Search results

 1. B

  Elections 2010 Tusisubiri 2015; Tuanze sasa

  Ni kweli mkubwa. Huo ni ukweli mtupu. Tusipojisahihisha tutaishia kulalamika na kutukana tu. Inasikitisha mada nzuri kama hii hakuna wachangiaji. Tuendelee kuelimishana.
 2. B

  Elections 2010 Ni Wakati Wa Vitendo: Kadi Yangu ya Chadema Hii Hapa

  Hongera mzee. Ndivyo inavyotakiwa. Kwa kasi hiyo chama kitakuwa imara. Mimi nitafuata yangu j3.
 3. B

  Elections 2010 Ni Wakati Wa Vitendo: Kadi Yangu ya Chadema Hii Hapa

  Makamba anahusika kichama kwani anawatangazia wabunge wa CCM wanaotaka kugombea nafasi hiyo wachukue fomu. Mimi sioni kosa kwenye hilo kwani ni katibu wa CCM.
 4. B

  Ukweli ambao Watanzania wanatakiwa kuufahamu.....

  Kwa uchunguzi wangu ushindi wa CCM unafanikiwa kutokana na idadi ndogo ya wapiga kura wanaojitokeza kuchagua viongozi wa Taifa letu la Tanzania. Ukiangalia vizuri idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ni ndogo sana ukilinganisha na waliojiandikisha. Pia kwa uchunguzi wangu wanachama wa CCM...
 5. B

  Elections 2010 With 26.2% voting for him, JK most unpopular president in our history.............

  Ni kweli kabisa m2 wangu. Shida ni kwamba watanzania wanakata tamaa mapema,wanaamini raisi anajulikana hivyo hawapigi kura. Mimi nachukulia kwamba hiyo idadi ya watu ambao hawajapiga kura ni kura za upinzani zimepotea.
Back
Top Bottom