Search results

 1. C

  Kiwanja Kinauzwa maeneo ya mateves karibu na Arusha Airport

  kiwanja kina ukubwa wa eka moja kipo maeneo ya Mateves, Arusha Airport karibu na zipojengwa nyumba za NSSF, bei TZS 35,000,000.00, inaruhusiwa kulipa kwa awamu, kwa mawasiliano zaidi piga namba 0754 094148.
 2. C

  Natafuta Kiwanja Arusha

  Mkuu nitafute 0757531210, nina viwanja nauza maeneo ya Mateves karibu na Arusha Airport.
 3. C

  Kiwanja - Arusha

  Mkuu hiyo bei iko chini sana, nipigie nikupe maelekezo ya kupata kiwanja cha bei hiyo kilichopo eneo hilo la matevesi.
 4. C

  Kiwanja - Arusha

  Hakijapimwa mkuu
 5. C

  Kiwanja - Arusha

  Kiwanja chenye ukubwa wa nusu eka, kipo eneo la mateves karibu na Arusha Airport, kinauzwa Millioni kumi na tano, kwa mawasaliano 0757531210.
 6. C

  Re: Nina tin ya udereva, je naweza anzishia biashara nyingine kama kufungua kampuni??

  Kwa msaada wa kufungua kampuni wasiliana na wanasheria info@vigilanceattorneys.com
 7. C

  Biashara ya micro-finance au micro-credit.

  The best option ni kufungua private company limited by shares, kwa msaada zaidi tuma email kwa mtaalamu wa mambo hayo upendo_2007@yahoo.com
 8. C

  Msaada wenu wana jf

  Hongera sana kwa wazo zuri, tuma email kwa upendo_2007@yahoo.com kwa msaada zaidi juu ya kufungua kampuni ya tours. Thanx:
 9. C

  Jukwa la sheria lisilo na wanasheria

  Ili kuboresha jukwaa la sheria inabidi wachangie wanasheria tu, na kama mtu hana uhakika afanye research kabla ya kutoa opinion yake.
 10. C

  Secretary wa law school of tanzania jamani!!!

  Nimefurahi sana kukuta hii topic JF, yaani huyu dada anakera, sijui kasoma shule gani? hajui customer care kabisa, hafai kuwa receptionist maana hata kwenye simu anaongea vibaya. how can they employ unqualified person? yaani hata uongee nae vizuri bado atakukwaza tu.
 11. C

  Company law,

  What is the position of law for the company that is not trading to stay domant without filling annual returns and conducting annual general meeting as required by the companies act no 12 of 2002?
 12. C

  Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

  God bless you kwa kuwaelimisha watu about this.
 13. C

  Elections 2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

  Kabla ya kufikiria hayo, jaribu kufikiri hatua ayoifikisha TANZANIA, namaanisha awareness of what is going on in our country,Hongera sana Dr Slaa.
Back
Top Bottom