Nimefuatilia nyuzi zako kuna uzi uliandika kuwa umemfumania mke wako umemsamehe ila amekataa kurudi nyumbani.
Kwenye huo uzi ulisema unamiaka 40 ila na ndoa yako inamiaka 15 sasa leo unatuambia unamiaka 30 na ndoa yako inamiaka 6 .
We jamaa hivi unatuchukuliaje kwanza aise ondoa uongo wako humu...
Vijana hawataki usaili wanataka kitonga.Juzi tu kuna mwalimu aliweka uzi wa kulalamika kufanyiwa usaili. Sasa nasema hivi mpende msipende mtafanyiwa usaili tu. Iwe dharau isiwe dharau mtafanyiwa usaili.pumbavu mnataka kupewa kazi bure wakati wengine wanafanyiwa usaili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.