Search results

  1. prince songoroka

    Nini nifanye ili nisome chuo bila ya ku-resit mtihani?

    Habar za leo ndugu zangu. Mwaka 2017 nilihitimu kidato cha nne na matokeo yangu hayakuwa mazuri kiasi cha kuridhisha. Mara baada ya kupata matokeo ya alama ya D tatu, nilikata tamaa na kushindwa kufanya namna ya kujiendeleza. Katika moja ya kuongea na watu nikaelekezwa chuo ambacho nilisoma...
  2. prince songoroka

    ALISON (website)

    Habar za usiku wakuu.... Napenda kuuliza hvi ile website ya alison ambayo inatoa course ladhaa za diploma na certificate, je vinaweza kuwa vinatambulika na TCU?
  3. prince songoroka

    Naomba ushauri tatizo nini?

    Habari za jioni wakuu, Napatwa na changamoto ya malalamiko kila ninapokutana na mwanamke kimwili analalamika tumbo linamuuma chini ya kitofu. Na afadhali hata angelikuwa mmoja lakini kila ninaekutana nae nikimaliza tu kusex nae akikaa kwa muda wa masaa 3 ananiambia tumbo linamuuma. Tafadhali...
  4. prince songoroka

    Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Nashukuru kaka!! Ila nimejifunza kwa kias cha kujifunza moja ya changamoto za mahusiano!!
  5. prince songoroka

    Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Kiuhalisia mm nina elimu kumshinda, na wakati nipo nae nilikuwa sijapata kazi ila kwa sasa nina kazi ila kama ulivyosema tamaa ndy inawaandama hawa wenzetu wa kushoto
  6. prince songoroka

    Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Sisomesh ila nilipaswa kumsubiri amalize masomo yke
  7. prince songoroka

    Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Tatzo kinakuja pale ambapo utamvumilia kwa kuhisi ni yule uliepangiwa na Mungu kumbe ni yupo mpigaji ambaye aliigiza kaletwa na Mungu .. Inahitaji akili mingi!!
  8. prince songoroka

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    wakuu naomba kupata ETS2 ambayo itakubali kucheza bila ya kuscratch kwenye hyo pc yenye specification hzo hapo
  9. prince songoroka

    Hatari za kuchelewa kuoa

    sijawahi kufikiri kama nitapitisha umri wa miaka 25 bila ya kuoa....... zenu dua
  10. prince songoroka

    Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

    hahahhaahhahahahhahahhhhahahhhhaaaaaa, nimeipenda hyo
  11. prince songoroka

    Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

    kiufupi, ulichoambiwa ndicho ambacho niliambiwa mm juzi tu nilipoenda kwenye sherehe ya rafiki yangu. niliwekwa kikao na wazee wa4 na wte walinisisitiza kuoa, na vigezo ulivyoambiwa ndy hvy hvyo ambvvy na mm niliambiwa.... kuna shiri gani kati ya wazeeeee wetu hawa... wanasubiri utayar wangu...
  12. prince songoroka

    Love is blind ☹️

    inabidi tuamini kwamba uaminifu upo na usaliti upo, ila vinzidia rates!!! kuna watu wanapata bahati ya kupata waaminfu ila wenyew wanakuwa si waaminifu haijalishi ni kwa mwanaume au mwanamke..... hyo inategemea ila ni sawa na kubeti kwenye mkeka wa man u na liverpool
  13. prince songoroka

    Je, ni umri upi sahihi wa kijana kuoa?

    Ndugu zangu, napata shida sana kuelewa mawazo tofauti tofauti ya wazazi na walezi wetu. Mara zote wazazi wangu na walezi pamoja na ndugu na jamaa wanao wanaonizunguka wamekuwa wakisisitiza nioe mara baada ya kuona nimepiga hatua flan kielimu na kiuchumi.. Na mara zote wamekuwa wakisisitiza...
Back
Top Bottom