Search results

 1. sijui nini

  Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

  Good movie.. Nimeziangalia movie zote mbili..ziko poa, kwa wanao fatilia mambo ya space travels
 2. sijui nini

  Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

  According to the current science knowledge its impossible kuweza kusafiri kwa 100% speed of light.. But still you never know what's still ahead of science.. Ndio maana kwa sasa inapokuja issue ya long distance space travels wanascience wanaongelea sana mambo ya wormholes na gravity...
 3. sijui nini

  Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

  Hiyo miaka ya dunia mnatumia reference gani? Maana sidhani kama mnaelewa zile law za physics hasa relativity na issue za light travel.. Hapo mkumbuke tunaongelea umbali kwa kulinganisha na mda ambao mwanga ungesafiri kutoka duniani. Thats means kama kuna possibility ya kusafiri kwa speed ya...
 4. sijui nini

  Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

  Hapo kwenye distance ya alpha centaur kutoka dunia sio sahihi... Ni 4.35 light years na sio hiyo 4367 uliyosema... That means mwanga unaweza kusafiri kutoka dunia to alpha centaur kwa muda wa miaka 4.35.. Na alpha centaur ni mfumo pekee wa sayari ulio karibu na mfumo wetu wa jua na wanasayansi...
 5. sijui nini

  Alhamdulillah

  Happiest birthday to you pal.. [emoji512][emoji512]
 6. sijui nini

  Looking for a friend only for chatting

  Breathe. Let go. And remind yourself that this very moment is the only one you know you have for sure.. If you are going through that then i am too.. Just looking for friend wa kubadilishashana mawazo about life experience .. Asiwe from nyanda za juu kusini because that's where I am from and am...
 7. sijui nini

  Kwa budget isiyozidi 600k kwa sasa ni simu gani inafaa zaidi

  Nashukuru sana wazee.. Wacha nifanye mpango niongeze kidogo nichukue hiyo kitu
 8. sijui nini

  Kwa budget isiyozidi 600k kwa sasa ni simu gani inafaa zaidi

  Habari wadau.. Kama kichwa kinavyojieleza, tuajua technology inakwenda kasi na mambo yanabadilika sana. So ningependa kujua kwa range ya budget hiyo simu gani nzuri naweza nikapata maana nataka kununua simu soon. Asante.
 9. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  Mara moja moja sio mbaya kuwadhulumu madogo carton na kutumia screen ya tv kupiga route mbili tatu.... [emoji38]
 10. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  🤣 🤣 Anyway..maana yake ni kuwa kwa kawaida jamaa wa steam huwa wanauza hulu game 20$ ila kwa sasa wameweka punguza maalum bei imekuwa 5$ tu (kama 12,000/-) na hiyo ni game original ambalo unaweza kuacheza online, pia zile dlc na map mbalimbali zimeshuka bei sana nyingi ni zaidi ya 50% off so...
 11. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  Wazee hatuwaoni mko wapi..? Niko na katashime hapa..
 12. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  Poa changamka kaka.. Tupo show room ya iveco hapa tunakusubiri
 13. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  poa poa ..mi nipo pale nawasubiri wadau leo tutoke mapema kidogo tuwahi angalau tumalize route.. nieseti tupite njia za single lane zaidi...
 14. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  Leo tena ntakuwa hapo hamburg na msafara kuelekea Vienna (Austria) ndani ya lisaa limoja lijalo from now (tutatoka saa 3 kasoro usiku huu).. Kwa wanaoweza wa jiandae tukutane jijini hamburg
 15. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  Nlikutumia invite kwenye steam naona huja accept bado..
 16. sijui nini

  Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

  ndo diversion zenyewe hizo..hapo unabidi ubadilishe route tu..ukitaka usiwe nazo hizo kuna sehem pale kwenye settings za game play kuna setiings yake pale unaweza kupunguza au kutoa kabisa.. ila kuna baadhi ya roadblocks mi huwa nalazimisha tu kupita ingawa kuna nyingine huwezi..
Back
Top Bottom