Search results

 1. Milonji

  Kikosi cha Ushindi Simba VS Jwaneng Galaxy

  Itakuwa anatembelea upepo wa Matola. Saido kwa sasa anatakiwa kusugua benchi maana hana impact kubwa kwenye timu.
 2. Milonji

  Kikosi cha Ushindi Simba VS Jwaneng Galaxy

  Salaam Ndugu zangu. Naomba kutoa mapendekezo yangu kuhusu kikosi cha Ushindi cha Simba kama inahitaji kuwafunga Jwaneng Galaxy hapo Kesho. 1. Golikipa yeyote kati ya Aishi, Ally Salim au Ayoub anaweza kudaka. 2. Shomari Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Chemalon (Hata akicheza No. 5 sawa) 5...
 3. Milonji

  Hii ni divisheni gani? Kuna dogo kapata hivi form 4

  Kwani Commerce halihesabiki. Kama wanahesabu na Commerce ni, DIVISION III POINT 25
 4. Milonji

  Serikali ina miongozo ya chakula kwa wanafunzi wa bweni?

  Umenikumbusha mbali sana Miaka ya 1990's wakati nikiwa Shule, tumewahi kula maharage yasiyoiva kwa takribani Mwezi mmoja na kidogo. Yaani Yale maharage pamoja na kupikwa, ulikuwa ukila ni Kama yamelowekwa tu kwenye maji. Walikuja kubadilisha baada ya ugonjwa wa matumbo kutusumbua sana. Yule...
 5. Milonji

  Makonda fuatilia dhuluma mradi wa fidia Jangwani watu wanalipwa 170,000 badala ya milioni 4 aliyosema Waziri

  Ni sawa, Lakini si wangepewa kwanza Elimu kwamba Mwenye Nyumba atalipwa 4,000,000/= na Mpangaji atalipwa kulingana na ukubwa wa Familia.
 6. Milonji

  Paul Makonda piga kazi ila tu zingatia yafuatayo!

  Huyu ndugu ana shida ya Ethics ndiyo maana anaendeshwa na Emotion.
 7. Milonji

  Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

  Khaa? Huyu dereva atakuwa anavuta bangi. Na hao wenye bar walimruhusu vipi kupaki gari lenye maiti.
 8. Milonji

  Mavunde awashushia rungu wafanyabiashara ya madini

  Kazi nzuri Sana, Ila mwambieni Jiji la Dodoma kwa sasa 1. Lina shida ya Maji ya kufa mtu. 2. Kuna migogoro ya Ardhi isiyopimika. Aje ashughulikie na haya kama Mbunge wa DODOMA MJINI. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 9. Milonji

  Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

  Salaam wapendwa, Nadhani wote tunaumia kwa kukosa Mwanga ambao ni hitaji letu la msingi la kila siku. Sasa unataka kujua sababu?. Hii ndiyo sababu; Mwezi Machi 2023, Mh. Waziri wa Nishati January Makamba akishirikiana na Mkurugenzi wa TANESCO Ndugu Maharage Chande waliamuru maji katika...
 10. Milonji

  Mapacha wateule wa Rais Peter na John Ulanga ni watu wa kutoka wapi?

  Umepatia Mkuu, Ulanga ni watu wa Morogoro. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 11. Milonji

  Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

  Hamuaminiki hata kidogo. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 12. Milonji

  Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

  Haya endeleeni tu kutudanganya, sijui kama anaikumbuka / unaikumbuka hii kauli. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 13. Milonji

  Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

  Nadhani haelewi umuhimu wa Umeme. Kwa Miezi 6 ya Upungufu wa Umeme uchumi utakuwa Chali.... kifo cha Mende. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 14. Milonji

  Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

  Khaaa... Kwahiyo Miaka yote hamkuwa na Maarifa ya kubadilika?. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 15. Milonji

  Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

  Mh. January alipokuwa Waziri alitangaza Siku kadhaa za kufanyia Matengenezo mitambo na Umeme tukawa tunapata kwa shida. Kwahiyo tangu wakati huo hadi Sasa Matengenezo bado yanaendelea? Sababu ya Pili ya katizo la Umeme nakubaliana na Mh. Raisi ila ya Kwanza ametupiga na kitu kizito. Sent...
 16. Milonji

  CHADEMA mfukuzeni Lissu mapema au mdhibitini la sivyo yaliyowakuta CUF yatawakumba na ninyi

  Kuna Watu wamechanganyikiwa bila kujijua. Badala ya kujibu hoja za msingi sasa mmekuwa wambea wambea na wapiga ramli chonganishi. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 17. Milonji

  Sikujua kabla, nilikuwa nabisha huku sijui ninachobishania

  Samahani naomba kuuliza wapi Mkataba umeonyesha, 1. Muda halisi wa Mkataba 2. Tutalipwa nini au asilimia ngapi ya faida? 3. Ajira ngapi zitatolewa? 4. Sheria zipi zitatumika ukitokea utata? Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 18. Milonji

  Mikutano ya CHADEMA yadorora

  Sasa hivi tuna angalia HOJA siyo makumi, mamia au maelfu ya watu kwenye Mikutano. Unaweza kukuta Watu 10 lakini wanaongalia live kupitia Mitandao ni Maelfu. Technology speaks alot. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 19. Milonji

  Rais Samia kutoa mbolea ya ruzuku hadi 2025, kuzoa kura zote za wakulima?

  Mi nikajua mfuko utauzwa 10,000/=. Huo ulaghai mbona umepitwa na wakati Sana. Sasa hivi issue kubwa ni; 1. Katiba Mpya 2. Bandari Hizo zingine zote ni mbwembwe tu. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 20. Milonji

  Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?

  Mkuu Pascal Mayalla. Mwandishi nguli na Mwanasheria. Mtu Mwenye heshima hapa Jukwaani. Kwa hiki ulichoandika hapa kuwa mvumilivu, maana utapopolewa isivyo kawaida. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom