Search results

 1. Domo Kaya

  Mbadala wa DSTV

  Mie ni mtumiaji wa huduma ya DSTV na sijawahi kukutana na hilo tatizo hata mala moja ndio kwanza nasikia kwako mkuu, tatizo ambalo wanalo DSTV ni kipindi cha mvua huwa inasumbua wakilekebisha hilo DSTV is the best among the Best hana mpinzani TZ.
 2. Domo Kaya

  Nisaidieni, mwanangu anaumwa!

  Mpeleke pale Kinondoni B dispensary, omba kumuona dr. Anton ni mzuri sana kwa watoto hope atapata nafuu.
 3. Domo Kaya

  Mh.Peter Msigwa una lako jambo unastahili kufungwa.

  Hiki chama kinachojiita Chadema hakina jipya,kimeshafilisika kisiasa, maana tangu kianzishwe sijawahi kuona zuri kilichofanya kwa Watanzania zaidi ya chuki, ubinafsi, na uchochezi, na nina wasiwasi hata hizi vurugu za Mtwara kuna mkono wa Chadema..... Sie yetu macho bana tutaona nini mwisho wa...
 4. Domo Kaya

  JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

  JB nampa 150% na RAY nampa 15%
 5. Domo Kaya

  BOMU LA ARUSHA: Serikali imeanza kucheza mchezo wa kisiasa?

  Chama fulani cha Siasa viongozi wake ndio wawe wa kwanza kuhijiwa
 6. Domo Kaya

  Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

  Kuna chama fulani cha Siasa inabidi viongozi wake wachunguzwe!!!!!!
 7. Domo Kaya

  Madeni Shamte Kipande Akaimu Ukurugenzi mkuu TPA

  Eng. Kipande.... Tangu apewe TPA masaa aliyokaa ofisini na kupitia nyaraka muhimu yanahesabika.
 8. Domo Kaya

  Natafuta mark x

  Mie nauza Mark X yangu imetembea kilometa 80,000 ni model ya 2005 ila number ndio za zamani AWZ bei maelewano, km unatenda kuiona Ni PM.
 9. Domo Kaya

  Kati ya baba na mama wewe unampenda nani?

  Mie nampenda Mama yangu kwa 150% , na baba yangu nampenda kwa 0%
 10. Domo Kaya

  Nisaidieni sheria nipate malimbikizo yangu nssf?

  Kwa ninavyojua mimi stahili yako ni 20% yaani 10%kutoka kwako na 10% inatoa kampuni, labda ufafanue vizuri maana hatujakuelewa
 11. Domo Kaya

  Kumiliki Simu nyingi Hivi ni Dalili ya ushamba na Tamaa.

  Nyinyi wengine hawana hela za kununua simu basi maneno kibao
 12. Domo Kaya

  MWANAFUNZI HAFAULU KWA MAANDAMANO, dawa ni kubadili mfumo wa elimu nchini sio kila jambo maandamano

  Sasa kuandamana au kujiuzuru kwa waziri kutasaidia nini? Mie nataka kuanzisha maandamano kushinikiza wazazi wawe wanafuatiloa maendeleo ya watoto wao na sio kushinda baa
 13. Domo Kaya

  Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

  Asante kwa kunijibu, ila kumbuka mfumo duni wa elimu haukuanza jana wkt Waziri Shukuru anaanza kuongoza hii wizara, na kuzorota kwa Elimu kulianza kipindi ambacho shule za kata zilianzishwa bila ya waalimu, na kufeli kwa watoto kunaanzia nyumbani kwenu wazazi, wewe km mzazi ulimuandaaje mwanao...
 14. Domo Kaya

  Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

  Sasa analazimisha wananchi watake anachotaka yeye au? Kwani watoto ndio waliofeli au waziri na naibu wake? Mbona mimi hapo sielewi hebu nifumbueni macho jamani?
Back
Top Bottom