Search results

 1. E

  Pambano la Mwakinyo litapigwa saa ngapi?

  hakuna kiingilio ni miguu yako tu.
 2. E

  Pambano la Mwakinyo litapigwa saa ngapi?

  itakuwa kuanzia SAA 1 usiku na kuendelea.
 3. E

  Hospitali ya wilaya inakosa japo panadol!

  Habari wadau. Wiki 2 zilizopita nilimpeleka mke wangu hospitali wilaya ya kilwa kujifungua, cha ajabu ni kuwa nilipewa orodha ndefu ya dawa za kununua maduka ya dawa yaliyopo nje karibu na hospitali. Miongoni mwa dawa hizo imo panadol, pia niliambiwa kununua hadi kiwembe, gloves, cordclamp...
 4. E

  Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

  Habari wadau, kwa habari nilizopata ni kuwa, chama cha mapinduzi kimeshinda viti vingi vya udiwani ktk uchaguzi uliofanyika jana maeneo mbalimbali ya nchi yetu.
 5. E

  Dangote aishitaki serikali kuokoa Ajira za watanzania

  wewe dogo ndjabu da dude mbona unajibu watu kama mtoto aliyebemendwa! au ni kweli uli........
 6. E

  Nauza samsung galaxy s3 mini.

  Nauza simu tajwa hapo juu ambayo ni nyeupw na used. Ni single laini, mfuniko wake wa nyuma una crack kiasi. Ila iko vizuri na haichagui laini. Bei ni 120,000/= cash. Nicheki 0787-561703. Nipo dsm.
 7. E

  RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

  hizi kauli sasa ni balaa, mkuu wa mkoa anaongea haya kwa niaba ya nani? yeye ana sauti gani ya kulisemea hili! huu ni ukasuku.
 8. E

  NETANYAHU's speech on Africans and Arabs

  kama katamka hivi kweli, basi hana maana.
 9. E

  Wa mwisho ndiyo mshindi

  Tutasagana meno na mataifa mengine yataanza kututeta.
 10. E

  Msaada jamani: Nani nimshitaki kati ya branch manager wa bima au mkurugenzi mkuu wa bima?

  Unatakiwa ulishitaki shirika la bima.. Ukimshitaki mtu umeliwa.. Wafanyakazi wa kampuni wanalindwa na kitu kinaitwa veil of incorporation na mwenye uwezo wa kulift hiyo veil ni mahakama pekee...
 11. E

  Msaada jamani: Nani nimshitaki kati ya branch manager wa bima au mkurugenzi mkuu wa bima?

  Nasema hivi kwa kuwa nimekatwa karibu miezi tisa bila mkataba nao shirika la bima, sasa nataka kufungua kesi mahakamani, kisheria natakiwa nimshitaki branch manager wa mkoani kwangu aliyeprocess makato hayo au nimshitaki mtendaji mkuu wa bima? naomba msaada wenu mnaojua sheria.
 12. E

  Kwa hili la kukusanya kodi toka kwa wapangaji katika majumba mwaka 2020 CCM tuna wakati mgumu

  kuna haja pia ya kutoza kodi kwa machangudoa ili kiwe chanzo cha mapato kwa serikali yetu tukufu. ndo tunakoelekea huko.
 13. E

  Serikali ya Magufuli inatia shaka

  Uzembe mtupu.
 14. E

  Niuzie TV 21 inches

  Nahitaji Tv ya chogo inchi 21 used. Iwe nzima na haijapitia kwa fundi. Brand iwe philips, sony, hitachi, samsung au panasonic. Ofa yangu ni 80,000/=. Nicheki 0714-408238 ili tufanye biashara fasta.
 15. E

  Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

  mleta mada ni mzembe ajabu. haya sasa, dr ndalichako et al wanatoka mkoa wako wa kugoma, umenufaika na kipi haswa? nyambavu mkubwa ww.
Back
Top Bottom