Search results

 1. Prodigal Son

  Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

  Huna mdogo wako tuongee kiutu uzima
 2. Prodigal Son

  Wambugu Apple, kutoka kwa Peter Wambugu

  Mkuu hawa SUA hawajitambui hata kidogo ukiwa challenge utasikia mtu anakujibu unataka professor nkafuge ngombe wenzio kenya wana kuku chotara wa kienyeji anaitwa KARI ALITOKANA NA kuku pure wa kienyeji waliochukuliwa sehemu mbalimbali ya Kenya na ndio wakatengeneza hiyo mbegu,, na huyo kuku...
 3. Prodigal Son

  Wambugu Apple, kutoka kwa Peter Wambugu

  Nimeshafanya naye biashara nilinunua kwa pesa ya kenya, Nilimfuata shambani kwao na nilikutana na baba yake, na hata baada ya kurudi na kuotesha nilionge Tanzania nilishaagiza miche mara tatu kwa hiyo bei ukinunua mingi ukimuomba naamini atakupunguzia
 4. Prodigal Son

  Wambugu Apple, kutoka kwa Peter Wambugu

  Ni mbegu poa saana kwa watu wa Arusha Kilimanjaro, mbeya iringa na maeneo mengine hii ni fursa...Unaweza ku wtasup Catherine Wambugu mkafanya biashara mche moja anauza KSH 1000, ameridhia niweke nuumber yake hapa +254722284176 ni mtu oa saana na yuko very reliable Kila la kheri wakulima
 5. Prodigal Son

  Natafuta ng’ombe wa maziwa pure breed

  Mkuu salama, naomba utupe elimu kidogo ya silage ya Mihogo, nitashukuru saana kwani wengi tutafaidika
 6. Prodigal Son

  Hizi Hapa Mbinu Za Kutengeneza Shamba La Mfano

  Ndio maana kwa BONGO mufaika wa kilimo na ufugaji ni dalali,,,muuza miche..mbegu nk
 7. Prodigal Son

  Kilimo cha Tufaa (Apple)

  Mimi nimeotesha apple DSM,, kupata matunda nilishapata ila simshauri mtu aoteshe aple dar..mikoa kama kagera..Arusha iringa Njombe sawa ila DSm ni changamoto saana..kipindi cha joto zinashambuliwa sana, nina mbegu ya wambugu kutoka kenya na nyingine nilinunua kuffel creek nadhani hata tamu tamu...
 8. Prodigal Son

  Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

  ni criteria gani umetumia kutambua sijui chochote, karibu saana kwangu uone, wengine hatuandiki hapa kufurahisha watu, au kufurahisha jukwaa...tunajaribu ku share knowledge as i practice.hayo uliyoyataja kwako wewe ndio yaelekea unayajua ninayo matunda ambayo huyajui na mengine i am sure hutakaa...
 9. Prodigal Son

  Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

  what is your point, yapo matunda yanakubali hapa bongo na mengine hayakubali, mfano kwa ukanda wa pwani ni ngumu saana kuotesha APPLE likakubali, nilijaribu wambugu apple pamoja na mbegu nili buy Kuffel Creek garden , iliota poa ilitoa mauwa mengi ila kutokana na joto miti ilishambuliwa na...
 10. Prodigal Son

  Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

  Mimi kwenye compaund yangu nimeotesha kila aina ya tunda FANYA HIVI chimba shimo liende mpaka chini ya msingi, weka PVC pipe chini kabisa hata futi tatu chini ya shimo weka kokote kwenye PVC, weka mbolea then otesha mti wako wowote ukifanya hivyo kila ukimwagilia maji yatakuwa yanaenda chini na...
 11. Prodigal Son

  Hizi Hapa Mbinu Za Kutengeneza Shamba La Mfano

  Hope picha ni kutoka shambani kwako
 12. Prodigal Son

  Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

  Mimi ni mfugaji ushauri wangu======MAJI+ PANDA MALISHO HAKIKISHA UNAUHAKIKA WA KILA MFUGO UTAKAE MFUGA ana CHAKULA CHA MWAKA MOJA PAMOJA NA MAJI === ushauri wa PILI===invest kwenye mbegu sio kufuga goat miaka miwili then ana kG 15,,hakikisha una mgegu sahihi Ushauri wa mwisho+++==== security...
 13. Prodigal Son

  Je, ni umbali gani unatakiwa kupandwa miti ifuatayo pembeni ya fensi ili mizizi isipasue msingi, mwisho ukuta?

  well, hakikisha unachimba shimo kubwa liende chini ya msingi, na hata kama ni kumwagilia hakikisha unachimbia PVC ikute ile roots weka kokoto ukifanya hivyo roots will go down na msingi wako utakuw a salama kabisa
 14. Prodigal Son

  Wakenya, nielekezeni pa kujifunza kilimo cha dragon na kiwi

  Mtembelee kenya anaitwa Mhandisi Anthony KINOTI....huyo ni mkulima mkubwa saana wa dragon kenya na ana sell mbegu kwa bei poa na anasafirisha popote duniani Mimi ni Mtanganyika nimeshafika shambani kwake mara mbili na sasa hivi mimi ni miongoni mwa watanganyika wanaolima dragon kw akiwango cha...
 15. Prodigal Son

  Kilimo cha Dragons na matunda mengine kama Kiwi

  Kwa Kigoma naamini itakubali mbegu kwa sasa nizo ila sio nyingi saana niliwasiliana na Anthony akanishauri nimeshagundua nilipokosea
 16. Prodigal Son

  Kilimo cha Dragons na matunda mengine kama Kiwi

  Mkuu mbegu KIWI zinaenda kwa bei gani
 17. Prodigal Son

  Kilimo cha Dragons na matunda mengine kama Kiwi

  Ninayo za matunda ya red na white, infact mbegu za mwanzo kabisa nilichukua kwako na nyingine nilinunua kwa Anthony KINOTI kutoka kenya matokeo ambayo siyapati ni matunda kipindi cha joto kali na jua siambulii kitu kipindi kingine napata matunda machace saana ....nafikiria niweke green house...
 18. Prodigal Son

  Kilimo cha Dragons na matunda mengine kama Kiwi

  nalimia Msata na Bungu huku pwani muu
 19. Prodigal Son

  Kilimo cha Dragons na matunda mengine kama Kiwi

  Binafsi nalima dragon, ila kwa huku pwani sipati matokeo niliyotarajia kabisa..simwagilii ila mbolea naweka
 20. Prodigal Son

  Naombeni ushauri juu ya tiba ya huu mchungwa

  chukua sabuni ya kuoshea vyombo ya maji, changanya na maji piga itakuwa poa jitahidi usitumie kemikali, jaribu kutumia mbadala wa kemikali kama ulivyoshauriwa utumie pia mkojo wa sungura ni poa saana
Back
Top Bottom