Search results

 1. M

  Wanaowania urais Z’bar waonywa kuacha kuchafuana

  Wanachama wa CCM Zanzibar ambao wameanza mbio za kuwania urais mwaka 2020 kwa kuunda makundi wameonywa kuacha malumbano na kuchafuana ili kulinda mshikamano uliopo ndani ya chama hicho. Onyo hilo limetolewa mjini hapa na mmoja wa wazee wa CCM, Kombo Mzee, ambaye amesema hali ya mshikamano...
 2. M

  Mbona Rais hajapiga marufuku siasa? Au kuna jingine?

  Nami pia nimemsikiliza Rais Magufuoli sijaona sehemu aliyopiga marufuku siasa. Kwanza hana ruhusa kikatiba kupiga marufuku siasa. Anachotaka ni watanzania kuacha kupoteza muda majukwaani kupiga siasa na kudanganya watu kuhusu hatua anazozichukua kwani kufanya hivyo kutakwamisha utekelezaji wa...
 3. M

  Wengart katika kashfa ya bangi

  Tunataka kuona justice katika suala hili. Hiyo shehena ya bangi ni kubwa sana.
 4. M

  Wengart katika kashfa ya bangi

  Thread hii iliwekwa humu masaa machache yaliyopita lakini ikaondolewa bila maelezo yoyote. Kwa nini tunataka kutetea uhalifu? Picha hizi hapa chini zinaonyesha gari la Wengart Windrose Safaris likiwa limekamatwa huko Arusha baada ya kukutwa na shehena ya bangi. Hii ndio biashara ambayo...
 5. M

  Kampuni ya Wengert katika kashfa ya bangi

  Hawa watu kinachoshangaza ni kwa namna gani wanaweza kufanya jambo lolote walitakalo huku wakijua kwamba si sahihi. Haiyumkiniki kwenda Marekani na kufanya mambo ya kihuni ambayo serikali ya nchi hiyo haikubaliani nayo kisheria, kanuni au taratibu. Kwa nini vyombo vyetu vya dola havichukui hatua...
 6. M

  Kampuni ya Wengert katika kashfa ya bangi

  Wengert katika kashfa ya bangi: Kampuni hii ya Kimarekani ambayo imekuwa ikikiuka order za serikali na kung'ang'ania vitalu vya uwindaji sasa inazua maswali mengi. Mwaka uliopita gari moja ya kampuni ya Wengert Windrose Safaris ilikamatwa huko Arusha ikiwa na shehena ya bangi. Mtuhumiwa hadi...
 7. M

  Uwindaji haramu Tanzania: Ni nani yupo nyuma ya waarabu hawa?

  Hilo suala la uwindaji wa kitalii wengi wetu hatuliewi vizuri. Kampuni za uwindaji zinalipia kuua wanyama katika maeneo waliyopewa na inaruhusiwa kisheria. Tatizo la kukiuka baadhi ya taratibu anayepaswa kubeba lawama ni PH (Professional Hunter) ambaye huambatana na wawindaji ambao anapaswa...
 8. M

  Rais Magufuli apingwa, ni kuhusu kutumbua majipu

  Tundu Lissu na timu yake wamechemka vibaya sana kwa kupinga utumbuaji majipu. Kweli Chadema sasa kwishney kabisa!
 9. M

  Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

  Nyie mtakuwa majipu! Kujiandaa maana yake nini? Unajiandaaje kuwa rais, kwa mfano? Ni maandalizi ya aina gani ya urais unayafanya? jaribuni kuzielewa hizi kauli zinapotolewa. Acheni hizo bhana!
 10. M

  MSAJILI WA HAZINA: Simon Group inamiliki 51% ya Hisa UDA na Serikali 49%, Jiji halina hisa

  Siku zote nimekuwa nikijiuliza iwapo Mafuru ni mtu sahihi kuwa msajili wa hazina. Uhusiano wake na wapiga dili wa serikali ya awamu ya nne unatia shaka sana.
 11. M

  Njama za kuikwamisha Serikali ya Magufuli zanaswa

  Q Wewe unaota ndoto ya mchana. Utasubiri sana kuona serikali hii ikiyumba. Hii ndio aina ya serikali tuliyomuomba Mungu siku zote atuletee. Wewe na majipu wenzako mshindwe na mlegee!
 12. M

  Gazeti la The East African na propaganda chafu dhidi ya Tanzania

  Hakika wewe ni miongoni mwa wale wanaojifanya watz kumbe ni raia wa nchi jirani. Hiyo NMG ni level nyingine kivipi? Mbona kawaida sana? Waulize wenzako uliowaacha kule jinsi sales za magazeti yenu zilivyoshuka. Hamna lolote nyie - kwishney!
 13. M

  Gazeti la Mwananchi jaribuni kumheshimu Rais, kampeni zimeshaisha

  Wahariri wengi wa gazeti la Mwananchi ukiwafuatilia mmoja mmoja ni watu wenye chuki dhidi ya serikali. Wengine nawafahamu huwa naona comment zao kwenye mitandao ya kijamii. Lakini pia kwa kiasi kikubwa wamejisahau na kudhani wao ni Wakenya kumbe ni watanzania. Inabidi kuchunguza pia uraia wa...
 14. M

  Rais Magufuli akamilisha kuunda Serikali

  Acheni majungu, chapeni kazi!
 15. M

  Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

  Hivi bado mnazungusha mikono? Huyo Lowassa kwishney siku nyingi sana. Hata ajitutumue vipi hawezi kuleta athari yoyote kwani watu wanachapa kazi ili kuiletea nchi maendeleo.
 16. M

  HEMED KIVIYO, unazi wako kwa hiyo timu utakufanya usifanikiwe kama mwanahabari wa michezo.

  Huyo jamaa fala sana. Anapoanza kutangaza huwa nabadilisha chaneli. Kuna siku nimemkuta mtaani anabishana na mashabiki wa Simba kuhusu ubora wa timu yake (Yeboyebo). Sijui kama ni professional huyu au ni kanjanja tu.
 17. M

  Ahsante NEMC

  Mapema wiki hii nilimsikia Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Eng. Bonaventure Baya, akisema kusababisha kelele kwenye maeneo ya makazi ya watu ni kosa kisheria. Hakika nilikuwa siujui ukweli huu. Binafsi nakerwa sana na kelele kama muziki wa sauti ya juu (siku hizi bodaboda ni kero kubwa zaidi), kwenye...
 18. M

  Kesi ya kupinga ubunge wa Mwakyembe yafunguliwa Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya

  Hakuna lolote! Hili la Mwakyembe linasukumwa na Lowassa kumharibia Mwakyembe kwa kudhani labda ataukwaa uwaziri mkuu.
 19. M

  Dakika za lala salama, Mwana mabadiliko umejipanga vipi?

  Kura yangu nampa JP Magufuli. Kamwe sitaharibu kura yangu kwa kumpigia FISADI
Back
Top Bottom