Search results

 1. N

  Chenge ajiuzulu!

  Siwezi kukubali JK, with his vantage position, and all the might and government tentacles through Usalama wa Taifa and the likes, that he would fail to get first-hand intelligence on whoever in this country. Okay, let's say he didn't. Other people in this very same country, even before he...
 2. N

  Chenge ajiuzulu!

  Jmushi1, Asante kwa kutohoa na kuchambua mustakabali wa Sirikali ya Mhishimiwa JK. Naunga mkono mawazo yako. Wajumbe JF jamani kuweni na subira, watu kweli wana mengi moyoni kuhusu mwelekeo wa nchi yetu, hata kusahau mambo ya vituo sijui aya pale moyo unapoanza kumwaga "radhi" za...
 3. N

  Kenya Election 2007: Outcomes

  Sidhani kama huo mkutano Uhuru Park utafanyika, hadi sasa (saa Jumatatu, saa tisa alasiri) watu 124 wameshauawa, na polisi wametoa tangazo kwamba watawafyatulia risasi (na kuwauwa) watu wote watakokutwa nje ya nyumba zao jijini Nairobi. Maafa! Ni hali ya kusikitisha sana inayoendelea nchini...
 4. N

  JK Try to be Serious.....

  Questions from the Press are submitted well in advance, the President had all the time to prepare tangible and credible responces. Instead he chose to waste time by giving empty smiles and comments in issues that require leadership, wisdom and authority. Take the issue of building on the...
 5. N

  Live: Kizota Dodoma

  Reading though the strings posted, one comes to several conclusions. First, those who are in DOM witnessing CCM proceedings are being carried away. And before I go further, I want to make it clear that I am not favoring any part. I am on issues, and on some of the tough questions which are...
 6. N

  Richmond + TANESCO: The complete deal

  Watu wanauliza huyu Gire ni nani? Hebu cheki hapa kwenye mtandao wa RDC: http://www.rdevco.com/principals.html Mohamed A. Gire: Mr. Gire is a prominent businessman and an active private investor in emerging high-tech companies and offshore real estate and Infrastructure sectors.Mr. Gire...
 7. N

  East African Federation (EAF) public Views

  Mushobozi Thank you very much for bringing up the Hima Empire issue. I googled around and came up with some real nasty discovery. The moment Mugabe told Museveni: 'Your intelligence is exaggerated' TheNewZimbabwe.com: http://www.newzimbabwe.com/pages/powell13.11729.html It is a cold...
 8. N

  Hoyce Temu na Wabaguzi Mamboleo!

  Kuibuka kwa hisia na malalamishi baada ya Richa mwenye asili ya Kihindi kuibuka mlimbwende wa Taifa si jambo la kuachwa kupita juujuu tu. Binti wa watu kaibua dukuduku la jamii bila hata yeye kutarajia. Ubaguzi upo, hali ya kutoaminiana ipo, watanzania weusi na watanzania weupe hasa wenye asili...
 9. N

  East African Federation (EAF) public Views

  Ukishaanza kuone jazba, na maneno makali, hapo ujue mtu anaanza kupoteza mwelekeo. Mimi naamini elimu ya mtu na ujuvi wake vinajionyesha, ikiwa ni pamoja na kukomaa kimjadala. Pale mtu anapooanza mashambulizi, ooh sijui we watoka wapi, mi sijui wote wananijua, sijui visiwa vya wapi na...
 10. N

  East African Federation (EAF) public Views

  Jamani Ndugu zangu, Kwanza najivunia kuwa Mtanzania, ukiondoa historia sijui Mkutano wa Berlin, enzi hizo uliosuruhisha ugomvi wa wakoloni na kupelekea mgawanyo wa bara la Afrika hadi tukawa na mipaka tuliyo nayosasa. bali nasifu na namshukuru Mungu kwa kuwajalia hekima viongozi wetu...
Back
Top Bottom