Search results

 1. afrodenzi

  Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuwawa na Hamas

  Nyani Ngabu (NN)my dear, I hope you're having a good laugh . naona umefanya watu humu wameanza kuongelea siri zao za ndani.
 2. afrodenzi

  Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

  Mi nipo Kaveli. Heri ya mwaka mpya :-)
 3. afrodenzi

  Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

  Duhhh wote hawa walituburudisha mno kipindi kileee. Na hisi mmoja wao atatoa nyimbo mpya soon. hii ni njia mmoja wapo tu ya watu kuwaongelea.
 4. afrodenzi

  Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

  Nipo besti, zama siku ? Naona JF bado mambo matamu. 😊
 5. afrodenzi

  Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

  Dahh, mbona uneandika kwa hasira sana? Anyway, kila mtu na maisha yake au vipi?
 6. afrodenzi

  Wakurd karibu wote ni Waislamu wa madhehebu ya Sunni lakini wamekataa Hijab, wanasema ni mila ya Kiarabu

  Dahhhh, JF bado patamu na raha sana kupunguza mawazo. nimecheka mno. lol 😆🤣😂
 7. afrodenzi

  Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

  Bujibuji Shikamoo. Anyways , Mmoja wa hao jehovah's witness alikuja gonga mlango wangu nikafanya kosa la kumkaribisha ndani na kumuhudumia kahawa. yaani ikawa kero kila kukicha anakuja nyumbani kwangu. akinikosa asubuhi anakuja jioni. Kero ikazidi nikamuomba sana asiwe anakuja nyumbani...
 8. afrodenzi

  Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

  🤣🤣🤣. Mi nimekuja kucheka tu.
 9. afrodenzi

  UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

  kinachohuzunisha ni kwamba watoto wa lio lawitiwa(victims of rape or sexual assault) hawatapata msaada wowote, kama vile canceling, au victims support kutoka kwa ustawi wa jamii. inasikitisha sana attention yote inaelekea kwa huyu padre (perpetrator). Hawa watoto ndio watakaoteseka miaka...
 10. afrodenzi

  Mjamzito afumaniwa akijamiiana hospitalini

  Duhh :eek::eek:🤯
 11. afrodenzi

  Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

  Watanzania bado tuna umasikini wa akili. Kwa hali hii hatutafika mbali. Miaka kumi ijayo bado tutakuwa tunalalamika umeme unakatwa hovyo mara hakuna maji etc etc. Tuna safari ndefu mno.
 12. afrodenzi

  Wazungu waanza kuambiana ukweli

  He is delusional.🤯
 13. afrodenzi

  January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

  Samahani mkuu. Ningependa kuuliza kama umesoma kitabu kiitwachwa Robinson Crusoe by Daniel Defoe?
 14. afrodenzi

  Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

  Ni biashara tu , before pandamic (COVID) Forbes walisema Royal family wali contribute $28 Billion to Britain's economy.
 15. afrodenzi

  Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

  Pole Pascal. Ulienda mwenyewe au na lawyer wako?
 16. afrodenzi

  Nimependwa na mama mjamzito. Kaniomba nimgegede, nifanyeje?

  Yaelekea umesha amua utakachofanya. sijui unaomba ushari wa nini tena mkuu.
 17. afrodenzi

  Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

  Pole mkuu. Vizuri kusikia umerudi kwenye hali yako ya kawaidi.
 18. afrodenzi

  Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

  Pesa sio kila kitu mkuu. Kuna watu mifuko yao imevimba hatari, na bado inawawia vigumu kukabiliana na maisha. Kuna sababu nyingi sana zinazoweza kumfanya mtu apate matatizo ya akili hapo juu umetaja moja "stress" . Stress in moderation ni kitu kizuri. Ila stress ikizidi na hujui jinsi ya ku...
Back
Top Bottom