Kitufe iko unaweza tafuta course unayotaka ila huwezi pata info kuhusu IELTS au application fee. All in all vyuo vyote UK vinahitaji hiyo cheti ya lugha if didn't know now u know
Nilikuwa sijaingia umu siku nyingi.
Naona watu wanasema mimi ni mganga nimekuja kufanya marketing 😂😂😂
Jamani mimi nimewasilisha nilichosikia mengine nimekuachia msomaji
Najua huwezi amini ila nachokwambia ni uhalisia.
Mamangu afe kesho kama nimedanganya, nilichokwambia ndio nilichokisikia ndio maana ile sauti bado naiskia toka saa 6 mchama nimeona hilo tukio. Hata mm nilibaki najiuiza inawezekana vipi
Kuna ile tu mtu aonyeshe interest hata kama haumkubalii ila just kupata feedback kuwa watu wanaona nafaa...sasa kama kimya kabisa ni hali inayotisha.
Mimi nilishindwa kumshauri kwa kuwa simjui na aliyekuwa anaongea nae ni kama mtaalam wa tiba na mambo ya kiroho so alikuwa anamwelezea ampe msaada
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.
Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni
" Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa"
"Nikitaka...
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.
Nataka nipambane nikasome majuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.