Search results

 1. Bull Bucka

  Maoni ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 2

  JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
 2. Bull Bucka

  Maoni ya Jumla ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 1

  JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
 3. Bull Bucka

  Akamatwa baada ya kujiuzulu kazi akiwa katikati ya kusafirisha wafungwa

  Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
 4. Bull Bucka

  Kagera: Watu wanne wamefariki na wengine watano walazwa kwa ugonjwa wa kipindupindu

  Watu wanne wamepoteza maisha yao na wengine watano wamelazwa kwa matibabu baada ya kutokea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Kijiji cha Buchurago, Wilaya ya Misenyi, mkoani Kagera. Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, wakati wa mkutano wake na waandishi wa...
 5. Bull Bucka

  Legal concerns emerge over Tanzanian widow sentenced to 22 years for antelope meat possession

  In a recent ruling on November 6, the Iringa Resident Magistrate's Court in Tanzania delivered a verdict that has ignited a debate surrounding its fairness. Maria Ngoda, a widow residing in the Iringa region of Tanzania, was sentenced to 22 years in prison for the possession of a bucket...
 6. Bull Bucka

  Zoezi la kutoa wamachinga Mashine Tatu Iringa ni la "kimabavu"

  Mgambo wa Manispaa Iringa wakiendelea kuwatoa wafanyabiashara wadogo wadogo katika eneo la Barabara ya Mashine Tatu ili kuweka mji katika hali ya usafi na kuhamasisha wajisiriamali hao kwenda katika maeneo waliyopangia. Zoezi hilo limekuwa likilalamikiwa na watu wengi kuendeshwa kwa mabavu na...
 7. Bull Bucka

  Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

  Relax, Mjomba/Shangazi. Kaa kwa utulivu upate yanayojiri nilipo. Upo Katavi sehemu gani?
 8. Bull Bucka

  Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

  Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
 9. Bull Bucka

  Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

  Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa. Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
 10. Bull Bucka

  Polisi: Wanawake 349 Iringa wafanyiwa ukatili wa kijinsia kwa kipindi cha Januari hadi Oktoba, 2023

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii na Dawati la Jinsia na watoto limeandaa shughuli mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utelekezaji wa kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia yenye kauli mbiu isemyo "Wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia". Akizungumza na Askari wa kike...
 11. Bull Bucka

  Kenya: Kaunda suti haziruhusiwi ndani ya Bunge

  Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa vyombo vya habari na wageni Pia alieleza kuwa wasio wabunge ni lazima wakati wote wavae vitambulisho...
 12. Bull Bucka

  CPJ: Hadi sasa Waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 57 wamefariki: 50 Wapalestina, 4 Waisraeli, na 3 Walebanoni

  Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi. CPJ...
 13. Bull Bucka

  CPJ: Mamlaka za Burkina Faso zihakikishe usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara

  Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
 14. Bull Bucka

  Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

  Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
 15. Bull Bucka

  Nafasi ya Wananchi wenye taarifa kama Kichocheo cha Demokrasia Huru

  Vijana wenyewe hawana muda wa kutafuta taarifa. Ukimuuliza mtu kwanini unasapoti chama X hana sababu zaidi ya kusema "hiki chama ndiyo baba lao" 😂😂😂 Na unakuta huyo mtu anamiliki kadi ya hicho chama kwa miaka kadhaa lakini hata ilani yake haifahamu wala hajawahi kuisoma. Mtu wa namna hii...
 16. Bull Bucka

  Ni sahihi mwenye nyumba kumwekea mpangaji sharti la aina ya wageni wanaomtembelea?

  😅😅😅 Sasa ndugu yangu, na wewe umeamua kufikiri kama mwenye nyumba wangu.
 17. Bull Bucka

  Ni sahihi mwenye nyumba kumwekea mpangaji sharti la aina ya wageni wanaomtembelea?

  Hapo kwenye kelele nakubali kuwa ni kukosa ustaarabu kwenye eneo ambalo watu wanaishi kama jumuiya. Lakini kama hakuna hayo au matusi na mambo mengine ya ajabu yanayotokea, basi mwenye nyumba hapaswi kuleta tu hisia za kwamba kuna ngono inaendelea humo ndani. 😂
 18. Bull Bucka

  Ni sahihi mwenye nyumba kumwekea mpangaji sharti la aina ya wageni wanaomtembelea?

  Imagine mtu ukikubali kuishi namna hiyo kwa miaka mitatu tu utakuwa umepoteza kiasi gani cha maisha yako. Si jambo jema kwa afya ya akili na ustawi wa mwanadamu.
Back
Top Bottom