Search results

 1. lufunyo

  Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

  habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa mbunge wa sumbawanga mjini Aeshy Hilaly Halphany amevuliwa ubunge. Natumaini sasa demokrasia itachukua nafasi yake.
 2. lufunyo

  Maoni Binafsi: Ujio wa Bwana James Ole Millya ndani ya CHADEMA

  Millya kama watanzania wengine anayohaki ya kuchagua chama anachoona kitamfaa. Inawezekana kweli alikuwa au ni mfuasi mtiifu wa Bw Lowassa lakini amejitafakari akagundua njia anayofuata si sahihi. Pia anaweza akawa bado anatumika na huyo jamaa. Hatutakuwa wanademokrasia wa kweli kama tutahoji...
 3. lufunyo

  Wasichana wa Tanzania wanawapenda wanaume wa Kenya

  Wakenya bado hawajawashtukia wasichana wa tanzania janja yao ya 'kuchuna' teh..
 4. lufunyo

  CHADEMA KUJIFUNIKIA NDANI WENYEWe?

  Pole kwa kuwa na mawazo finyu..endelea kuamini hivyo na uendelee kufanya ujinga wako kwa kuamini kuwa nguvu za watu huwa zinazikwa!! pole we:A S-alert1:
 5. lufunyo

  Elections 2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja

  you are junior in the site as well as your thinking....think of your family and relatives in your village. Wewe ndiyo mwenye agenda ya siri na JK kwa kumpa sifa asizostahili:A S-rap:
 6. lufunyo

  Elections 2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja

  yaleyaleee ya kuwataka watanzania kupuuza.....kweli nyie ndo wapuuzi watupu..kama mmejiunga JF kuleta pumba zenu hapa mmechemsha:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 7. lufunyo

  Laurence masha wale mbu ofisini umemwachia nani??

  hana tofauti na wanaowanunulia wapenzi wao simu wakikorofishana wanawanyang'anya..hakika amefilisika kisiasa:bump:
 8. lufunyo

  Chadema acheni kutuchezea... nendeni mahakamani tu...!

  Kwa pumba hizi huwezi kuwa ulichagua mabadiliko kwa sababu mabadiliko yanaletwa na wanaharakati ambao daima wanatafuta njia ya kufikisha ujumbe kwa wahusika ili kuhamasisha mabadiliko. rudi home ukasome katiba inasemaje...stop that bunch of nosenses!
 9. lufunyo

  DR Slaa aeleza sababu ya CHADEMA kususa

  Bila shaka umetumwa wewe.:hungry::hungry::hungry:
 10. lufunyo

  Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

  NA WEWE UMETOKA WAPI?????????:whoo::whoo::whoo::whoo:
 11. lufunyo

  Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

  TOKA MWENYEWE KAMA UMEISHIWA HOJA. :A S-rap:
 12. lufunyo

  Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

  Ni ngumu sana kuzungumzia udini kama huna harufu ya udini..amejuaje kuwa kuna udini kama hajafikiri tofauti za dini za watanzania na kupima ushiriki wao kwenye masuala mbalimbali? mi ninavyojua anayekemea kitu lazima kimetoka na kipo moyoni mwake. hivyo basi kikwete na chama chake ni mdini tena...
 13. lufunyo

  Elections 2010 CCM yatoa tamko kuhusu kitendo cha wabunge wa CHADEMA

  Hakuna la kushangaza kwa hili toka kwa Chiligati kwani ndo walewale vihiyo wa sheria. ila ukihiyo wao unachangiwa sana na kuchanganyikiwa na kunusa harufu ya kupoteza nafasi yao ya hatamu ya nchi..huyo anaweza kuitwa LAP SOKWE. ongeza pale kwenye lap dog, lap kenge list ni kubwa zingatia boguses...
 14. lufunyo

  Elections 2010 Tuipime hotuba yaa Kikwete ya leo November 18 2010 bungeni

  Mi nafikiri hakuna haja ya kujadili hotuba zilizojaa fikra za kifisadi..hotuba zote ni ahadi tu..badala ya mikakati ya kufikia maendeleo. Nakama anazungumzia mikakati basi atakwambia ameomba/ataomba marekani,china na wengine wampatie hiki mara kile. mi naona hatuna rais bali "a chain for black...
 15. lufunyo

  Elections 2010 Je Sitta Kuruhusu mijadala ya Ufisadi Bungeni ni Ujasiri Au Udhaifu..

  Mimi ni mmoja wa wafuasi wa kupigania haki za wanyonge na kupambana na ufisadi Tanzania.>nilifurahishwa sana na Bunge lililopita na jinsi lilivyoendeshwa. Lakini kinachonikwaza mpaka leo ni namna michakato yote ya mijadala ilivyoisha. Hakuna suluhisho hata moja lililofikiwa ili kuokoa rasilimali...
 16. lufunyo

  Elections 2010 Wafuasi wa CCM wampiga m/kiti wao

  Namkumbuka Nyerere alishasema Wapinzani wa kweli watatoka ccm! Enyi ccm nani kawaroga? nani kawambia hao viongozi wenu wanawahujumu? tumieni akili kidogo kugundua kuwa hata baadhi ya viongozi wenu wamegundua kuwa ni wakati muafaka wa kuangalia mustakabali wa taifa na siyo chama tena! Fungueni...
 17. lufunyo

  Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

  wewe ndo hujakomaa akili na kimaadili
 18. lufunyo

  Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

  sijui kama note books zetu zitatosha!
 19. lufunyo

  Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

  mh..hebu tujuze wengine ofisini kwetu hatuna luninga. kama ni hivyo basi tujue linalokuja ni bomu jingine kwani JK kwa kuteua washikaji!
 20. lufunyo

  Elections 2010 Madhara ya kutokumtambua Rais

  Matamshi ya kiongozi wetu Dr Slaa yanawakilisha mawazo na misimamo ya watanzania waliowengi ambao wamechoshwa na maovu ya JK na Chama chake. Hivyo ni vema kumuunga mkono kwa kupinga kwa nguvu zote na bila kuficha yote maovu yaliyofanyika katika uchaguzi hadi kupelekea kumpata raisi!! Siyo vema...
Back
Top Bottom