Search results

 1. Mkereketwa

  Akina dada huu si uungwana

  Haaa haaa haaa haaa.... nimecheka sana. Maana na mimi yamenikuta kwa MUHA. Ni hatare..... alikuwa ana ng'ang'ania hadi vifaa vya ofisi kama computer, Camera na decorder nilizokuwa nafanyia kazi.
 2. Mkereketwa

  Audio: Dada kafunga safari hadi Dar kumfuata Aslay, walikutana Facebook

  Hako katoto kamepinda. kanasema kaliacha shule kwa sabau life ilizingua!!! Hapo hakuna kitu.
 3. Mkereketwa

  Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

  Chief hiyo issue ni rahisi sana. Uzuri umesema kuwa MKE wako bado unampenda. Huna sababu ya kuchepuka kwa sababu ya hilo. Wewe nenda kawatimue mchana kweupe..... Then kama mke wako ataambatana na wazazi wake kuwa umewafukuza ndiyo utajua kuwa hakuwa tayari kuishi na wewe ila anataka kuishi na...
 4. Mkereketwa

  Tabia ya kufumania, ushauri wa bure kwa wanaume

  Mimi nakubaliana na mtoa hoja... wewe badala ya kufany akazi kwa bidii uongeze kipato unabaki kumvia mkeo ili umfumanie. Binafsi naona kama ni kuwa na akili finyu. Kwani hapa dunian kuna mwanamke huyo huyo tu,mpak a wewe uanze kujidhalilisha.Leo unamfumania mkeo hiyo aibu ni ya nani?
 5. Mkereketwa

  Barua nzito: Wema kuna kitu cha kujifunza kwa Zari

  Kweli kabisa.. badala ya kususbiri wapambe waendeshe maisha yake. Anatakiwa kutumia umaarufu alionao kama BRAND aya kujiingizia kipato na siyo kusubiri wanaume wamuhonge ili aendesha maisha yake. It is a time now hata sisi washabiki wa hawa mastaa wetu, kuwashauri mambo memo na siyo kuwashabikia...
 6. Mkereketwa

  Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

  Halafu na wewe mtoa mada, kama ulikuwa na uhusiano na huyo dada Enzi hizo na sasa ameolewa. Kwann uwe na feelings zake. Acha utoto huo.. unatakiwa kukubali kuwa yule ni mke wa mtu na wewe tafuta wanachuo wenzio uanze nao uhusiano.
 7. Mkereketwa

  Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

  Hapo swaiba umemnyanyapaa mama wa watu. kumbuke uwa na wewe ni mzinzi, hivyo huna haki ya kumuhukum huyo shemejio. Rudisha hizo pesa zake...... huna sababu ya kuchukua hayo malipo. Nenda kaongee naye na umshauri kuwa tabia anayofanya siyo njema...... umwambie kama akirudia utafikisha tararfa...
 8. Mkereketwa

  Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?

  Pole sanachief!!! Hiyo inaweza kuwa laana, ikapelekea hao watoto kuishi katika kizazicha laana. Kitu cha msingi ni kuwaita wazazi na ndg wa karibu ili muwezekulielezea hili. Maana tatizo kubwa hapa ni usiri uliopo. Ingekuwa ni laanawewe mwenyewe usinngeweza kufanya hizo biashara na kuendelea au...
 9. Mkereketwa

  Feedback - Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

  Wana jamvi habarini za kazi, Awali ya yote naombeni kuwashukuru kwa michango yenu ambayo mliiandika. Huwezi kuamini, nimepata shule kubwa sana kutokana na mawazo na ushauri wenu, bila kujali kuwa ulinitetea mimi au ulimtetea mwanamke au ulibaki neural. Ni kwamba wiki kama tatu hivi nilileta...
 10. Mkereketwa

  Katika wale Majambazi waliodakwa, mmoja katoka kuvisha Pete ya uchumba

  Aisee… Kweli jiji la Dar kazi tunayo. Ukiona mtu kapendezaanamiliki kigari basi ujue utafutaji ndiyo mpango mzima. Sasa huyo kijana mtanashatikabisa, lakini kazi yake siyo halali. Unajua tumezoea zamani, unakutana na kakaJambazi ana sura mbaya yenye kutisha ana makovu basi pesa utampa mwenyewe...
 11. Mkereketwa

  Baada ya kushauriwa ni muhimu kuleta mrejesho

  Kweli kabisa.... sometimes unakuta mtu anaomba ushauri ili kuweza ku-confirm maamuzi yake kama yuko sahihi au lah!!!.. anyway na mie ni mtazamo wangu tu.
 12. Mkereketwa

  Shilole atangaza nia kugombea ubunge Igunga kwa tiketi ya CCM. Apokea simu na sms za vitisho

  Duh!!! nafikiri Shilole yupo sawa, yeyhan tatizo.. mataahira ni wale watakaompa huo ubunge kwa kumpigia kura huku wakijua kazi yek kuba ni ipi?
 13. Mkereketwa

  Kama ni uongo, huu ni kiboko

  Haaa haaa haaaa..... umetisha!!
 14. Mkereketwa

  Ushauri: Nimepata mwanamke wa kuoa ila ana mtoto na kanizidi umri

  Chief.. hapo changamoto ipo sana tu. Kitu cha kwanza ni namna ya kumlea huyo motto. Lazima mkubaliane na huyo mwanamke kuwa motto analelewa na nani? Maana unaweza kuta baba wa huyo motto ana influence kubwa kwa motto wake. Hivyo unaweza siku kuna meeting kati ya mkeo na baba watoto wake kwa...
 15. Mkereketwa

  Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

  Wakuu naombeni ushauri, Nimeishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka kama 10 hivi sasa. Ila ndani ya muda huo ndani kumekuwa na migogoro ya hapa na pale ya kutoaminiana. Ila katika hali hiyo yeye ndiyo alikuwa ananishutumu mimi kuwa nina michepuko na yeye kujiona yupo innocent kama malaika. Lakini...
 16. Mkereketwa

  Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

  Huyu kaona amehangaika kutafuta motto kakosa.. sasa anakumbuka alio watelekeza.
 17. Mkereketwa

  Unapokea mshahara kwa mwezi, mwenye nyumba anataka kodi kwa miezi sita

  Hii kituinakera sana.. Mimi nipanga nyumba moja kula Ubungo mwenye nyumba kaniambia kodi ni mwaka mzima (300,000 x 12 months). Sasa nimemwambia wife kuwa, huundy mwisho wa kupanga hapa Dar. Kuna project naifanya Mbezi Goba.. nikiweka grill tu tunahamia hata kam ahatuna madirisha.
 18. Mkereketwa

  Watanzania waliosoma Havard

  Kwa wale tulio Marekani tunaelewa kuwa KAMA HUNA KICHWA HATA APPLICATION YAKO HAIANGALIWI HAPO HARVARD! Kupata admission tu ni TABU lazima uwe na CV na vyeti vya shule zilizopita viwe vina misonge. Huku hakuna hongo hata kama nchi inakulipia if you can not meet their standards SORRY YOU ARE...
 19. Mkereketwa

  DMV Kimenuka ni wazi uchaguzi ulichakachuliwa

  Hawa hawa walitangaza dunia nzima kuwa hawatambui uongozi wa jumuiya hii. Kumbe wanawatambua na wameitikia wito wa mkutano?? Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Jamani nimekumbuka kicheko cha mahoka......Seriously...
Back
Top Bottom