Search results

 1. Billal Saadat

  Tetesi: Maandamano ni vita ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

  Nife kwa ujinga wa nyumbu….
 2. Billal Saadat

  Tetesi: Maandamano ni vita ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

  Maandamano ya Mbowe ni kutaka kujiimarisha CHADEMA. The Moment Mbowe anamuacha Lissu kwenye kamati ya maridhiano 6 x 6 Lissu aliamua kufunga roho yake kwa kutokubaliana na maridhiano hata ndani ya chama aliendelea kumpinga Mbowe juu ya maridhiano hayo ambayo yalileta mpasuko ndani ya CHADEMA...
 3. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Ukiwa hujui wewe si watu wote hawana taarifa cha muhimu pokea taarifa kutoka kwa wenye taarifa …!!
 4. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  [emoji23][emoji23][emoji23] ofisi mmepangisha kwa Mbowe kila mwezi mtalipa dola 5000 mezani aliyepanga mwanzo alikuwa analipa dola 2000 monthly.
 5. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Hakuna mwenye uwezo wa kufanya hivyo kwasasa wamefanya chama kuwa sehemu ya kuchumia ndiyo maana wenye Pesa wanaweza kuwapelekesha watakavyo.! Nani wa kumuhoji Mbowe kwasasa anaamua na kupanga kila jambo ametegea uchaguzi ufike awabane CHADEMA na amefanikiwa lengo lake. Amewapangisha kwa...
 6. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Jamii is become to weak now kwa hoja za namna hii za matusi [emoji23][emoji23][emoji23] hamtafika mbali kama uwezo wenu upo kwenye matusi.
 7. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Mbowe alitaka kuuza nyumba alipogundua CHADEMA mpo mkaingia mkataba subiri uone yajayo kwenye malipo ya kodi ya nyumba tuko pale tumekaa!
 8. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  CHADEMA ni mali ya mtu, atakachoamua nyinyi wote mnafuatwa tu!
 9. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Mnaitisha maandamano mkijua wazi ofisi yenu ipo kupatana.com muda wowote mnaweza kufanya vikao chini ya mti.
 10. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Kahamisheni vitu mtaa wa ufipa muingie barabarani ..!! Ila mwisho wa mwezi kodi ni dola 5000 mezani kwa Mbowe.
 11. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Imekuuma vumilia hoja kama unvyozileta humu…!! Basic response yenu matusi [emoji23][emoji23][emoji23]
 12. Billal Saadat

  Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

  Bado Chadema imeshindwa kuondoka mikononi mwa mikono ya Mbowe hii ni baada ya kupanga nyumba maeneo ya Mikocheni, nyumba inayomilikiwa na Mwenyekiti wa chama hicho Aikael Mbowe mwanzo chama hicho walikuwa wamepanga ofisi Kinondoni mtaa wa Ufipa nyumba iliyokuwa mali ya Edwin Mtei. Sidhani kama...
 13. Billal Saadat

  Wapinzani wameshindwa kabla ya Uchaguzi. Katiba ni mbuzi wa kafara

  USHINDI WA RAIS SAMIA 2025 NI ASILIMIA 95. Tanzania tumezoea Siasa za Ushawishi kufanya siasa bila ya ugumu wa kuhasimia au kugawana hizi ndiyo siasa tunazozitaka. Mawazo tofauti si chuki si uadui ni uwezo wa kuzidiwa ushawishi tu. Mfumo wa vyama vingi ulipokuja Tanzania Mwaka 1992, ulikuja na...
 14. Billal Saadat

  Rais Samia ni mwanamageuzi ndani ya wakati sahihi

  Baada ya kuapishwa Machi 19,2021 Rais Samia alitamani kuona Tanzania inasimama peke yake bila kutegemea mikopo, lakini ukitizama katika hali tulivyokuwa nayo ilikuwa ni sawa na kujichimbia shimoni! Siku zote palipo na matatizo kuna mzizi wa tatizo lenyewe huo ndiyo wa muhimu kuukata! Matunda ya...
 15. Billal Saadat

  Kumbuka wewe ni binadamu na utakufa

  Memento Homo. Memento Mori. Julai 12 mwaka 100 BC katika mji wa Suburra huko Roma ya Kale, alizaliwa mtu aliyekuja kuwa Jenerali wa Jeshi na mtawala mashuhuri wa dola ya Kirumi, Julius Caesar (Kaizari). Kabla ya kuja kuwa mtawala wa Roma, Kaizari alikuwa Jenerali hodari aliyeongoza dola ya kale...
 16. Billal Saadat

  Mama anatudekeza, anatusikiliza hatuna deni kwake Rais Samia

  Hakika tunaye Rais na Mama anayejali na kusikiliza kifupi tuseme anatudekeza Mama ametambua kuwa hakuna Amani bila Maendeleo, na hakuna maendeleo bila Amani Mama anataka maendeleo haya yadumu miaka na mikaka kwa kuheshimu haki za binadamu, na utawala bora wa sheria. Ndiyo maana kila wapinzani...
 17. Billal Saadat

  CHADEMA Wameamka Ileje asubuhi na hali ile ile. Je, huku nako vipi?

  Jana chadema walizua taharuki kubwa mitandao kwa kumtuhumu Mkuu wa wilaya ya Momba Mhe. Kenani kihongosi kwa kuwahujumu mkutano wao na mpaka wakashtaki kwa Askofu Mwamakula wao na yeye akaenda mbali mpaka kuandika Waraka wa wazi kwa Rais Samia. Leo Asubuhi kwa ratiba yao walipanga kuanza...
 18. Billal Saadat

  Aibu nyingine kwa CHADEMA Tunduma, Operesheni yadoda!

  Katika hali ambayo haijatarajiwa na wengi ni kutokana na muitikio hafifu wa wanachama wa CHADEMA katika mkutano uliopangwa kufanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Nyerere hapa Tunduma. Watu wa Tunduma kisiasa husemekana ni watu wenye Joto la mageuzi lakini hali ni tofauti hadi muda huu...
 19. Billal Saadat

  Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

  Askofu Mwandamizi Jimbo kuu la Tabora, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake. Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake. Tabora ni...
Back
Top Bottom