Search results

 1. Bata batani

  Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

  UPUMBAVU MTUPU SIJUI KWANINI WAAFRICA MNAPENDA MAMBO YA UKABILA UKABILA NDO WAZUNGU WANATUONA HATUNA AKILI
 2. Bata batani

  DOKEZO Watumishi wa Hospitali ya Mbagala Zakhem hawajali wagonjwa na wana huduma mbovu

  Braza tatizo una mkono wa birika ............ Watumishi wengi wa kibongo mkuu njaa kali Kama huwaungii na wao wanakuacha kama ulivyooo............ Lakini ukiwa mtoaji hata hela ya soda utahudumiwa kama vizuli na mgojwa. buku mbili au tatu .........
 3. Bata batani

  Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

  Naomba nikushauli mambo mawili 1.kama unasoma kwa lengo la kupata skills ukazitumia katika kujiajiri na kutafuta fursa za kukuongezea kipato basi nenda kasome 2.kama unasoma kwa lengo la kutafuta ajira mpya na kuachana na kazi uliyonayo basi ni vyema ufanye biashara
 4. Bata batani

  Interview ya TRA ni lini?

  Hamna kazi hapooo Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 5. Bata batani

  Natafuta kazi

  Kuna kampuni inaitwa ukamwi ni mawakala wa wafanyakazi viwandani kwa kazi za vibarua Na kuhusu malipo kwa siku ni elfu 11 na ofisi zao zipo dar ofisi zao zipo vingunguti Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 6. Bata batani

  Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

  Unaweza kufanya kazi kama loader maana barharesa pale Buguruni ma loader wanalipwa Elfu 10 kwa siku .
 7. Bata batani

  Ni kwanini watu wanaotuona tuna roho mbaya wakipatwa shida au changamoto hukimbilia kwetu kuliko wale wanawaona wana nzuri

  Hiki kitu huwa najiulizaga sana kuna aina fllani ya watu Hao siku zote wao huwa kuna watu huwa wanawatizama kuwa ni watu wenye roho mbaya Yaani full kuwasema vibaya, full kuwachukia, full kuwaombea mabaya , full kukutendea mabaya Lakini inapotokea aina hii ya watu wanapitia wakati mgumu au...
 8. Bata batani

  Natafuta Kijana aliyesomea mambo ya Management, Dar es salaam

  Sasa wewe yanakuhusu nini Acha kusema vibaya watoto wa watu Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 9. Bata batani

  Unawezaje kudeal na toxic person or people katika eneo lenu la kazi

  Well said Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 10. Bata batani

  Unawezaje kudeal na toxic person or people katika eneo lenu la kazi

  Toxic hawa tunasema ni aina fulani ya watu ambao wanakufanya ukose amani na furaha kazini kwako, Ni watu wako negative na wewe. Ni watu ambao wanaangalia makosa yako, ni watu ambao wanataka udhalilike, ni watu ambao muda wote hoja zao nyingi kuhusu wewe ni kufukuzwa kazi Je, watu kama hawa...
 11. Bata batani

  Maalumu kwa walimu ambao bado hawajaajiriwa

  Ivi ukiwa na miaka kuanzia 40 au 35 kujaaaa juu Tangu umemaliza chuo haujapata kazi Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 12. Bata batani

  Mtu aliyesoma Community development anaweza kuwa afisa TAKUKURU?

  Maisha ni connections sehemu yoyote ile kama kuna mtu anakufahamu basi kila kitu kitaenda sawa Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 13. Bata batani

  Ajira mpya za TRA

  Dogo piga msuli nafasi yenyewe moja alafu mnaigombania watu karibuni 5000
 14. Bata batani

  Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

  Okay ikoo hivi kazi muda wa kuripoti hautakiwi kuzidi zaidi ya saa 11 hivyo kuanzia saa 10 unatakiwa eneo la tukio kwa ajiri ya maandalizi ya kupokea vibarua ambao wanaingia saa 12 Kabla ya saa mbili kuanza kazi 0ul1 Saa mbili kazi zinaanza mpka saa 12 jioni kuanzia hapo ni muda wa overtime...
 15. Bata batani

  Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

  Unatakiwa uwe na degree tuuu lakini ujue computer Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 16. Bata batani

  Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

  Nimeshidwa kazi ni ngumu aisee Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 17. Bata batani

  Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

  Tushapoa aiseee Acha tutafute mishe zingine za kufanya Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 18. Bata batani

  Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

  1. Hii kazi mshahara 250k ila take home 200k baada ya makato. 2. Muda wa kuingia kazini ni saa 10 usiku na kutoka saa 6 usiku na hakuna overtime 3. Muda wa mapumziko ni saa 7 mchana hadi 8 baada ya hapo mnarudi kiwandani kupiga mpaka saa 6 usiku ndo mnaruhusiwa kutoka. 4. Hakuna allowance...
Back
Top Bottom