Pia kuna jamaa wanauza Mashine Tabata dampo mixer sh 3 hadi 4m pia Mashine kati ya sh 1.5 hadi 2.5m.
Mkuu kama sikosei hiyo nchi haina balozi hapa tanzania, kama unahitaji visa nenda Ubalozi wa German hapo utapata visa itakayo kuwezesha kuingia hiyo nchi mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.