Search results

 1. Augustine Moshi

  CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

  Vyombo vikuu vya habari hawatangazi shughuli za Chadema. Siyo haki kwa TBC na hata ITV kufamya kazi kama mali ya CCM. Ni muhimu Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari. Sina shaka kukiwa na TV Chadema itapata watazamaji wengi sana. Siyo kazi ndogo kuanzisha TV lakini Chadema siyo chama...
 2. Augustine Moshi

  Je, Ndoto ya Tanzania ya Uchumi wa Gesi Kutimia? Ni Baada ya Kampuni za Gas Kufika Muafaka na Serikali Kuwekeza Tilioni 96 kwenye Mradi wa Lindi LPG

  Gharama ya mradi kusemwa kwamba ni $42 billion haimaanishi fedha hizo zitaletwa Tanzania. Sehemu kubwa ya gharama itatumika ughaibuni kulipia front end design na kununua vifaa (eg big gensets) ambavyo vitabakia kuwa mali ya makampuni husika. Kuna fedha zitaingia Tanzania, hasa wakati wa...
 3. Augustine Moshi

  Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

  Kama msanii angekuwa na wakili mzuri nadhani hangetiwa hatiani. Kumtukana Rais maana yake ni nini? Kusema neno la kumshutumu Rais ni kumtukana? Wakili msomi angehoji mashahidi vizuri na mambo yangekuwa tofauti. Maudhui ya wimbo siyo mazuri. Labda kufungia wimbo ingekuwa sawa lakini kutukana...
 4. Augustine Moshi

  Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

  "Pigeni kura vyovyote mnavyopenda lakini serikali tutaunda sisi"
 5. Augustine Moshi

  Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

  Ufumbuzi ni kukataza wakulima kuuza mazao yao kwa anayewapa bei ya juu zaidi? Au ni kuwakataza wasiuze kabisa mazao yao? Ifike mahali wakulima wawe treated kama watu wanaoweza kujiamulia wenyewe. Nani kakuambia wanaouza hawajajiwekea akiba? Kama itabidi wapate njaa ndiyo wajifunze basi na iwe hivyo.
 6. Augustine Moshi

  Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

  Ufumbuzi wa hilo ni kufunga mipaka na/au kuzuia wanaouza nje?
 7. Augustine Moshi

  Hujuma na maneno bila matendo

  Tukubali au tutafute namna ya kukata mirija?
 8. Augustine Moshi

  Hujuma na maneno bila matendo

  Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali. Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa njia ya mifumo ya kulipa kwa kielektroniko bila mafanikio. Siku za nyuma nimelipa kodi na tozo...
 9. Augustine Moshi

  Rais Samia anafanya usanii wa demokrasia. Maridhiano ni janja tu ya kujisafisha kimataifa

  Watu walijadili na Pik Bother, PW Bother, Frederick De Klerk Ian Smith na matokeo yakaonekana. Mau Mau walijadili na mtawala wa Kenya Colony na matokeo chanya yakapatikana. Ni sahihi kabisa kwa vyama vya upinzani kujadiliana na chama tawala. Cha msingi ni kuwa macho. Kuna waliohodhi madaraka...
 10. Augustine Moshi

  Serikali Sio Baba, Mama au Mjomba; Sio lazima kuisubiri Serikali kwa kila kitu

  Miundombinu itajengwaje bila kodi? Elimu na afya vitatolewaje bila kodi?
 11. Augustine Moshi

  Serikali Sio Baba, Mama au Mjomba; Sio lazima kuisubiri Serikali kwa kila kitu

  Sio Lazima Kuisubiri Serikali Kwa Kila Kitu. Masikini Watanzania wengi bado wanadhani serikali ni baba mama au mjomba. Ukifuatilia taarifa za habari zilizoko redioni, magazetini na kwenye runinga utashangaa jinsi watu wanavyoisubiri serikali iwafanyie vitu ambavyo wao wenyewe wangepashwa...
 12. Augustine Moshi

  Education is politics

  The proposal being floated that students be streamed into academic or technical schools after six years of education (German model) is a good one. But then you must equip the schools and pay the teachers a living wage for this to work. If we continue to pretend to pay the teachers then they...
 13. Augustine Moshi

  Education is politics

  We are still constructing the terminology that is required to describe science and technology at post primary education. We do not have the linguistic infrastructure and books to correctly teach science and technology in Kiswahili at the Post secondary level at this time.
 14. Augustine Moshi

  Education is politics

  My suggestion is that we teach in Kiswahili from pre-school to standard 7. We switch to English after that
 15. Augustine Moshi

  Education is politics

  There is a raging debate on education in Tanzania at the moment. This is as it should be. But there is a lack of clarity on foundational matters. The political elite is blaming curricula for the woes in education. But we are in fact using the same kinds of curricula that are being used in...
 16. Augustine Moshi

  Chuo Cha SAUT kuahirisha masomo ili kwenda kumpokea Rais haijakaa sawa, Rais anapita tu kwenda mkoani Mara

  Kama ni kweli basi nawalaumu sana viongozi wa SAUT. Siwezi kuwalaumu wanafunzi kwani inawezekana hawakubaliani na hii tabia. KUJIKOMBA (bootlicking) siyo sifa (attribute) ya chou kikuu. Ni kitu kinashusha hadhi ya chou kikuu sana, na kinabaki simply a glorified high school. Kujikomba, by...
 17. Augustine Moshi

  Sababu za Tanzania kupitwa kimaendeleo na nchi nyingine

  Mkuu Bambushka, Ujue ardhi ya DRC ilikuwepo siku zote. Kama ndiyo iliyowapaisha Rwanda, basi ujue ni alipopatikana kiongozi mzuri ndipo ilipotumika vizuri hiyo ardhi.
 18. Augustine Moshi

  Sababu za Tanzania kupitwa kimaendeleo na nchi nyingine

  Swali la lugha sio kwamba tujue Kiswahili au Kingereza. It is not EITHER OR, but it is rather BOTH AND. Watanzania wanaomaliza elimu ya sekondari na kuendelea waweze kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza. Watoto wanaosoma international schools wanakuwa na hiyo hali ya kumudu lugha...
 19. Augustine Moshi

  Sababu za Tanzania kupitwa kimaendeleo na nchi nyingine

  Mfano wa Rwanda unatuambia “ili tuendelee tunahitaji uongozi bora”. Vita vya kimbari vilileta mauaji ya kutisha Rwanda 1994. Walichinjana watu laki nane. Baada ya vita, Rais Kagame akachukua nchi. Ilikuwa kama failed state, lakini sasa ona waliko. UONGOZI BORA is the conditio sine qua non for...
 20. Augustine Moshi

  Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

  Rais yuko sahihi hapa. Kukopa ukala ni kosa, lakini kukopa ukawekeza kwenye miradi yenye uwezo wa kurudisha deni ni sawa sana. Mfano mzuri ni reli mpya ya Nairobi hadi Mombasa. Kenya walikopa wakaijenga. Sasa direct benefits na spin off businesses zake zinachangia sana kuinua uchumi wa Kenya...
Back
Top Bottom