Search results

 1. M

  Ufisadi wa kutisha katika Jiji la Arusha kupitia ukusanyaji wa fedha za Usafi Mitaani

  Kujifunza ni pamoja na kusikiliza ushauri wa watu wengine, Tumekushauri kuwa makadirio yako yana makosa mengi sana ikifuatiwa na msukumo wa kiitikadi ya kisiasa, Jaribu kuhudhuria mikutano ya mitaa na fika ofisi za mitaa na kata uliza chochote unachokuwa na mashaka utajulishwa, Hoja zako kiufupi...
 2. M

  Ufisadi wa kutisha katika Jiji la Arusha kupitia ukusanyaji wa fedha za Usafi Mitaani

  Ukitanguliwa na mihemko unajikuta unashindwa kujenga hoja vizuri, Kwanza kila mtaa umejipangia kiasi gani kilipwe kwa kila kaya na si 2,000/= kila kaya kwa mitaa yote kama unavyotaka kutuaminisha, Pili rudi kafanye utafiti ujue mtaa mmoja una kaya ngapi na mapato yanayopatikana kwa mwezi kwa...
 3. M

  Lowassa ukiambatana na Kingunge kujibu hoja za Prof. Lipumba umekwisha

  Ushabiki wa Siasa ni tofauti kabisa na ushabiki wa michezo mingine,Kwanini tuwalazimishe watu wamshabikie au kumpenda kiongozi fulani na hatufanyi hivyo kwenye ushabiki wa michezo, tujijengee mazoea ya kuwaachia watu washabikie au kupenda kiongozi yeyote na tujikite kwenye kupambanisha hoja.
 4. M

  Ongezea tofauti kati ya Mbowe na Zitto hapa

  Mleta uzi naona amekuja kupima joto la mahasimu wawili likoje kwa sasa.
 5. M

  Mzimu wa "Bunge Live" wamwandama Nape

  Baada ya Muda kidogo watabaini ushauri huo haukuwa mzuri hata kidogo,tuvute subira kidogo.
 6. M

  Kwanini Rais na Serikali wanawahadaa wafanyakazi kuhusu punguzo la kodi?

  Nafikiri Wahusika pia wanajua kuwa somo la Hesabu ni janga kwa watu wengi ndio sababu ya kuwahadaa wananchi namna hiyo. Kwa uzoefu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara husika,Waziri husoma kwa style ya kuwachanganya wasikilizaji yani atasema hivi: 1.Mapato yasiyozidi 2,040,000/= ( ambayo ni shs...
 7. M

  Mchakato wa kumkabidhi Magufuli CCM waanza

  Wacha wampe ili ajenge heshima kwenye chama pia.
 8. M

  Neema kwa wafanyakazi yatangazwa na Rais Magufuli

  Watu wa mahesabu ni wajanja sana,wanakuaminisha namba ndogo ukija uhalisia unakuta umekatwa zaidi ya 20%. Afadhali amejaribu kupunguza watu wa TRA nao wawe na huruma na watumishi katika kuweka hizo fomulars zao.
 9. M

  Mhe Rais JPM usiruhusu kosa hili lijirudie.

  Vyama vingi vilivyopo madarakani huogopa sana mambo ya katiba.sidhani kama hoja hii ikafanikiwa kwa wakati huu
 10. M

  Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

  Bingo imemjia Askari kwa namna ambayo hakuitegemea.
 11. M

  Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

  Ni Bora amekiri kuliko kukaa kimya Jambo la msingi ni kuwa na washauri wazuri na akipewa ushauri ajiridhishe kabla ya kuufanyia kazi, Amwombe Mwenyezi Mungu amwongoze vyema katika majukumu yake.
 12. M

  Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

  Mleta uzi tusaidie kutuelewesha kiasi hicho cha fedha kinaweza kubadilishwa hapo uwanja wa ndege?
 13. M

  Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

  Yawezekana anachofanya hivi Rais ni kutokana na hali kuwa mbaya sana lakini asisahau kuwa na yeye amekuwa kwenye mfumo huo kwa miaka kadhaa kwenye Wizara mbalimbali. Ushauri wangu kwa Mhe. Rais kazi hii ni ngumu kufanywa na mtu mmoja ni Jambo zuri kurekebisha sheria mbalimbali zinazoonyesha...
 14. M

  Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

  Ndio kusoma namba kwenyewe.
 15. M

  Mwenyekiti CCM Rorya: Viongozi Wa Kitaifa Wanakiua Chama!

  Mkuu ujumbe huu ni mzito kwa wahusika.
 16. M

  Hizi kamati za bunge, yametimia

  Mleta uzi amenikumbusha hadithi moja ya bwana ummoja aliyenyimwa kuingia kwenye sherehe akadadisi kama mwenye sherehe ana ndugu yeyote aishiye nje ya nchi akaambiwa yuko mtoto wake anaishi ng'ambo basi jamaa akachukua karatasi isiyokuwa na maandishi na kufungia kwenye bahasha, alipofiga getinini...
 17. M

  Wabunge mabubu kubanwa

  Kwakuwa wamejifungia wacha wafanye watakavyofanya ila natamani wananchi wangekuwa makini hawa jamaa wakija kuomba kura waadhibiwe kwa kosa la kuzia uhuru wa Bunge.
 18. M

  Lowassa alitumia fedha za Kitilya kwenye kampeni 2015?

  Awamu hii tutasikia mengi.Nakumbuka alivyoingia madarakani JK tulikuwa tukisikia mengi mara baadaye nguvu na kasi zikapungua mpaka tukafika hapo tulipofikishwa.tuvute subira muda utatuongoza kupata halihalisi ya Awamu hii.
 19. M

  Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

  mchezo huu wa siasa unahitaji uvumilivu wa kutosha.
 20. M

  Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

  Tunatamani sana kama watafanikiwa kulitoa Bunge kutoka miliki ya wachache na kuwa mali ya umma.
Back
Top Bottom