Search results

 1. Kituko

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Tunazunguka sana, Shida ya Chelsea hipo kwa kocha TT, huyo Haaland hata kama angekuja Chelsea angekuwa kama Lukaku tu
 2. Kituko

  Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

  Mwanamke una gubu si mchezo. Mtoto wa kike hapashwi kuwa hivyo.
 3. Kituko

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Mkuu mbona unajitahidi sna kuchambua Mpira umeshindwaje kuona kuwa Jorgino ndio alikuwa weaklink leo?, alipashwa kuwa bench 1st half, Konte kecheza kuziba hayo magap
 4. Kituko

  Mikel Arteta apewa mechi 5 tu kabla hajatimuliwa

  Na hii ya Man City ni miongoni mwa hizo Tano? kama jibu ni ndio basi wamempa mechi nne tu
 5. Kituko

  Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

  Kweli Kabisa, hakuna jibu la maana lililotolewa
 6. Kituko

  Nina safari ya kwenda Bukavu nchini Congo, naomba taarifa za Mji

  Kigoma (Lake Tanganyika) inapakana na Uvira na Kalemie, Unajua Congo ina province (Majimbo) So Kalemie ni jimbo la Katanga lenye miji kama Lubumbashi, kolwezi nk, Uvira na Bukavu ni jimbo la Kivu ya Kusini na Goma ni Jimbo la Kivu ya Kaskazini so Kutokea Kigoma huwezi fika Bukavu au Goma na Pia...
 7. Kituko

  Nina safari ya kwenda Bukavu nchini Congo, naomba taarifa za Mji

  Issue ya Usalama Congo haitabiriki, muda wowote mambo yanaharibika, na pia unaweza kusikia watu wanapigana Goma lakini Bukavu wapo poa kama nchi nyingine, Goma kuna njia nyingi za kufika huko, kama umefika Bukavu kuna Meli pale Zinaitwa Emmanuel zinaenda Goma (Lake Kivu), au thru Rwanda kwa gari...
 8. Kituko

  Nina safari ya kwenda Bukavu nchini Congo, naomba taarifa za Mji

  w Msalimie Mwami Christian Longangi
 9. Kituko

  Nina safari ya kwenda Bukavu nchini Congo, naomba taarifa za Mji

  Ubalozi wa DRC upo pale Upanga opposite na Scout, kaombe Visa gharama 50$, karushwa lazima kawepo kidogo kama hauna documents toshelezi 1: Usikose Yellow Fever (Vaccination book) 2: kwa ndege Panda RwandaAir mpaka Kigali then ndege ndogo mpaka Kamembe (Ndani ya Rwanda) Huo uwanja wa Kamembe...
 10. Kituko

  Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

  Hao ni MaPress Secretaries ambao Nyerere aliwaamini sana, wa kwanza kushoto ni Habib Halahala, Paul Sozigwa, JKN, Bgr. Hashim Mbita na Benjamin Mkapa, wote wametangulia mbele ya Haki, wa kwanza kufariki ni halahala mwenye Suti Nyeusi Kushoto kabisa, na wa Mwisho kufariki ni Mkapa wa mwisho kulia...
 11. Kituko

  Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

  mkuu unafahamu historia ya Tanzania na South Africa?, Hai walishangilia jina Tanzania na wala sio Uncle
 12. Kituko

  ' Eagle Wing House ' jisafisheni juu ya hizi Kashfa ambazo kila Siku zinatupwa Kwenu ili muendelee Kuaminika na wengi

  Sio Eagle Wing house, naona kila siku unarudia kuandika hivyo, lile jingo ni complete Eagle, Two wings, Head and Tail, so linaitwa EAGLE HOUSE
 13. Kituko

  IGP Sirro: Nitachukua hatua ndani ya siku tatu kutekwa kwa MO Dewji

  Mkuu kuna vitu kadhaa inakupasa kuvielewa 1. IGP alikosea kidogo sana kuwa Padiri, hivyo ukae ukijua bado ana ludha ya kibiblia 2. Kwa hiyo hizo siku tatu za Sirro sio za kibinadamu, maana muda wake umeshapita, hivyo hizo ni za Koroho, hivi unajua siku moja ya kiroho ni sawa miaka mingapi? 3...
 14. Kituko

  Lipumba ashinda Uenyekiti wa CUF kwa asilimia 88

  Lengo ni kuivuruga na kuibomoa CUF
 15. Kituko

  Huu ndio muundo mpya wa upinzani mkubwa Tanzania, CUF kufutika Zanzibar

  Mkuu strategy ya kugomea uchaguzi wala haitawork out vzuri, kuna watu kama Mrema, Cheyo na Dovutwa hawa kwa 5mil tu wanaingiza timu vizuri tu
 16. Kituko

  Jeshi la Polisi lawataka Wanawake wa CHADEMA na ACT kuungana na wenzao kwenye maazikisho ya kitaifa Geita na Katavi

  Kuna mtu kazungumzia habari za Amnesty zinazoweza kuwa za ukweli, hii sio hali ya Kawaida
 17. Kituko

  Mkurugenzi Mtendaji LHRC Tanzania kupewa tuzo na Ikulu ya Marekani

  Tunzo ya Mwanamke jasiri Duniani, Mama Jesca, Mwl Janet Kaikosaje?
 18. Kituko

  Wabunge hawa wakirudi bungeni 2020 naacha siasa

  Unaonekana kabisa hata kazi za Wabunge huzijui
Back
Top Bottom