STUPID “Only simple minds discuss people” muwe great thinkers great minds leteni ideas za kuleta maendeleo katika nchi.
Yaani muwe Na vyeti feki muuze madawa ya kulevya muangaliwe tu? Nyie akina nani???
Huyo mwendazake ndo size yenu hata mumseme ubaya kiasi gani aliwanyoosha mabwege kabisa...
Tutakuwa Manamba tu wa kuzalisha gesi watu 7000. Hakuna la ziada hapo na kulipa mikopo ya uwekezaji huo. Mzungu yeye ana Cheka tu hela inaingia mfukoni ulaya.
Tutabaki kuomba misaada miaka yote kwani tumelaaniwa.
Usisahau:-
1. Vyet feki kudhibitiwa
2. Mikataba ya hovyo ya wizi wa raslimqli za wananchi kurekebishwa kama Madini
3. Watumishi hewa
4. Miradi yenye tija kwa nchi badala ya marupurupu ya hovyo kwa safari na mikutano I siyo Na tija.
5. Kukomesha mafisadi
6. Kukomesha madawa ya kulevya
7...
Mkataba huu wa awali sijui kama ulikuwa sahihi kuukimbiza kwa haraka kwetu wananchi Na kuhudhuriwa Na mheshimiwa rais kwani bado haujaweka manufaa ya moja kwa moja kwa serikali yetu ukiacha qualitative information kama vile Ajira Na gharama ya uwekezaji iliyotajwa.
Watanzania wanahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.