Search results

 1. Kashaijabutege

  Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

  Kajichimbia Mbuyuni. Nasikia ni muuzaji mzuri wa visheti na ubuyu kwa wanafunzi wake. Anafundisha darasa la kwanza na la pili.
 2. Kashaijabutege

  Picha: Mama R. Lowassa akiwa Songea Mjini Leo

  61 years lakini utafikiri yuko form 6 Weruweru! I can't believe. Yaani umri wake ni sawa na wa mamamkwe wa Magufuli, ila mke wa Magufuli anaoenekana kachoka kabisa. Watunze wake zenu.
 3. Kashaijabutege

  CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

  Msichana mdogo wewe UDA? Utakuwa unapandwa na watu wa rika zote.
 4. Kashaijabutege

  Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

  Hivi tangia Josephine afungie nguo za Dr. Slaa, bwana huyu ameshindwa hata kupata vinguo decent vya mitumba?
 5. Kashaijabutege

  Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

  Ndorobo usiyejitambua. Tuko kwa Lowassa, kiangazi au masika.
 6. Kashaijabutege

  Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

  Sawa. Nitawaeleza wadogo zako. Hata hivyo nami nimesoma kwa malengo. Multidisciplinary sioni ubaya wake. Mimi ni TAX CONSULTANT, a career which requires Accountancy and Law. Siku njema.
 7. Kashaijabutege

  Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

  Hilo nalo nen. Kubwa linalonifanya nipende mabadiliko ni mustakabali wa wanangu. Kwa hali yangu, ninapata kipato cha kati (ingawa hakilingani na jitihada), ila hofu yangu ni wasiwasi wa maisha ya wanangu na wajukuu baada ya kifo changu.
 8. Kashaijabutege

  Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

  Mimi nina LLB, PGDLP, PGDHRM, MBA, CPA(T), CFE -yaani Mhasibu cum Lawyer, lakini kura yangu nampa Lowassa.
 9. Kashaijabutege

  Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

  Treni haisimamishwi kwa muluzi.
 10. Kashaijabutege

  Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

  Let us be serious. Ya kweli?
 11. Kashaijabutege

  ITV jamani, mmenunuliwa?

  Ukisoma habari za Lowassa mwanzoni, watazamaji wanaondoka bila kusikiliza habari nyingine. Zinawekwa mwisho ili watu wasikilize mpaka mwisho.
 12. Kashaijabutege

  Paul Sozigwa amepotea katika mazingira ya kitatanishi

  Mzee wa Mazungumzo Baada ya Habari (MBH) cha RTD. Nakumbuka alivyotunanga tarehe 12 Mei 1990 UDSM ilipofungwa kwenye MBH iliyopewa kichwa LY (Last Year). Alisema LY katika shule yao walikuwa nabvituko vingi, lakini kimojawapo ni kuvaa nguo ya ndani kichwani. Sasa anawaona kila LY halisi. Mungu...
 13. Kashaijabutege

  Makamu wa Rais Gharib Bilal kutangaza kukihama chama cha Mapinduzi

  Saa 4.18 ndiyo hii. Ondoa huu uzi. Tetesi zilikuwa uongo. Tuache kukurupuka na tetesi.
 14. Kashaijabutege

  Mjue Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Kikwete

  Atasaidia sana wakileta za kuleta. Yaani kitu Hiroshima wakitangaza matokeo tofauti na matakwa ya umma.
 15. Kashaijabutege

  Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

  Eeh, hili duka kubwa tutapata kila kitu. EL bei gani, Lembeli bei gani, Nape unaandika lakini?
 16. Kashaijabutege

  Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

  Si mnaona x2, muziki wa CHADEMA, CCM itaweza wapi? Pipiiiiipi..
 17. Kashaijabutege

  Hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu za Urais CHADEMA

  Mchungaji Natse hagombei Karatu...
Back
Top Bottom