Search results

 1. K

  Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

  Kigoma Kigoma Kigoma. Tatizo kubwa linalosumbua Ni wivu miongoni mwa wananchi. Huwasingizia wenzao Ni wachawi Kwa kuwa wana maenseleo kuwazidi hivyo hula njama Na kuwaleta Kamchape ili wawadhalilishe wenzao. Kamchape Kwa kuelewa udhaifu huo Wa wanachi huwaibia wanachi pesa mifugo n.k Kwa ajili...
 2. K

  Nani alisema SGR iende Mwanza na sio Kigoma kwanza?

  Wewe ni mwongo na hakuna unachokijua . Umeandika kana kwamba kgm haipitishi mizigo yoyote kwenda Congo. Fanya homework yako vzr
 3. K

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Huyu Salah anatakiwa akalie Benchi, anaivuruga Timu
 4. K

  CUF ilikuwa na mgogoro kabla ya UKAWA

  Kuna Vitu huwez kukaa ukasamee, ebu twambie nini nia ya lipumba kukiacha chama katika ile mda wa kampeni pamoja na kupigiwa magoti sana. Hivo unaweza kudharau nguvu ya lowasa katika ushindi wa SAKAYA. Hivo ni kweli huoni ni namna gani Lipumba anatumika, Harafu eti wakae meza moja, ili iwe nini.
 5. K

  Mirathi wake wawili

  Nimeanza kupata mwanga,. Sasa nini wanachoweza kupata
 6. K

  Mirathi wake wawili

  So ndo kusema hawa watoto wa bi mdogo hawatakiwi kupata chochote??
 7. K

  Mirathi wake wawili

  Amemplipia/amemtolea mahali na kuzaa naye watoto watatu
 8. K

  Mirathi wake wawili

  Ni kweli kwamba bi mdogo hatambuliki kisheria ukishafunga ndoa kanisani???
 9. K

  Mirathi wake wawili

  Sheria unasema juu ya swala hili. Ni kweli kwamba Mke mdogo hatambuliki kisheria kwa MTU aliyefunga ndoa kanisani???? UOTE="Mamndenyi, post: 16101976, member: 41512"] Huyo bi mdogo ndo chanzo cha mke mkubwa kutimka; Wana familia mlitakiwa msuluhishe hilo wakati kaka yenu akiwa hai; Hata wakati...
 10. K

  Mirathi wake wawili

  Naomba ufafanuzi wa mirathi ya wake ewawili. Nina kaka yangu aliyefariki miaka miwili iliyopita akiwa na wake wawili. Mke wa kwanza alifunga naye ndoa kanisani na amezaa naye watoto wanne na Mke wa pili amezaa alimtolea mahali ya kimila na amezaa naye watoto watatu. Wakati anafariki Mke wake wa...
 11. K

  Mtoto kutopata choo

  Wanajamii forums naombeni msaada. Nina mtoto wa miezi miwili hapati choo. Tatizo lake lilianza akiwa na wiki kama mbili choo akawa hapati ingawa mwanzoni alikuwa akipata choo vizuri tu. Anaenda mpaka siku saba hivo tunalazimika 'Kumuinika' ili apate choo na kinatoka choo kingi sana. Mtoto huyu...
 12. K

  Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

  amina na migiro wamejitoa? naona magufuli anaonekana kama ameshashinda na wanawake hawa hawaoneshwi kwenye camera kabisa
 13. K

  Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

  amina na migiro wamejitoa? naona magufuli anaonekana kama ameshashinda?
 14. K

  BP-Hatari

  Nimeumwa na kichwa mpaka nikadondoka. Kucheck nikakutwa na vp ya 170/120. Nikapewa dawa ya kushusha lakini kesho yake nikapima 199/128. Nikabadilishiwa dawa, Leo nimepima 175/113. Mbali na ile ya kuanguka, sijikii vibaya lakini vipimo vinaonyesha hali yangu si nzuri jiata kidogo. Naombeni msaada...
 15. K

  Mkutano wa wana Kigoma Diamond Jubilee Mgeni rasmi ni Zitto

  Msituletee upumbavu wenu, Kama kuna mtu ametuharibia big time watu wa kigoma ni huyu ZITTO. Tumeonekana si watu wakuaminika kabisa katika sehemu tulizopo. Kwa mtu yeyote wa KIGOMA anayeshabikia mambo aliyofanya/anayoyafanya ZITTO atakuwa haelewi madhara yake huko mbeleni. Baada ya NSANZUNGWAKO...
 16. K

  Maeneo yapi yanafaa kujenga kwa sasa Dar es salaam

  nina kiwanja cha title kibada, Ni pm
 17. K

  Shangazi yake Tupac Shakur-Most Wanted criminal!!

  Nimesoma khabari zake, hakika ni za kuburudisha sana.Huyu ni mwanamke wa shoka na mpiganaji haswa wa ukombozi. hatakiwi kuitwa gaidi
 18. K

  Diwani Kigamboni (CCM) kukomesha tatizo la ajira kwakugawa pikipiki 40 vijana

  Hili JAMBAZI limeshakwapua sehemu linawahonga vijana PIKIPIKI. Kiukweli kinachouma sana katika siasa za TZ ni ushiriki mkubwa wa watu wa hovyo kama huyu. Huyu DIWAN amejaa DAMU za watu kwa ujambazi alio na anaoendelea kuufanya. Ni mtu hatari wa kuogopwa kabisa na hasa wenye magari.
Back
Top Bottom