Search results

 1. BADILI TABIA

  Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

  na wazazi wenu wameridhia kabisa...............
 2. BADILI TABIA

  Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

  Ndio ujitulize sasa.....
 3. BADILI TABIA

  Kaka yetu anasaidia ndugu wa mke wake, sisi hatusaidii

  Hii ni kweli kabisa Halafu wanaona kama.ni haki yao kuwapa fedha ya kujikimu
 4. BADILI TABIA

  Kaka yetu anasaidia ndugu wa mke wake, sisi hatusaidii

  Ndugu wa mume Mshaanza kutupia lawama mkewe......
 5. BADILI TABIA

  Katika ndoa, nani anatakiwa kuanza kumsalimia mwezie kati ya mume au mke?

  Yaani mkeo hajaitika salamu mwanaume mzima unaenda kumsimulia mzazi wako??????? Mwambie hapo hana mume ana ushumbwanda tu Halafu hakuwepo kwenye kikao kilichopita cha wanawake? Si makubaliano yalikuwa marufuku kuwa na mwanaume mmoja? Ona sasa......
 6. BADILI TABIA

  Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

  Sasa kinachokufanya usiamini wanawake ni nini? Kwani mlikubaliana wewe ndio.mwanaume wake.pekee? Au mlikubaliana kuwa ukimnunulia simu wanaume.wengine hawawezi kumpigia? Hiyo ni changamoto ndogo sana ya mapenzi, fanya ni hasara kama hasara nyingine
 7. BADILI TABIA

  Mume kamganda mchepuko miaka takriban 5

  Mganga wa nini Ina maana miaka yote 5 hatongozwi Muda huu alitakiwa awe na mwanaume wa ukweli alomzidi mumewe hadi dhambi Mwanamke u akuwaje na mwanaume mmoja? Baba yako huyo? Matokeo akiwa na mchepuko sugu unabaki kuwa single in marriage Mwambie apoe mwanaume mwenginr...mwenye hela na...
 8. BADILI TABIA

  Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

  Vicoba Fb whatsapp group Outings za maana sio uswazini Seminars n meetings Ofsn M
 9. BADILI TABIA

  Wanaharakati wa jinsia ya kike mpo wapi hapa? Au hili ndilo mnalolitaka?

  Acha bana Mwenzio anataka nandy aende ikulu na nguo ya harusi
 10. BADILI TABIA

  Majukumu yamenielemea

  Waambie hima Kwani.kabla hujapata kazi matatizo yao walitatua vipi. Sio kila.simu unaahidi Tena ikikaribia mwisho wa mwenzi wewe anza kuwatumia msg za kuomba hela kuwa una matatizo
 11. BADILI TABIA

  Mpenzi wangu hataki kunielewa juu ya kosa langu

  huyo.mwanamke kama ana akili asikusamehe!!!! akuache uende hufai
 12. BADILI TABIA

  Ukiona ujumbe huu kwa Mwanamke, bora ujifanye mtandao unasumbua

  Tafuteni pesa..... 15,000 tu unafungulia thread!!!
Back
Top Bottom