Search results

 1. C

  Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

  Iondoe Liberia Kwa sababu ni nchi iliyonunuliwa na Wamarekani Kwa AJILI ya watumwa
 2. C

  Wachagga walitaka kuunda nchi yao (Chagga State), Mwl. Nyerere akaomba wasifanye hivyo

  Mwandishi amekusudia kupotosha ukweli. Mbona hajaeleza uhasama Kati ya Wakibosho na Wamachame.
 3. C

  Maadui wa Tanzania wafikia watano

  Thread yako ni kueneza chuki
 4. C

  Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

  Ni mazuri sana kama mtu muangalifu na yanadumu sana. Nilikuwa nalo lilikaa miaka 6
 5. C

  Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

  Mimi sikati tamaa. Mwaka huu nimepigika lakini siachi
 6. C

  Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

  Wewe ndio fala ambaye hujawahi kumiliki hata ekari moja ya Shamba. Sisi tunaolima ndo tunaujua ukweli. We ni Mshenzi tu wa kiwango cha uprofesa tuliza makalio. Hapa ninavyokujibu nipo Shamba namalizia kuvuna Alizeti
 7. C

  Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

  Kwa taarifa yako wanaonufaika na bei sio Wakulima bali ni madalali na wafanyabiashara ya mazao
 8. C

  Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

  Mimi ni pro Mkataba. Aliyetoa kauli ya ubaguzi ni Tundu Lisu. Unaowashutumu ni Watanzania wa Bara ambao umewaita Watanganyika. Kwa nini na wewe usiwekwe kwenye kundi la Wabaguzi?
 9. C

  Kuweni makini na mchanga wa kaburini

  Lakini Wazungu nao wamefikia hapa kupitia fikra hizi hizi
 10. C

  Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

  Ahsante sana kwa story tamu yenye mafunzo. Baada ya hii, ni imani yangu kuwa utawapa vijana uzoefu katika biashara ya Boda.
 11. C

  Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

  Na je wanaozaliwa ndani ya ndoa baada ya mama kuchepuka, wanaitwaje?
 12. C

  Jinsi nilivyopigwa kifungo kwenye gari yangu na jirani kwa zaidi ya miezi sita

  Usemacho ni kweli kabisa. Nina Jirani nilimpa ushirikiano wote na hata mabati kama 60 hivi yaliyobaki, aliyahifadhi kwangu. Siku aliyokuja kuyachukua hakunijulisha na mbaya zaidi wakati wa kuyachukua walivunja kioo cha gari yangu. Nilipomuomba mchango wa kununua kioo, aling'aka na kuanza...
 13. C

 14. C

  Sijazoea Unafiki naitakia Kila Ia Kheri Klabu yangu pendwa ya Club Africaine kwa Mkapa Leo

  Nenda kaishangilie APR ndo size yao. Hao Waarabu hawakujui
Back
Top Bottom