Search results

 1. R

  Daudi Ballali's Death

  Badungu naomba mniwie radhi lakini sitaki kuwa mnafiki ukweli ni kwamba sijaona huzuni yoyote katika moyo wangu kwa kifo cha huyu bwana (kama kweli amekufa) hasa ukutilia maanani kuna watoto wadogo wengi hapa TZ ambao hawana hata doa la dhambi wanakufa kwa huduma duni za afya na umasikini...
 2. R

  Serikali kuwashirikisha Watanzania wa ughaibuni kujenga uchumi

  Hawa CCM kweli UFISADI unawatoa akili, mbona wao vijisenti vyao wanavikimbiza nje ya nchi??
 3. R

  Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

  Mkuu Heshima mbele Mi naomba kuuliza alifanya nini hapo miundo mbinu hadi akaondolewa? si vibaya kujua si unajua tena JF ni darasa...
 4. R

  Chenge ajiuzulu!

  WT na tushukuru mungu kwamba ile list ya MAFISADI inapungua hongera JF uzi uwe huo huo lakini pia tuwe na mikakati ya nani afuatie baada ya Chenge. Mi nadhani wa kufuatia sasa ni huyu bosi wa PCB Mr Hosea, anahitaji na yeye kuachia ngazi vile vile
 5. R

  TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

  ...unaanza hivyo. CV ya nini na mtu ameshafariki??. lililobaki ni kumuomba mungu amuweke pahala anapostahiki. AMEN
 6. R

  Karume1+karume2+karume3=ufalme?

  Mhn.....makubwa haya.....mungu tuweke tuyaone
 7. R

  Marashi ya Pemba

  pakachaaaa Acha kuleta ukereketwa pahala ambapo haustahiki. unataka kuniambia kwamba Pemba hali ni nzuri au mwenzetu uko nje ya TZ hujatembelea visiwanimuda mrefu..
 8. R

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  hongereni ngudu zetu wa Dodoma, sisi sote tuko pamoja nanyi...huu ni mwanzo wa mwisho wa MAFISADI wote wa CCM, na CCM yao wachukuwe wenyewe sisi hatuitaki tena.........
 9. R

  The road towards 2010 Elections

  Nadhani sio haki kuwaachia wapinzani peke yao kueleza mabaya ya MAFISADI hawa waliotuzunguka. Ni wajibu wetu sisi waTZ kusimama kidete kuikomboa nchi yetu. Saa ya ukumbozi inakaribia kwa TZ na ni sisi watanzania ndio tutakaoifanya saa hiyo itufikie kwa haraka.. jamani ni lazima tujuwe kwamba...
 10. R

  Hatimaye Kikwete Afanya Kweli

  kweli Mac hututakii mema watanzania....ufisadi wote huu bado tumpe muda wa miaka 5 mengine CCM watumalize kabisa mana sasa waTZ tuko hoi
 11. R

  Ahsante Sana.........juma Reli

  sio kama zanzibar hakuna watu wenye ujuzi, lakini tatizo la ZNZ siasa mbele, mara nyingi wanachaguliwa watu kwa utashi wa kisiasa wewe tizama baraza letu la wawakilishi (CCM) aibu tupu wawakilishi wanashindwa hata kujieleza , tunadhalilika sana ZNZ kwa upuuzi huu wa kila kitu siasa mbele...
 12. R

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  Hivi huyu Chenge amepata wapi kiburi cha kuita Sh. Bilioni moja visenti ?? Kama kuna mtu anaweza kupata taarifa ya mali zake alizoorodhesha ni vizuri akazimwaga hapa uwanjani ili tuone kama na hivyo visenti viliorozeshwa hapo kabla
 13. R

  Nimkubalie?

  usikubali kuingia katika majaribu ya kuwa " another woman" hasara zake ni kubwa kuliko faida
 14. R

  Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

  nakubaliana na wewe idea ni nzuri lakini tunahitaji tuwe na mikakati zaidi labda nadhani kwa wale walio Dar wafanye mpango kuandaliwe kipindi katika ITV/TVT kiwahusishe wazazi na watoto Maalbino halafu hii ishu ya kuanzisha huo mfuko itaje hapo...nadhani hii inaweza kusaidia
 15. R

  Muafaka CCM na CUF, pande mbili za shilingi!

  Wapendwa ndugu zangu waTZ Sote tukiwa kama wapenda amani na tunaitakia mema nchi yetu tumesikitishwa sana na maamuzi ya CCM juu ya muafaka wa kisiasa visiwani Zanzibar. Binafsi nimesikitishwa zaidi kwa kujua kwamba hali ya amani huko visiwani hivi sasa iko mashakani. Mimi ni mmoja kati ya...
 16. R

  Obasanjo.. no you didn't...!

  ....how about obasanjo....IS HE AN ANGEL?????
 17. R

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

  Mtu wa Pwani Sijui una maana gani unaposema wenzetu wa bara hawatutakii mema, ukumbuke kwamba tarizo la Zanzibar ni wenyewe watu wa CCM (Unguja) ndio wanalikwamisha na sio watu wa bara hata hao so called "Wazanzibara" huwa mara nyingi wanakuwa muhimu wakati wa CCM (Unguja) kutafuta kura...
 18. R

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

  Shy hujui unachozungumza. kasumba iliyopo juu ya kuwa CUF ni waarabu ni uzushi tu wa CCM. Na kwa kweli tumechoshwa na hawa CCM, nyiyi mnazungumza ufisadi wa bara lakini huko visiwani ndo wamezidi. Mimi si si mtetezi wa CUF.... nadhani watakuja wenyewe kusema, lakini kama mtanzania mwenye upenzi...
 19. R

  Waheshimiwa wana JF - Hongereni!

  thanks MMwanakijiji. Bwana akubariki milele na milele, amen Naomba tu nikupongeze kwa hayo uliyoyaandika hapo juu na kutilia mkazo baadhi ya uliyoyasema. You are right kwamba changamoto inayotukabili si tu kuibua dosari na kukemea matatizo mbali mbali yanayotokea katika nchi yetu, nadhani...
 20. R

  Wake wa Marais wetu na Mambo yao

  Mhn.......
Back
Top Bottom