Search results

 1. WENYELE

  Ulizingatia Auction Sheet wakati unanunua gari iliyotumika?

  Nilitumia na gari niliipokea iko exactly km sheet ilivyokua
 2. WENYELE

  Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

  Hiki ndio nilikua nakiongea sasa; mwanaune kamili huwezi lala na house girl wako; km ni father figure lazima heshima ijengwe ndani ya familia...
 3. WENYELE

  Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

  Si kweli mkuu; as baba wa familia you should not cross the line; fanya mambo hayo mbali; hakimisha unaofanya nao hawamjui mkeo na watakiwi kumjua kamwe otherwise utamkosea heshima sana mkeo
 4. WENYELE

  Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

  Mimi ni mwanaume; napiga sana mechi tu ila katika hali yoyote ile sitakuja kufanya kwa piso yoyote iliyopo kwangu hata akiwa mpita njia tu
 5. WENYELE

  Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

  Nimesoma hadi mwisho but km wewe ni baba wa familia na una tamaa za kijinga km hizi basi hujawa kuwa mwanaune
 6. WENYELE

  Natafuta Duka la Spare orijino za Mitsubishi Pajero

  Wakuu ni wapi hapa Dar nitapa duka linalouza spare orijino za Mitusbishi? Km unafahamu nipatie mawasiliano wakuu
 7. WENYELE

  TFDA & TBS Food product registration

  Mkuu angalie PM yako nishaweka mawasiliano
 8. WENYELE

  Natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI

  Wakuu natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI ninayo soft copy ya hii dictionary lakini imekua ya zamani sana. Kuna mtu anayo au inauzwa wapi? Asanten
 9. WENYELE

  Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

  Anyway, kweli sisi hatujawahi kutumia madawa; danger ni ndom tu....aise huwa tunananunua na kuweka kabatini.... Sie tushazoea tunaona kawaida tu
 10. WENYELE

  Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

  Nina almost 10yrs, mama watoto yuko active akiwa danger zone.....baada ya hapo mara chache....so wakati wa danger zone ni show show....(bila kuuza mechi) there after hamasa inashuka
 11. WENYELE

  Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

  Huwa hatutumii uzazi wa mpango, tunafuata Kalenda. So sisi tunachakachuliana sana wakati wa danger...bila kuuaza mechi...yaani kila siku hadi joto likishuka (danger zone ikiisha) tunabaki tu hamna hata kitu.... Wakati wa danger ni hatari nyie....ukigusa twa na bibie mnara ushasoma...
 12. WENYELE

  Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

  Ni kweli ...ila ukijua tu chimbi haina shids
 13. WENYELE

  Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

  Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo. Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine. Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
 14. WENYELE

  Kanipigia Analia: Kimoyomoyo nilifurahi

  Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto. Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa serikalini watoto walekua wanasoma English medium nk. Sasa alipoondoka alimwacha mjane (pisi) kali sana na...
 15. WENYELE

  Ushuhuda: Vitu vidogo vinaweza maanisha mambo makubwa kwa wengine

  Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake. Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru. Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
Back
Top Bottom