Search results

 1. Kuhani

  Tusker Cup 2009

  Hongera Yanga
 2. Kuhani

  Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

  WomenofSubstanc, Ni kweli lugha yetu haitoshelezi mahitaji ya mawasiliano ya kitaalam na ndio maana hata sheria zinaandikwa Kiingereza. Lakini hata maneno guilty/not guilty nayo tabu? Hatuwezi kusoma shitaka kwa Kiswahili sahihi, tutaweza kuandika sheria na hukumu kwa Kiingereza cha watu...
 3. Kuhani

  Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

  Sikonge, Ukikubali kwamba "umeteleza" basi uchune, usimlaumu aliyesema umeteleza. Mkuki kwa Aziz, kwa wana JF? Unasema wengine hamuweki kichwani mambo yale, well, ni wewe ndio umeyaleta yale. Ha hahahaaaa aa aaaa
 4. Kuhani

  Nani anaiongoza CCM?

  Kwamba kiongozi ambae hakuiba ndio kiongozi safi hilo sidhani ni kweli. Kutokuiba, unategemewa usiibe, si sifa. Kutokuiba yabidi kuwe the least common denominator. Zaidi ya maadili, tupime viongozi kwa ufanisi, maono uzoefu, matokeo, fikra, kujitoa katika utumishi, na uchochezi chanya, na pia...
 5. Kuhani

  Majina ya waliochaguliwa kuingia kidato cha tano

  Ulimwengu wetu ule ndio majina yanabandikwa ukutani. Ulimwengu wa leo unatambua kwamba Jimmy K has no business kufuatilia matokeo ya Kuhani. Hivyo, kinachotakiwa kufanywa, ni mtahiniwa ku log into the site ya baraza la mitihani kutumia Candidate ID. No. na credentials zingine za siri, kuona...
 6. Kuhani

  Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

  Si kweli. Baba yake aliweka majaji wawili, na ni mmoja tu aliye msapoti kwenye kesi, Thomas. Mwenzake, Souter, alishageuka liberal kitambo kabla ya kesi. Unaweza kujaribu ku predict jaji atakavyo amua kwa kuangalia historia ya falsafa yake katika siasa za sheria, sio nani kamumeka. Hakuna...
 7. Kuhani

  Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

  Wanasheria wa Bongo wanatia huruma walivyomsomea shitaka Chenge. Chenge, kosa la kwanza unashitakiwa kwa kuendesha kizembe na kusababisha.......kweli, si kweli? Mimi ningejibu: Kweli, nashitakiwa!
 8. Kuhani

  Majina ya waliochaguliwa kuingia kidato cha tano

  Kubandika majina ya wanafunzi ukutani, tovutini, mtini, ubaoni, ni violation of student privacy. Badala ya Toyota Land Cruiser VX, ikinunuliwa Toyota Camry XLE moja kwa matumizi ya wizara iliyoko mjini, hela zitakazo okolewa zitanunua stempu ya kumtumia kila mwanafunzi wa Tanzania notice ya...
 9. Kuhani

  Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

  Si afadhali Chenge anajulikana moyo wake mkavu hana huruma, mimi hao maafande wanaojichekesha ndio hata sielewi kilicho funny kuhusu ajali ni nini yani. Halafu hatufundishwi toka utoto kuwa ajali ni noma, usalama barabarani ni muhimu, watoto wanaachiwa waje kupiga chabo katikati ya scene of...
 10. Kuhani

  Mishahara ya viongozi wa Tanzania

  Basi kama unapokea na "zinatumika kuwakomboa Watanzania" kwa nini unalalamika? Maana unawaambia wabunge wenzako na Watanzania kuwa hizohela zibakie huko, zikalipe walimu na kujenga zahanati lakini wewe mwenyewe unaziondoa huko, unapokea! Unasema unazitumia vizuri, basi endelea kupokea...
 11. Kuhani

  Mishahara ya viongozi wa Tanzania

  Mkuu Dr. Slaa, heshima mbele. Naomba kujua wewe mshahara/marupurupu/posho unayosema ni too much kwa wabunge, huwa unaifanyia nini? Umewahi kuipokea ukala?
 12. Kuhani

  Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

  Chenge alirudije nyumbani? Wanamwita Chenge "Harvard Lawyer," ambaye hakujua kwamba you never leave the scene of an accident! Akiendesha 80 to 100km/hr (up to 60 miles/hr) mitaa ya Morogoro Stores, Oysterbay, residential areas! Hanunui insurance, tajiri mkubwa, Mbunge mtunga sheria na...
 13. Kuhani

  Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

  Jamaa gani ameniambia? Na kwa nini hajiongelei, na Una uhusiano gani na "jamaa"?
 14. Kuhani

  Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

  Unasema hii kesi ni rahisi kama "muendesha mashitaka kasoma sheria." Lakini kwa ulichoongea hapo nadhani ungekuwa wewe ndio mshitaki hapa nadhani Jamhuri tungeshindwa hii kesi vibaya vibaya. Kwanza, ni wewe, sio Chenge, ambae anabidi athibitishe kwamba alikuwa amelewa au la. Halafu umesha ibua...
 15. Kuhani

  Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

  Ndio hapa utaalam unapoanza kutiwa chumvi and tangawizi sasa. Yani unatuambia akitokea drunk driver akapitiliza kwenye red au mwehu akakuchomekea ukapinduka na gari ni wewe ndio utakuwa responsible kwa sababu you should know better? How can one stop a mlevi or a mwehu? Na hakuna mtu anaitwa...
 16. Kuhani

  Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

  Amelitumikia Taifa kwa kweli. Ukitamka neno "Malecela," watu wanakumbuka utumishi na uzalendo. Lakini pia wanakumbuka "go to hell" na kibaya zaidi "uhuni" wake uliomghafirisha mlezi wake wa kisiasa. "Honor" inapungua. Kuhusu kuwa mfano wa kuigwa kwa kustaafu nadhani Mzee Malecela amesema jana...
 17. Kuhani

  Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

  Okay, Kwa hiyo source ni wewe mwenyewe kwa sababu wewe ni Mzaneki. Maana yake nini huo msemo?
 18. Kuhani

  Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

  Naomba source ya hicho kitu ulicho kinukuu! Na, tafadhali kije kama ulivyo kinukuu.
 19. Kuhani

  Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

  Wakuu Field Marshall na JMushi, huu mjadala wa kunga'tuka umetosha sasa, aliyeuliza ni Mkulu Mwanakijiji, na akajibiwa kwa facts na kina Fundi Mchundo na Joka Kuu na wengine, japo hakukubali kiungwana kwamba ameridhika na facts hizo on the ishu, case ilipaswa kuwa closed na ku-deal na hoja...
 20. Kuhani

  Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

  Ahsante brother / dada Field Marshall. Nimekusikia na nitakoma hiyo mada, japo nikueleze kifupi tu, kwamba utakuwa uliona Mkuu Mwanakijiji aliliendeleza "kombe la mbuzi" hata baada ya kushauriwa na baadhi ya wachangiaji kama vile Fundi Mchundo kwamba ameleta ubishi usio maana. Na hivi...
Back
Top Bottom