Search results

 1. boma2000

  Hayati Magufuli hakuwa Dikteta

  Alikuwa na maono ya Tanzania kwa miaka 50 - 100 ijayo kwa maslahi mapana ya Taifa. Si kama wanasiasa wengine na wanajamii ambao maono yao huwa Mwaka moja mpaka mitatu ikizidi hapo ni miaka 5. Ndiyo maana vikundi hivyo na watu hao WALIO wengi lakini upeo mdogo sababu ya maslahi binafsi na...
 2. boma2000

  Mrembo Huyu Kwanini Anakula Mirungi

  Mrembo huyu bado anawika na kajipatia kama umaarufu kapya si wa zamani 😁
 3. boma2000

  Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

  Ulimwengu alikuwa matatizo yake binafsi sasa anataka kuyafanya ni ya kitaifa. Aache fitina, unafiki na upuuzi usiyo na maana. Huyu Ulimwengu ni mtu wa kuchochea mambo na mpenda kuona Tanzania imegawanyika na iwe kwenye vurugu kama walikotoke wazazi wake.
 4. boma2000

  Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

  Kukamatwa ni haki yake Sheria haziangalii sura wala ukibaraka wa Wazungu. Hivyo akikamatwa ni sawa apambane na hali yake.
 5. boma2000

  Uchaguzi 2020 Mashabiki wengi wa Tundu Lissu ni wa mitandaoni hawako kamati kuu wala mkutano mkuu wa CHADEMA

  Umesema Ukweli. Kuna watu akili zao zina waaminisha watu eti kale kakikundi ka mtandaoni ndiyo wapiga kura 30m. Au fikra za kikoloni zimewaingia kwa vile kuna wakoloni wamemjaza upepo Tundu kuja kugombea basi wanaona ataweza kupata kura. Waache watu hao wabaki na FIKRA zao za kikoloni maana...
 6. boma2000

  Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

  Kumbe ameombwa na Zitto na Sharif agombee Urais siyo mahaba yake. Chama mufilisi
 7. boma2000

  Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

  Kwa hizo kura na mgawanyo wake inabidi wakuwaishe Hospitali ya Mirembe
 8. boma2000

  Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

  Wanaosubiri aanguke watasubiri sana mpaka wataanguk wafe. Kwa maana hao wanaosubiri hilo anguko wako kama yule Fisi aliyekuwa anamfuata binadamu nyuma nyuma akisubiri mkono wa binadamu uanguke
 9. boma2000

  Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

  Kila mtu anavuna alichopanda kwa wakati wake unapowadia
 10. boma2000

  Mchungaji Daniel Mgogo usikengeuke , Jikite kwenye Mahubiri usikubali kutumiwa na CCM

  Unamwonea huyu Mchungaji, mara nyingi huwa naona kina Bagonza na wenzake Mapadre na Maaskofu wenye kuishambulia Serikali na CCM huwa wanashangiliwa sana. Hivi wao wapochanganya siasa na dini ni RUKSA sababu wanachadem lakini huyu kusifia serikali ni kosa😳
 11. boma2000

  Uchambuzi wa Zitto kuhusu Barrick Gold unapotosha

  Umetoa ufafanuzi mzuri sana. Zitto kazi yake kubwa SIKU ZOTE ni kupotosha watu.
 12. boma2000

  Lowassa, Zitto, Maalim Seif na Fatuma Karume wakutana Zanzibar

  Lowassa anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema haraka iwezekanavyo
 13. boma2000

  Sauti yangu kwenu Makamanda Freeman Mbowe na Esther Matiko

  Sikufahamu kama ni vita, nilijua ni majadiliano ya hoja kwa hoja na sikujua kama matusi ni silaha katika kujenga hoja. Sisi wote ni Watanzania nafikiri hamna haja ya kutukanana. Yaweza tokea siku ukakuta mwenye hiyo ID ni mtu mnafahamiana vizuri, kwenye nafasi utajisikiaje?
 14. boma2000

  Sauti yangu kwenu Makamanda Freeman Mbowe na Esther Matiko

  matusi ya nini? jibishaneni kwa hoja. Matusi huwa ni ishara mbaya.
 15. boma2000

  Watumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) kortini tuhuma uhujumu uchumi

  habari haina details wala majina, imekosa maana halisi ya kutuhabarisha
 16. boma2000

  Mwita Waitara: Ntaipasua CHADEMA vipande vipande wakiendelea kunifuatilia

  Siasa zina raha yake na uchungu wake
 17. boma2000

  Kwa yanayotokea Kenya lilikuwa kosa la kiufundi CHADEMA kumuunga mkono Kenyatta

  acha uongo, Uhuru Kenyatta yuko poa. kwani mpaka sasa kafanya kibaya gani? tatizo la uchaguzi halikuwa la Uhuru bali tume huru ya uchaguzi
 18. boma2000

  CHADEMA hebu mtueleze hii 'Critical but stable' inamaanisha nini au ni lugha ya upigaji?

  Asante nimeelewa kumbe wewe ni Jilimbukeni kuuubwa
Back
Top Bottom