Search results

 1. M

  Napenda sana majirani wa aina hii

  What a marvelous comment
 2. M

  Natafuta rafiki wa kiume(mwenza)

  Wasalaam ndugu zangu. Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo: Umri: miaka 40 na kuendelea Dini:mkristu Mwenye upendo wa kwelie so na pia awe ni muhitaji kweli wa kuishi na mke. Akiwa...
 3. M

  Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

  Na wanaume wenye chale je inakuwaga ni nini
 4. M

  Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

  Huu ni ukweli ndugu,tatizo watu wanafanya maamuzi pasipo kuwaza matokeo yake,mama anamkimbua baba au baba anamkimbia mama ili kumkomoa bila kufikiria kuwa wanaoathirika ni watoto kwa kupata malezi ya upande mmoja tu,Mungu atusaidie
 5. M

  Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

  Mimi naona suluishi ni mwanaume kuwa makini tu na mtu wa kuzaa naye,kama imetokea umepata mtoto na mwanamke hakuna kumuacha upambane naye mlee mtoto/ watoto wenu,hakuna haja ya kutesa watoto ambao hawana mskosa kwa starehe zenu,period
 6. M

  Natafuta ajira (kazi) ni mwanafunzi wa chuo lakini najisomesha mwenyewe

  Hivi kazi za viwandani hata wadada wanafanya
 7. M

  Chaguzi mbili kuu pale unapogundua mkeo anakusaliti

  Barikiwa mkuu,you have said it all
 8. M

  Breakup ya kwanza ilikuaje?

  Pole sana mkuu,hakuna kitu kinauma kama mtu unayempenda kukuambia hakuona faida yyte kwenye mahusiano,usiombe yakukukte,aisee nimeumia kwa sababu nami niliambiwa maneno kama hayo,kuwa hakuona faida yoyote kuwa nami na Wala hawezi kunikumbuka kwa chochote duh!
 9. M

  Breakup ya kwanza ilikuaje?

  [emoji23][emoji23]
 10. M

  Nimeamini wanaume hawaaminiki

  [emoji23][emoji23][emoji23]
 11. M

  Sijui kwanini nimeumia hivi

  Unapopata nafasi ya kumsaidia mtu furahi kwa kuwa Mungu amejubu maombi yake kupitia wewe[emoji120]
 12. M

  Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

  Kweli kabisa mkuu,watu tu hawajui na Huwa wengine wanafanya maamuzi bila kufikiria matokeo ya kizazi Chao Cha baadae,waathirika wakubwa ni watoto pale wazazi wanapotengana,hata vitabu vya dini havipendi watu kuachana sema tu binadamu sie hatuelewi,Mungu atusaidie
 13. M

  Nafasi za intern CRDB

  Mkuu naomba nikutafute Pm
 14. M

  Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

  Hakuna mkate ngumu mbele ya chai,hakuna mwanamke mkorofi kwa mwanaume mwenye upendo,uaminifu,anayemsikiliza na anayejali hisia za mke wake.Mwanamke kwa asili akishapenda kweli,ni ngumu sana kusaliti,au kuwa jeuri kwa mummewe,hiyo nguvu Hana,Sasa ikitokea unamuona amekuwa jeuri au kiburi,inabidi...
 15. M

  Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

  Safi,ukiona mwanamke amekuwa mjeuri ni matokeo ya treatment za mumewe
 16. M

  Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

  Kwamba waislamu wanasamehe hawana muda wa kulipiza kisasi au
 17. M

  Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

  Vipi kwa upande wa wale wanaume wanaosakiti wake zao kupata watoto,then baada ya kujulikana wamepata watoto wakawaacha wake zao wa ndoa wakaoa michepuko,vipi msamaha wao upoje?
Back
Top Bottom