Nani kasema risk ya mfanyakazi ni ndogo? Akifa? Akifutwa kazi?
Halafu bank sio wameload operating expenses kwenye mikopo, hio ndio kazi yao, bank ni mahali pa kukopa pesa, so automatically pesa yao itatokana na mikopo
Kizazi cha sasa hakielewi utalii wa mapori,
Inabidi tubadilike, watu wanataka utalii wa bata,
Mikutano mikubwa na vitu kama hivyo, matamasha ya muziki na movie, matamasha ya biashara nk
Sema tukusaidie wew, halafu kingine wakati sisi tunasoma hesabu wew ulikuwa busy na sket,
Back to topic, riba kuwa kubwa hutegemea, muda unaokaa na mkopo, ukikaa nao sana riba inakuwa kubwa + risk katika market ya nchi za dunia ya tatu ni kubwa, eg unampa mtu mkopo wa biashara ya magari ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.