Search results

 1. B

  Hashimu Rungwe ndani ya tuongee asubuhi tar 28-7-2017

  KATIKA KIPINDI CHA TUONGEE ASUBUHI KINACHOANZA SAA MOJA NA NUSU KATIKA STAR TV KESHO ATAKUWA MZEE HASHIMU RUNGWE KUELEZEA KUHUSU MIKUTANO YA KISIASA KUZUILIWA HAPA NCHINI
 2. B

  Novatus Makunga-Kutoka mkuu wa wilaya ya Hai hadi Mtangazaji!

  HAKUNA MFANYABIASHARA ASIYEDAIWA NA KAMA WEWE NI MFANYABIASHARA NA HAUDAIWI BASI NI KANJANJA.FUATILIA KWA MZEE MENGI MIEZI MIWILI ILIYOPITA ALIPUNGUZA WAFANYAKAZI 40 NA JUZI KAWAONDOA WENGINE NA MISHAHARA IMEKUWA SHIDA LAKINI NENDA MWANANCHI HALI NI HIYO HIYO NENDA KWA MANJI.KWA TAARIFA YAKO...
 3. B

  Novatus Makunga-Kutoka mkuu wa wilaya ya Hai hadi Mtangazaji!

  MAKUNGA SIYO MSOMA HABARI BALI NI MHARIRI MKUU LAKINI CRUMBLING COMPANY KWA VIGEZO VIPI ?
 4. B

  Novatus Makunga-Kutoka mkuu wa wilaya ya Hai hadi Mtangazaji!

  Makunga tuko naye ni bosi wetu Star Tv na wala siyo kazi yake kusoma magazeti mnapotosha sijui kwa maslahi ya nani ? Yeye ni mhariri mkuu. Mngefanya utafiti basi kidogo na wala siyo mtangazaji.Lakini magazeti yanasomwa Dar es Salaam na wala siyo Mwanza.Bosi Makunga tangu aanze hapa Star Tv mara...
 5. B

  Novatus Makunga-Kutoka mkuu wa wilaya ya Hai hadi Mtangazaji!

  No reasearch no right to speak,Makunga mkataba wake ulimalizika akiwa DC wa Moshi na Siyo Hai
 6. B

  Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

  Kwa nafasi ya mbunge wa kuteuliwa sheria na masharti ni yale yale sawa na mbunge wa jimbo,viti maalumu na huyo mbunge wa nafasi kumi za Rais.kinachoangaliawa ni aina ya kuapishwa.wabunge wote uapishwa na spika ndani ya bunge lakini nafasi za kuteuliwa na rais uapishwa na rais katika ikulu ya rais.
 7. B

  Abdallah Majura ajitosa ubunge

  Abdalla Majura mbona aligombea nafasi ya kuomba kuteuliwa na CCM hata mwaka 2010 kwa bahati mbaya wengi wetu bado wachanga sana katika siasa lakini ndiyo tunaongoza kwa kuchonga
 8. B

  Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

  kuna nafasi za kuteuliwa na kuna nafasi za kuchaguliwa kidemokrasia na wanannchi.Naibu waziri ni nafasi ya kuteuliwa hali kadhalika mkuu wa mkoa ni nafasi ya kuteuliwa lakini mbunge ni nafasi ya kuchaguliwa na wananchi.Kwa utaratibu unaotumika katika nafasi za kuteuliwa pale rais anapokuteua...
 9. B

  Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

  lowassa ni janga la kitaifa angekuwa dr slaa sawa lakini huyo mtu hapana kwa sisi tunayemfahamu lakini kwa mliomjulia ukubwa mnashabikia msichokifahamu
 10. B

  Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

  Kazi ipo tanzania,unamkumbuka mtu anayeitwa chambo alikuwa katibu mkuu wa ujenzi mnamo mwezi Februari aliteuliwa mkuwa katibu tawala wa mkoa wa Manyara,Je anashikilia vyeo viwili ? Nikusaidie kwa akili ya kawaida rais anapofanya uteuzi automatically cheo cha kwanza kinakuponyoka na kubaki na...
 11. B

  Uandishi wa Johnson Mbwambo na Uzalendo wake kwa Urais wa Edward Lowassa

  Je ukisikia mchungaji ama sheikh wanampinga shetani ni sababu ya maovu yao yatakuwa hadaharani siku moja ?
 12. B

  Makamu wa Rais Gharib Bilal kutangaza kukihama chama cha Mapinduzi

  Kwa mujibu wa Mshauri wa Siasa na Mwandishi wa Hotuba za Makamu wa Rais,Ndugu John Mapinduzi, hakuna kitu kama hicho,labda watu wanaamua kujitekenya na kisha kucheka wenyewe.Tuache uzushi wa namna Hui,hauna tija.Yeriko alishatudandanya mengi kuhusu Dr Slaa,mara ooh ataongoza...
 13. B

  Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

  kuna malalamiko hapo ? hakuna anayelalamika bali tunaeleza hali halisi
 14. B

  Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

  hatuwezi kuiga tabia yake chafu na ndiyo maana tulimkata kwa hiyo acha uchafu wake aje nao chadema
 15. B

  Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

  tanzania ya sasa kununua vyombo vya habari na wahariri ni kitu cha kawaida na lowassa huo ndiyo mchezo wake labda nikukumbushe uchaguzi wa 2005 jinsi alivyomnunua mhariri wa mwananchi na kuandika habari mbaya za dr salimu ahmed salimu lakini nikija suala la kuzomea mbona ni kitu cha kawaida...
 16. B

  Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

  na sasa amewanunua chadema wamekuwa kama mazombie
 17. B

  Huyu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa apinduliwe kwa kuwa too local

  huwezo wa kuuza chama kwa bilioni kumi ?
 18. B

  Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

  kaka umeamua kuhama na gamba Lowassa kwenda chadema ? Maana uso umeumbwa na aibu ni vigumu kwako kumwacha kutokana na kukupa mtaji wa kuanzisha kagazeti
 19. B

  Tundu Lissu: Kwanini sikumpokea Lowassa, adai ndiye mwandishi wa Orodha ya Mafisadi

  Virus vimehamia chadema sasa ni ccm mbele kwa mbele na mtaisoma namba na mafisadi wenu
Back
Top Bottom