Search results

 1. K

  Mkuu wa Wilaya ya Bukoba apingana na wananchi wake, aunga mkono kumegwa kuunda mkoa wa Chato

  Wenyewe wanasemaje? Habari za leo Friends of Bukoba. Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato. Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na: (1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum) (2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini) (3) Mh...
 2. K

  Hoja mbili zilizombeba Mdee na wenzake 18 ktk Press: Nafasi 19 za wabunge Viti maalum ni halali na Wabunge wote 19 waliojaza nafasi hizo ni halali

  Hii taarifa ni upupu mtupu, hoja ni moja hapa Isssue sio nani alipeleka majina ila ni je, utaratibu wa chama wa kuwapata wabunge ndani ya chama ulifuatwa? Kama ulifuatwa hakuna kosa na ni wabunge halali na kama haukufuatwa hata kama John Mnyika amepeleka majini ya chini ya meza KAMATI kuu...
 3. K

  Uchaguzi 2020 Wagombea Ubunge wawili wa ACT-Wazalendo wawajia juu Maalim Seif na Zitto Kabwe kwa kumuunga mkono Tundu Lissu

  Kyerwa mgombea wa ACT kakata steam kakimbilia Dar vile vile Kibamba hana chake. Wameamua kuunga mkono.
 4. K

  Uchaguzi 2020 NEC yataka raia wa kigeni kudhibitiwa wasipige kura Uchaguzi Mkuu

  Hapa wanalengwa upinzani Kyerwa, Kigoma, Tarime, Tundra, nk. Yanatengenezwa mazingira ya kuwashughulikia wapinzani.
 5. K

  Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

  Ni juzi tu pale Bukoba mgombea urais CCM aliwakusanya viongozi wa dining hapo Gymkhana akiwemo Askofu wa Diosisi ya Bukoba, Aberenego Keshomshahara na alitoa salam za kiroho. Inakuwaje nongwa kwa mgombea mwingine? Pole sana.
 6. K

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

  Jamani watu kama misukule vile wamesombwa usiku kucha na malori ya ng'ombe kutoka Karagwe, Bukoba Vijijini, nk. tuseme watu walilala uwanjani. Hii imejionyesha baada ya hotuba. Vipi waliokamatwa kwa kutonyoosha mikono ya kukiri kuichagua CCM? Tutafika hiyo 28/10/2020?
 7. K

  Dstv Tanzania inasikitisha sana; Channel za news 7 za Kenya, channel ya news 1 ya Tanzania

  Usiwalaumu DStv ilaumu serikali yako. Ndo iliyowazuia DStv kwa madhumuni maalum ambayo sasa hv yanakutafuna. Saa ya "UKOMBOZI NI SASA" slogan ya famous late Christopher Mtikila na kwa sasa ni "UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU" ukifuata haya hizo missing channels utaziona vinginevyo sahau.
 8. K

  Uchaguzi 2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

  Majina ya wagombea yatatajwa tarehe 23/8/2020 wakati wa kurudisha form za ugombea ni tarehe 26/8/2020. Bonge la timing hakuna muda wa kukimbilia upinzani.
 9. K

  Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

  Kutuhumiwa sio kosa na jinai ni pale tu unapotiwa hatiani. Iweje sasa ulete mamneno mfu ya mke wa Kaisari? Zama zile busara ya mfalme ilikuwa inatawala na hatupo tena huko, vingine kila mja akituhumiwa tu nje ya ulingo. Every body will remain innocent till when will be found GUILTY and...
 10. K

  Dalili za mvua ni mawingu. Itakuwa ni kijani tu Bungeni, Baraza la wawakilishi na Mabaraza ya miji

  Jidanganye na ushindi wa mitandaoni na matangazo. Unajua wananchi wa chini wana nini moyoni? SGR au flyovers? Wanayo milo x 3? Uchumi wa kati umewafikia? Rais hakuna namna lakini wabunge kama uwanja ni huru na kama sio kama yale mazingaombwe ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, tayari ungekuwa...
 11. K

  Majibu yaliyotolewa leo na CHADEMA, ni ushahidi tosha kuwa hela zimepigwa

  Matukio ya kufanya wanaohituhumu CHADEMA wasiaminke ni kama haya hapa chini:- 1. Mbunge Lijualikali - Ameozeshwa kwa Spika Job Ndugai na ana ukaribu sana (kifamilia) na Spika na wasaidizi wake 2. Mbunge Selasini - Ndugu wake wa damu wote walirubuniwa na CCM wakakimbia upizani, Dr. Lamwai...
 12. K

  Joseph Selasini hatogombea ubunge wa Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CHADEMA

  SISA SIASA Jamani hojini idadi ya case mpya za CORONA, COVID-19 na jumla imefika ngapi? Tunashuhudia vifo vingi sasa vya kuzikwa na watu wasiozidi 10 lkn baada ya kuzika umati unakusanyika kuweka mashda ya maua, mchungaji Rwakatare's case study. Tumeshuhudia (Suspect that's why burial...
 13. K

  Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

  Sio kweli kuwa CDM wanang'ang'ania mikutano. Ikumbukwe kuwa tamko la Mbowe ilikuwa kabla ya katazo la mikusanyiko kwani mpaka jana jioni hata mh. Rais alikuwa akihutubia mikusanyiko. Mh. Lema alishauri jana kuwa CORONA haichagui na Rais aache mikusanyiko. Sasa imekuwaje mnashupaa na...
 14. K

  CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

  Huwezi kutoa pesa yako wakati ulikuwa kwenye majukumu ya chama. Sio suala la utajiri. Kama ni hamasa wamefanikiwa na kukaa Gerezani wamekaa kimkakati na kama hamjui ni sehemu ya sensitization.
 15. K

  Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

  Dr. Bashiru ni KANDA YA ZIWA kwa aliyeuliza Ni Mhaya ya Bukoba Vijijini akitokea kijiji maarufu cha Kanazi kata maarufu ya KATERERO!!!!!
 16. K

  Sihamasishi vurugu, ila huu ndo wakati mzuri wa kufahamu ueledi wa wanafunzi wa vyuo vikuu

  Awamu ya 5 inaweza kukusababishia kilema au kupoteza uhai. Kama hawawezi kuishi na huku waliunga mkono juhudi na bado. Let them suffer and regret.
Back
Top Bottom