Search results

 1. Capitol Hill

  Magufuli: Manufaa ya ziara za nje za Rais Kikwete ni makubwa!

  Kuna sababu huu UZI HAUNA WACHANGIAJI.
 2. Capitol Hill

  Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

  Pasco na wana bodi wengine humu ndani swali ni hili: Je hawa wanaolipwa mishahara minono ya kuanzia milioni 10 kwa mwezi wanaongeza "value" gani kwa mashirika wanayoyaongoza? Wanasaidia nini zaidi? Haya mashirika mengi kama sio yote yamekuwa mzigo kwa serikali kutokana na madeni, ubadhirifu...
 3. Capitol Hill

  Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

  Mkuu Pasco nimekunuu hapo juu. Kama kweli hii nchi ingekuwa inafuata "the rule of law"...Yaliyotendeka Zanzibar yasingetokea.
 4. Capitol Hill

  Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

  Sijachangia miaka mingi ila hili la mshahara wa mh Raisi limenigusa. Mh. Magufuli analipwa kidogo sana kulinganisha na other heads of states in East Africa. Predecessor wake "Vasco Da Gama" made a very handsome salary and katuachia UOZO utakaochukua decades kuusafisha. JPM ni mzalendo, wanaopiga...
 5. Capitol Hill

  Bajeti ya kuendelea kugharimia safari za Jakaya Kikwete imetoka wapi?

  Hebu tutajie hizo positions alizonazo maana umekaa uki justify "uzururaji" wa Kikwete kwa international obligations. Tafadhali tuambie.
 6. Capitol Hill

  Rais Mstaafu Kikwete amtambulisha Makamu wa Rais Mama Suluhu kwa Rais wa China

  Wakuu inawezekana JK ana kaugonjwa ka kupenda kulala kwenye vitanda vya Ritz Carlton na JW Marriotts. Sitashangaa nikisikia amenunua Condo hapa US.
 7. Capitol Hill

  Baraza la Mawaziri? Magufuli atinga ofisini kwa Waziri Mkuu na kufanya nae mazungumzo

  Mbona Obama huwa anaenda ofisini kwa Joe Biden?
 8. Capitol Hill

  Baraza la Mawaziri? Magufuli atinga ofisini kwa Waziri Mkuu na kufanya nae mazungumzo

  Viongozi madikteta ndio huwa wanaangalia titles zao, viongozi wa kweli huwa wanatoka huko juu na kuwafuata watendaji wao huku chini. mimi nimeipenda hii management style ya Magufuli.
 9. Capitol Hill

  Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

  This is a fake press release angalia address on far right corner.
 10. Capitol Hill

  Membe arrives to attend the 67th session of the UN General Assembly

  Amemtuma Mama (first Lady na yeye yuko kwenye delegation ya Membe, New York) usichezee familia ya watalii.
 11. Capitol Hill

  Membe arrives to attend the 67th session of the UN General Assembly

  Sijui uwezo wa Membe kiutendaji lakini kwenye picha, kama ni picha tu zingekuwa zinatumika kama kigezo cha mtu kuwa President, basi the guy looks presidential.
 12. Capitol Hill

  Komba hoi

  Obesity.
 13. Capitol Hill

  kimini cha mponza...

  Ukosefu wa kazi na pia kupenda ku mind biashara za watu wengine. Sisi Watanzania watu wa ajabu sana. Huku tunapenda na kukumbatia mambo ya western world huku tunajidai kupinga uvaaji. Ndio mambo ya utandawazi haya, the two are inseparable na sijui mtachana vimini vingapi maana this is just the...
 14. Capitol Hill

  Why bleki men......

  Madame X hoja nzuri lakini vile naomba kusema kuwa sio kila successful black man anafanya hivyo yaani kukimbilia white women. Mfano mzuri ni Denzel Washington, Will Smith, Jay Z, na kadhalika. Nafikiri inatokea tu kuwa preference ya mtu. Kwa mfano, kuna mabinti watatu wa kizungu ambao nawajua...
 15. Capitol Hill

  Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

  Ni obvious kwamba siwezi kubishana na mtu mwenye "ubongo" wa aina yako. Ni kweli kabisa inaonekana kwenu ninyi "wateule" wachache watu wa CCM, wale wooote especially vijana wanaopigika na taabu za maisha ya kila siku kutokana na SERA mbaya za chama chenu ambazo ndizo zinaliongoza taifa kwa karne...
 16. Capitol Hill

  Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

  Baba wa Taifa alikuwa anawaita watu kama wewe "Mazuzu"
 17. Capitol Hill

  Kama wewe Ni Mwanamke....mara ngapi...na kama wewe ni mwanaume, mara ngapi.....????

  So you really wanna have a lot of sex?.......Tengeneza mazingira ambayo yatamweka mammy kwenye good mood...nakuhakikishia utakuwa unakula tunda kila siku. Wanawake ni watu wa kudeka so mdekeze wako, be a good listener, mfanyie suprises na vijizawadi once in a while, siyo lazima umpe vitu vikubwa...
 18. Capitol Hill

  Kama wewe Ni Mwanamke....mara ngapi...na kama wewe ni mwanaume, mara ngapi.....????

  So you really wanna have a lot of sex?.......Tengeneza mazingira ambayo yatamweka mammy kwenye good mood...nakuhakikishia utakuwa unakula tunda kila siku. Wanawake ni watu wa kudeka so mdekeze wako, be a good listener, mfanyie suprises na vijizawadi once in a while, siyo lazima umpe vitu vikubwa...
 19. Capitol Hill

  Kikwete atua Botswana

  Mwacheni apete anavyotaka bana, si ninyi ndio mlimpa kura za NDIYO?
 20. Capitol Hill

  True story: Mkuu wa shule alininajisi!

  Smile yuko wapi sasa? Naona maswali mengi yanayohitaji majibu na mtoa mada haonekani
Back
Top Bottom