Search results

 1. W

  Buyungu, Kigoma: Msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA wapata ajali, baadhi wajeruhiwa

  Peni sana chadema. Wengine tuache mashambulizi kwenye shida. Isiwe kama Speaker aliyekataza wabunge wa ccm kwenda kumzika mbunge wa chadema! Shame on them!
 2. W

  Rais Magufuli sasa imetosha, waambie trafiki wako barabarani watuache tupumue

  Vyanzo vipya sasa hivi ni kutafuta uchafu mpaka ndani ya nyumba za watu. Wakija tena nafunga geti langu. Huu niujinga sana. Mtatatuletea wezi haomgambo hatuwajui! Hatuna shida na u hafu uliondani ya fence ya nyumba. RC ahangaike na mazingira ya nje. Kuchukua hela eti kwa kuwa nimemwaga mbolea...
 3. W

  Uchaguzi bila ya katiba mpya ni kujitafutia mauti bila sababu

  Hili siyo tatizo la vyama nadhanini kubwa kuliko vyama.wananchi wote walivalie njuga. La sivyo tutaingia vitani! Hakuna aliye salama. Wake up jamani!
 4. W

  LHRC yaunga mkono USA kuimulika demokrasia ya Tanzania

  Hivi wewe 100 digit ni mnafiki wa hali ya juu sana! Ni nani aliyeiharibu CUF, ni nani anayefungia wapinzani wasimarket vyama vyao wakati ccm wako barabarani kila siku. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote lakini nwKati vcm inal ann
 5. W

  Siasa za Tanzania na uduni wa akili

  Watu wana hasira sana wataachaje kutukana?
 6. W

  Wagombea 45 kutoka vyama vya Upinzani Tanzania waenguliwa kugombea udiwani

  Miaka yote wajaze fomu vizuri, awamu ya kwanza waliweza ila leo wameshindwa kwenye awamo ya tano! Stupid kabisa! Shithole nation!
 7. W

  Wagombea 45 kutoka vyama vya Upinzani Tanzania waenguliwa kugombea udiwani

  Hili ni jambo la ajabu sana. Wakati takwimu zinatuambia kuwa wanaochagua ccm ni wale wasioenda shule na wazee leo inakuwaje wanaoshindwa kujaza fomu ni wasomi. Ccm waache upumbavu huo watatuletea vita nch hii.
 8. W

  Zitto: Magufuli hapendi uchaguzi, alivyokuwa akigombea ubunge hajawahi kushinda kwa kura bali figisu

  Hivyo unapotetea uovu ni kwamba unalipwa ngapi ama ni kwamba kweli huna dhamira au maono kabisa katika nafsi yako?
 9. W

  Halima Mdee: Nasikia kuna watu wanasakwa wapotezwe

  Mtu yeyote wa chadema akipigwa chini hakuna uhalali ni wizi tu. Wananchi tumeelewa sasa. Siasa mbovu. Tuna watu, ardhi lakini mengine hakuna!
 10. W

  Kwanini Obama hakuonana na Rais wa Tanzania?

  Obama huwa anachukia nchi ambazo hazina democracy!
 11. W

  Mbeya: David Ngogo, Diwani CHADEMA ajiuzulu, amtaja Dk Tulia

  Huu ni ujinga.Tulia anaidiaje kuliko mbunge wake. Huyu diwani ni fiksi tu. Kapewa hela ngapi? Aibu ccm. Wasomi tunawaelewa sasa. Hamtudanganyi.
 12. W

  Nini kinatushinda wanasayansi na viongozi wa Tanzania kama hizi taarifa ni za kweli?

  Kama kuna madini siyo lazima yavunwe leo jamani. Tusubiri mpaka tuwe na uwezo wetu wenyewe l
 13. W

  Je, utekelezaji wa sheria kwa wahalifu nchi hii una double standard?

  Na Zuto Kabwe akifanya mare do sawa kama CHADEMA yeye hapati shida? Inaonyesha kuwa anachotaka mkuu ni kuondoa vyama vikubwa tu. Ili aseme kuwa tuna democrasia ya vyama vingi. Lakini watu wana macho na masikio ndiyo maana ushabiki umafikia 54 % kutoka 96%
 14. W

  Ansbert Ngurumo: Wauaji wa Akwilina Akwiline, Daniel John wanajulikana

  Wewe kifyatu ni kifyatu kweli. Vikana nchi hii ni asili mia kubwa. Na hawaitaki ccm. Wakiisha hao wasio na elimu na wakafa hawa wazee wa zamani ambao hawafiki 20% basi na ccm itafutika siku hiyo. So enjoy while it lasts!
 15. W

  Upinzani ukifa mwaka 2020, Ni nini kitafuata?

  Stupid kabisa kwa hiyo unataka nchi nzima iwe ya Ndiyoooooooooooooo!
 16. W

  Freeman Mbowe na Lowassa wahudhuria mazishi ya mkwe wa Kikwete

  Hao ni viongozi. Siyo watawala. Big up!
Back
Top Bottom