Search results

 1. Bin Maryam

  Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

  Mzee hapa una-bore. Haya masuala ya kutazama Ramani yalitumika miaka hile ya zamani wakati tunatafuta identity ya utaifa. Miaka ya sasa ni lazima tuachane na fantasy na kuangalia reality. Ujenzi wa dam una negative impacts kwa ecosystem.
 2. Bin Maryam

  Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

  Idimi itabidi tuwasiliane. Maana nahitaji umeme kwa shughuli zangu tu binafsi.
 3. Bin Maryam

  Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

  jmushi1: Yes, tunahitaji viongozi. Lakini mengi ya matatizo hayo ni attitudes zetu kama jamii. Vijana wengi wa Tanzania wanapotumia technologies au viongozi wao wanapoagiza technologies wanafikiria kuwa umeshuka from outerspace. Lakini wagefikiri kuwa kuna watu wame-invest mawazo yao hili...
 4. Bin Maryam

  Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

  Mjue mtu kabla ya kumlaumu. Kwa muda mrefu sijachangia hapa JF. Na cha ziada nilichofanya ni kuwa One man family.
 5. Bin Maryam

  Tatizo la umeme nchini linahitaji ufumbuzi wa muda mrefu na sio muda mfupi

  Salaam JF, Kuna msemo hapa wa Waafrika Ndivyo Walivyo. Mtoa mada ametoa takwimu moja nzuri sana. Mojawapo ni kuonyesha kuwa ukiondoa South Afrika ambayo nayo ina matatizo ya umeme, nchi zilizobaki zina matatizo makubwa ya nguvu za umeme. Na vilevile ameonyesha kuwa Poland inazalisha umeme kwa...
 6. Bin Maryam

  Dar is set for Ruhudji hydropower station

  Hili ni suala la collective responsibility. Wananchi nao wanatakiwa kupunguza uzazi. Na vilevile kuangalia matumizi ya NUKE. Lazima nchi iwe na source mbalimbali.
 7. Bin Maryam

  Tanzania na Maendeleo ya Wajinga - What did Nyerere do?

  Mwanasiasa akienda WB, IMF na kwa Wahisani wengine, atasema ni mafanikio yake. Juhudi kubwa alizofanya Nyerere ni ku-convice WB, IMF na Wahisani wengine kuwa yuko genuine kutumia pesa zao. Mpaka sasa unatumia juhudi kubwa kutunishawishi kuwa ni juhudi za Nyerere zilizofikisha literacy...
 8. Bin Maryam

  Web Designers needed!

  Invisible: Naomba hiyo kazi, my expertise yapo kwenye 2-tiers, 3-tiers web architecture.
 9. Bin Maryam

  Julius Kambarage Nyerere Biography

  Unazungumzia nchi gani? Tanzania
 10. Bin Maryam

  Julius Kambarage Nyerere Biography

  Lakini ndio wanaosoma kivulini na kula kivulini.
 11. Bin Maryam

  Tunavyosutwa na Prof KEN EDWARDS

  Joshua Nkhululi School of Business
 12. Bin Maryam

  Julius Kambarage Nyerere Biography

  Kelly01: Hiyo schoolarship ina mshiko kiasi gani?
 13. Bin Maryam

  Tunavyosutwa na Prof KEN EDWARDS

  Fundi Mchundo: Siamini kinachosemwa hapa. Hila kuna kitu kimoja ambacho ata mimi nilikuwa nacho. Wengi tulisoma japokuwa vishule vidogo tunaamini kuwa mafanikio yetu yanatokana na NECHA zetu na tunasahau kuwa kuna watu waliojenga mazingira ya mafanikio yetu. Wanafunzi wengi wamepita...
 14. Bin Maryam

  Sherehe za Uhuru: Mkapa hakutokea tena

  Hivi kwenye Sherehe za uhuru na nyinyi mnafanya BBQ kama huku mtoni? Labda Mkapa alikwenda kupasua kuni za BBQ.
 15. Bin Maryam

  Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

  People Grow up: Serikali ifanye nini hapa ???
 16. Bin Maryam

  Mkapa above the law?: Allegations

  PEZZONOVANTE: Mada nzuri lakini kama moderator usianze kutoka nje ya mistari. Point ni kuwa tunataka kujenga taifa hivyo wizi wa mali za umma lazima uchungu uwe kwa taifa. Hili suala la mtu kuiba na kwenda kwao kujiosha kwa kutoa pilau, sadaka misikitini au makanisa na kuwafuraisha watu wa...
 17. Bin Maryam

  Kwanini Kikwete alikataa kumleta Ballali?

  Hivi Tanzania si nchi inayoendeshwa kisheria? Kama ni nchi inayoendeshwa kisheria basi mamlaka ya kumchukulia hatua za kisheria mtu yoyote hayapo mikononi mwa rais.
 18. Bin Maryam

  Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

  Ni vicious kubwa. Nirudi Tanzania na kwa kile nilichosomea na uzoefu wangu wa kazi ninaweza kuunda timu au kampuni ya kupata faida na kuzibakia pesa palepale nyumbani. Lakini hiyo mizunguko yake na 10 percent ya kupata tenda siiwezi. Ukweli nina wazazi wawili waliostaafu wanaonitegemea na...
 19. Bin Maryam

  Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

  Pundit: Nilipata bahati ya kusoma Tanzania na nje ya nchi. Kuna ukweli ya unayoyasema lakini mimi bado nipo KWENYE BIZNIS. Kwa mfano wakati wa enzi ya utawala wa kirumi au wakati wa Renaissance kuna miji mikubwa ilizuka yenye mireferi ya maji, viwanja vya michezo mahekalu ya dini na mambo...
 20. Bin Maryam

  Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

  Ngabu: Nilitoa ahadi ya kujibu lakini naona ukumbi kama umejaa posti nyingi ambazo zinatoka nje ya mada. Kuna posti niliyosema utaalamu uupatao shuleni ni taaluma tu. Lakini kazi zinazoendelea nchi ni miradi inayotumia pesa, muda, na human capital (watu wenye taaluma zao). Na watu...
Back
Top Bottom