Search results

 1. H

  JK umesikia haya ya Machangu DC wa Nzega na Resolute T LTD Nzega ?

  Farmer Maelezo yaliyo wekwa hapa na Lunyungu ni kweli tu na yes mimi niko hapa .Mama Mvura ni shida kubwa sana hapa kazini .Nadhani she is always acting with stupidity na maisha ya u single maana hatuelewi akili aliyo nayo.Kama mnaweza kusaidia ni muhimu mkasaidia kwa kuwa huyu na DC walileta...
 2. H

  Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

  Diwani anani habarisha kwamba kata za Mburahati,Kibamba ,Makuburi, na Tandale mradi wao una anza soon so ina maana Lunyungu uko kwenye line sasa .CCM hao
 3. H

  Masha akimbilia Takukuru

  Nchi yangu ina mizengwe ? Nini maana ya tukio hili?Kuwasafisha takukuru ama kuna move gani hapa ? Fungueni macho na akili maana any move done by CCM ina manufa kwa ukoo wao .Msilale hadi kieleweke
 4. H

  Pinda awasifu Ngeleja, Malima

  Mtoto wa mkulima ana aendeleza kilimo. Mkuu kesha lambishwa iko kazi sana
 5. H

  JK umesikia haya ya Machangu DC wa Nzega na Resolute T LTD Nzega ?

  Hapa Wilayani sisi tunafanya kazi na boss huyu tunayajua mengi sana.Pamoja na kushiriki matukio kama haya lakini yeye ni kama Mkurugenzi wa Mgodi .Tunajiuliza nguvu hizi anazipata wapi , lakini inawezekana analinda interest za Mzee JK si kawaida hii . Huyu Mama amepewa gari la kampuni tunaona...
 6. H

  Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

  Ama kweli CCM n uma uma.Wanawafanya wananchi kama watot wadogo ? Lunyungu shukrani .Zitto , Slaa, NCCR mmesikia mbinu hizo ? Amkeni
 7. H

  JK umesikia haya ya Machangu DC wa Nzega na Resolute T LTD Nzega ?

  Hii issue iko wazi kama kuna mtu wa kufuatilia nadhani anaweza tu .Nime elewa hivi .Kumetokea matukio 2 tofauti na yote Mama Mvura amekuwa involved.La kuomba rushwa alitaka wakale na DC likaleta shida . Baadaye kumetokea wizi mkubwa , tena Mvura akadakwa nadhani hata bwana mkubwa mgodini...
 8. H

  Bajeti ya Serikali 2008/09 - Exclusive Thread

  Si kinywaji pekee na uzinzi .
 9. H

  Mwana JF aukwaa uongozi wa watanzania huko Uholanzi

  Ndugu waTanzania salaaam, Siku ya Jumamosi jioni Balozi wetu wa nchi za BENELUX (Belgium, Netherlands and Luxemburg) Ndugu Simon Mlay alikutana na waTanzania katika Hoteli ya Crowne Plaza, The Hague. Kwa wale tulioudhulia mjumuiko huo, tutakubaliana kabisa kuwa Balozi wetu alitupokea kwa furaha...
 10. H

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  madela huchoki kunipa raha .Ona sasa nimecheeeeeeeeeka duh !! My foot .By the way Bi Shost karibu wawee tupo .
 11. H

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  Neno kujiuzulu ni msamiati mkubwa sana kwa waafrika wa Afrika .Yeye anaweza kuwaza haya je mkubwa wake ambaye ndiye anayembeba ataweza kukubali ? Kujiondoa namna hii itakuwa kusaidia CCM lakini wao wanadhani atakuwa anakimaliza Chama ambacho ni namba moja kwa JK na kundi lake .
 12. H

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  Mkuu Kiburi cha Ballali ni kikubwa zaidi ya Chenge .Ballali yeye mapesa yale walichukua wakaingia madarakani .Chenge yeye katuibia na kutuuza tifautisha hapa .
 13. H

  Finally, they are telling us.. !!

  Ewura wanaleta nafuu gani kwa mwananchi kama mimi na wewe kijijini ?
 14. H

  UFISADI: The Making Of IPTL

  Muulize JK what and how much was his cut ? We know better his on IPTL .Aseme tu
 15. H

  Finally, they are telling us.. !!

  Huyu ndiye mtaalamu mwenyewe ambaye majuzi kapewa ukuu kwa Mbwembwe na kila mara haishi matamko tata ?
 16. H

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

  Watu wanafanya unazi kabisa .Nashangaa wanaishindwa kuona kwamba Seif had a trip planned prior NEC ya Butiama .Lakini pia mnalaumu sana kwamba Arudi kwa wananchi kuishitako CCM .Wamesha fanya tayari na kusema wanajitoa mlitaka ashitaki mara ngapi ? CCM wanasema shauri lirudi kwa wananchi mbona...
 17. H

  Zaidi ya wabunge 100 wa CCM hawauziki - Msabaha

  Tata Isayamwita nimezinduka sasa na nimekuelewa na sasa nitakaa mkao wa kutoa mimacho .
 18. H

  Govt lawyers: ’We are tired of being associated with bad contracts signed by the govt

  Siku nimelamishwa kukimbia na cheque ya 100m siku zile Rostam anagombea Igunga uchaguzi wa Marudio , jana yake serikali ilisema haitumii pesa za walipa katika kusaidia CCM next day ikatokea chini ya Mwinyi kumsaidia Rostam kule igunga nilijiondoa kazini hata leo niko naishi lakini nilikataa...
 19. H

  Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

  Naomba urudi usome tena magazeti ya leo na matumizi ya Sitta ya pesa zetu si kuchafuana kuna ukweli juu ya risit zake
 20. H

  Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

  na Happiness Katabazi TUHUMA za ufisadi zilizosambazwa katika mtandao wa intaneti zikimlenga Spika wa Bunge, Samuel Sitta, zimesababisha Ofisi ya Bunge kuanzisha uchunguzi dhidi ya kiongozi huyo wa juu wa mamlaka hiyo ya dola. Taarifa za kuanza kwa uchunguzi huo zilitangazwa na Katibu wa...
Back
Top Bottom