Search results

 1. Mama Mdogo

  Mama Mariam Mwinyi akutana na Malkia Camilla wa Uingereza

  Nahisi hizo ni nakshi nakshi za kutumia gold foil, dhahabu iliyoibiwa kutoka nchi za Africa wakati wa ukoloni.
 2. Mama Mdogo

  Airtel money mnazingua

  Tangu juzi nimekuwa nikituma hela kwenda kwa wadau wangu kutokea mpesa na tigo pesa kwenda airtel money. Cha ajabu hela upande wangu imekatwa, lskini huko iendako kupitia airtel money hela haifiki. Ukiuliza ubaambiwa usubiri saa 24 zipite. Airtel monet mnawazingua wateja wenu.
 3. Mama Mdogo

  ATCL mbona kama delays zimezidi sana

  Kuanzia tarehe 3 Juni hadi jana tarehe 6 Juni, ndege ya usiku saa 5:30 usiku kutokea KIA kwenda DAR inachelewa saa 3 hadi 5, abiria mnatua Dar saa 10 asubuhi au saa 12 asubuhi badsla ya saa 6:30 hadi saa 7:00 usiku. Ni muhimu ATCL wajirekebishe.
 4. Mama Mdogo

  Any Time Cancellation (ATC)

  During the 1980s and 1990s, the acronym ATC standing for Any Time Cancellation was coined to reflect what was actually happening on the ground in terms of the operationalization of the national airline, Air Tanzania Corporation. It was marred by frequent travel cancellations. Lately, these...
 5. Mama Mdogo

  Kitimtim comedy imulikwe

  Hao wadau, hasa Baraza la Sanaa huwa linapelekewa script kabla, wanasoma na kupitisha, kuboresha au kukataa. Shooting na recording zinaanza kwa kutumia script iliyopitishwa na baraza. Ina maana huo upuuzi wa jana umebarikiwa na baraza. Sijui kuhusu TCRA wanafanya monitoring muda gani. Lakini...
 6. Mama Mdogo

  Kitimtim comedy imulikwe

  Hapana, kwa sasa niko nchini Zambia nikifanya kazi ya muda mfupi consultancy, baadaye naenda Namibia. Huko home Tanzania narudi mwezi wa September 2023, nikirudi naenda moja kwa moja kijijini kwangu mkoa wa Katavi nimeyamis sana makande na maziwa ya mtindi. Mtu kwao, nafustilia tamthlia za bongo...
 7. Mama Mdogo

  Kitimtim comedy imulikwe

  Natoa rai kwa mamlaka husika (Wizara ya utamaduni na michezo, Baraza la ssna ka taifa, TCRA etc) kufuatilia kwa umakini maudhui ya Kitimtim comedy inayoneshwa kwenye chanel 160 DSTV/Multichoice. Wameanza kuongelea mambo ya kufanya ngono kwa uwazi hadi inatia aibu mzazi kuangalia skiwa na watoto...
 8. Mama Mdogo

  Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

  Je, niamini au nisiamini hii taarifa? Moyo wangu unanikumbusha tarehe 01.04.2023 bado haijaisha.
 9. Mama Mdogo

  Uadilifu katika utumishi wa Umma

  Naomba kuelimishwa. Je, misingi na taratibu za utumishi wa umma zinamruhusu kiongozi kulazimisha watumishi walio chini yake (wizara, idara, kitengo, wakala, taasisi) waende kufanyia semina, makongamano au warsha katika wilaya anayotoka. Na hususani wakati wakiwa huko wilayani kwake kuelekeza...
 10. Mama Mdogo

  Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

  Mayala, hiyo ni push message usizuzuke. Cha muhimu pambana na kutafuta hela za kuweza kulisha familia yako. Mambo mengine waachie, usije mwishowe ukaitwa chawa. Uhuru na kazi.
 11. Mama Mdogo

  Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

  Nina umani una maana ya Doto James na siyo Doto Biteko.
 12. Mama Mdogo

  Unyama : Polisi yazuia kikao cha ndani cha Mbunge wa Mbeya Mjini , kilichokuwa na lengo la Kutoa shukrani , Ukumbi wapigwa kufuli

  Leo hii bado wewe unaongelea mambo ya makabila......huu ubaguzi wa makabila uanze kukutafuna wewe mwenyewe....CCM Oyee
 13. Mama Mdogo

  Mazingira na Kiini cha mabadiliko Nchini Malawi

  Tawa Matombo, the money spent on education may be declared as a waste to the nation if it was paid by the governmebt, or waste to your oarents if the paid it for you. How on eart can you compsre the Soviet Union with Tanzania? The former Soviet Union covered an area of 22,402,200 square...
 14. Mama Mdogo

  Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

  Ni kweli kabisa, ni watu tofauti. Aliyefufuliwa ni mtu halisi kaka yake Martha, na yule wa peponi ni wa kufikirika alitumiwa kama character na Yesu Kristo ili kukamilisha mafunzo. The same applies kwa msamaria mwema na mtu aliyevamiwa na wanyang'anyi, ni characters wa kuwezesha kutoa mafunzo...
 15. Mama Mdogo

  Makonda: Dar hali si shwari, watu wanapukutika. Walio nje ya mkoa huu bakini huko!

  Loooh....IQ 20 ni ndogo kuliko maelezo. Mtawanyiko wa IQ kwa watu hapa duniani ni kuwa 2.5% ya watu ni wapumbavu wana IQ chini ya 70, kuna 14% wapumbavu kiasi wana IQ kati ya 71 hadi 84, halafu 67% ni waelevu wana IQ kati ya 85 hadi 115, na kuna 14% ambao ni wajanja wenye kipaji cha akili wana...
 16. Mama Mdogo

  “Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

  Nawaza kimoyomoyo ndugu zangu Wamasai wanavyomwita Waziri Ummy Mwalimu, "ile dada wa Korona". Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Mama Mdogo

  Usafiri wa umma watakiwa kubeba abiria kwa idadi ya viti 'Level Seat' ili kupambana na mlipuko wa Virusi Corona

  Naanza kwa kuipongeza serikali kwa kusisitiza umuhimu wa level seat ikiwa ni njia ya kuwaepusha watanzania wasiambukizane virus vya corona. Ukifanya tathimini lwenye vituo vya abiria, hasa mijini, na hususani Dar, kinachotokea ni kupunguza mrundikano wa watu ndani ya vyombo vya usafiri na...
 18. Mama Mdogo

  Rais Magufuli: Watu tusitishane, Mpaka sasa Corona haijaua mtu Tanzania

  Mileage, unachosema ni kweli, kwa jinsi muda unavyokwenda tutakuwa tunapata mrejesho wa kuongezeka au kupungua kwa maambukizi au vifo kutoka nchi mbalimbali duniani, ikiwemo Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom