Search results

 1. Onny Alex

  Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

  System Development ni mchakato unaopitia hatua nyingi na inahusisha watu mbalimbali ingawaje, inategemea kama ni project ndogo ama kubwa na kulingana na uhitaji wa mteja. Unaweza kupitia post yangu upya maana nimejaribu kuiweka vyema upya kwa kuwa link niliyoweka awali ilikuwa na changamoto...
 2. Onny Alex

  Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

  Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
 3. Onny Alex

  Mikopo kwa wanao upgrade

  Habarini wana jf, naomben Kufahamishwa siku hz utaratbu wa TCU na hesleb kutoa mikopo kwa wanaojiendeleza vyuo vikuu ukoje? maana nilisikia hapewi mikopo nowdays!!
 4. Onny Alex

  wanaume na mipira yaooo!!!

  Uko sahihi #Debora ila mara nyingi hawa uwa ni malimbukeni wa ushabiki!, ushabik ambao hauna busara ndan yake, na asilimia chache sana wameenda shule..!
 5. Onny Alex

  Hivi wakenya lugha yao kiswahili au kiingereza?

  kiingereza ndo lugha yao ya taifa, japokuwa wanachanganya, na kiswahili kwa baadh ya maeneo kinatumika sana.
 6. Onny Alex

  Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

  Hey Hawty Lady tatizo lako limepata ufumbuzi?? kama bado tuwasiliane ili tuweze kushilikisha altenatives!
 7. Onny Alex

  Jinsi ya kuachana na mwanamke bila ugomvi

  Suluhisho ni mahakama...! sheria zipo, tafta ushaidi wa uhakika moja ni makovu yako.. kutishia kuua ni jera mja kwa 1 japokuwa hata wewe utabanwa kdogo kwa upande fulan km unavyojua ilvyo msumeno!.., kiulaiiiini kabsa anaachana nae.
Back
Top Bottom