Search results

 1. JS

  Ungependa kutoka na nani hapa JF....

  Afadhali shugacake nikajua nafasi yangu ishawahiwa na watoto wapya wa humu ndani washaniwahi
 2. JS

  Ungependa kutoka na nani hapa JF....

  Hivi NN ulishawahiwa au bado kuna nafasi Nyani Ngabu
 3. JS

  Mwaka wetu huu maana wameamua kututukana

  kwa kweli nimecheka kwa sauti dah
 4. JS

  Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

  Jamaa ana roho ngumu [emoji134][emoji134][emoji134]
 5. JS

  Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

  Last friday sikuiangalia pia ila katika flash back memory ya calvin inaonekana walikuwa hotelini kwenye chumba. Sasa wapendanao na michezo yao aphiwe akamblind fold calvin ... Hiyo ikatrigger machingu ya yaliyotokea wakati ametekwa kule CAR ndo akamuattack. Mateso aliyopotia akiwa amefungwa...
 6. JS

  Sitaki dawa

  Uliniita NN wangu? nani anakusumbua na maswali kuhusu umri? nilidhani tulishamaliza hilo suala kumbe bado? hmmm
 7. JS

  Sitaki dawa

  Hivi uliniita NN wangu? nani anakusumbua na maswali?
 8. JS

  Wadada above 30

  Kwamba tumezeeka sana si ndio?
 9. JS

  Wadada above 30

  Umeniita nimekuja.....hivi what happened? Mwenye Uzi tusamehe bure kwa muda mchache tu
 10. JS

  IPTL Saga: Serikali yamtaka Balozi wa Uingereza kuripoti Wizara ya Mambo ya Nje, Yatishia kumtimua

  Huyu Naibu Waziri anataka kuiingiza nchi katika matatizo ya kujitakia tena......he has no right whatsover kumuongelea balozi wa nchi nyingine hivyo...ni breach of diplomatic procedures....actually ni amemuongeleshea Cameron kwa sababu ni mwakilishi wake.....
 11. JS

  Je! wajuwa kuwa maisha unayoishi ndiyo Ibada?

  Asante kwa kutukumbusha hili
 12. JS

  Tunahangaika kutafuta fedha watoto wetu nani atawalea?

  Katika maisha haya muhimu ni kujaribu ku-balance at any cost mtu usielemee upande mmoja ukasahau majukumu mengine. Tatizo ni kuelemea upande mmoja kuwaridhisha maboss wetu mpaka watoto tunawasahau. Wazazi wetu wangekuwa hivyo wallahi kizazi cha miaka ya sabini na themanini kingekuwa balaa.
 13. JS

  Soma uone ilivyo bora kubaki njia kuu kuliko kuwa na kamchepuko

  Hahahaha nimependa hii.......hapana chezea michepuko!!
 14. JS

  Tunahangaika kutafuta fedha watoto wetu nani atawalea?

  Usijali BAK wangu am back now....in full force ila kucatch up kidogo itakuwa shughuli
 15. JS

  Doctors

  Hey there how are you....mwenye uzi atatumind...missing you more
 16. JS

  Tunahangaika kutafuta fedha watoto wetu nani atawalea?

  Niko bana maisha yananitenda ila niko....niaje lakini???
 17. JS

  Doctors

  Trying your luck huh?
 18. JS

  Tunahangaika kutafuta fedha watoto wetu nani atawalea?

  Umechanganya madesa kwingi umepatia kidogo umechemka
 19. JS

  Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

  Kuna kitu hujakielewa ndugu yangu. ni hivi ni kweli fast jet huwa na tiketi za 32000 na kuendelea. Lakini tiketi hizo huuzwa kutokana na namba ya siti ambazo wanakuwa wamezi-allocate specially for that price. Sasa basi tiketi za 32k zikiisha utapata za 50 na kitu nazo zikiisha utapata za bei ya...
Back
Top Bottom