Search results

 1. N

  Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

  Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
 2. N

  Shot in the Arm for Tourism as International Hospitality Group Inks a Management Deal with Nairobi Safari Club

  Partnership: Mukawa (Hotels) Holdings Ltd Directors Ms Clare Njeri Githunguri (left) and Ms Lilian Joy Nyagaki Githunguri (right) exchange the hotel management agreements with Swiss-Belhotel International’s Senior Vice President Laurent Voivenel (centre) at the signing of a deal for the...
 3. N

  Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

  Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
 4. N

  Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

  Yes free subscription ipo available sasa na unaweza pakua App ya Boomplay na kukomboa huduma hiyo ya bure kwa siku ya leo tu. Kumbuka msanii wa ki Afrika Tems ameshinda leo hivyo kama wa Afrika tunasherekea ushindi wake na Boomplay inatoa fursa hiyo kupitia free subscription.
 5. N

  Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

  Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu, App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
 6. N

  Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

  Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
 7. N

  Boomplay, Merlin waongeza mkataba wa leseni; sasa kuzifikia nchi 47 Afrika

  BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
 8. N

  Kayumba adondosha EP ya Sweet Pain

  Dar es Salaam, 18/11/2021; -NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Kayumba Asosie almaarufu 'Kayumba' ameachia rasmi Extended Playlist (EP) yake ya kwanza iliyobeba jina la ‘Sweet Pain’. EP hiyo imebeba ngoma sita za moto ambazo ni ‘Mapenzi Yanauma’, ‘Bombaa Remix ft Nadia Mukami’, ‘Baishoo’, ‘Move On...
 9. N

  Boomplay na capasso zatia saini kuendeleza makubaliano ya kimkakati

  JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI-App na jukwaa linaloongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, Boomplay limeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama kinachosimamia hakimiliki za watunzi na waimbaji wa muziki (CAPASSO) ikiwa ni mkakati wa Boomplay kuendelea kupanua huduma zake...
 10. N

  Takwimu za Boomplay kuingizwa kwenye chati ya Billboard

  Dar es Salaam. Boomplay imetangaza rasmi kuwa, sasa itaingiza takwimu za wasanii wa Afrika katika chati maarufu za Billboard. Chati hizo ni kama Billboar Hot 100, Billboard 200, Artist 100 na Billboard Global 200, na pia chati zingine zote za Billboard Marekani na kimataifa ambazo zinajumuisha...
 11. N

  Nani Mmiliki wa AVIC Town Kigamboni

  It's a Chinese establishment See more here AVIC TOWN
 12. N

  Tony Douglas appointed chief executive officer of etihad aviation group

  Tony Douglas, Group Chief Executive Officer, Etihad Aviation Group Abu Dhabi, UAE – The Chairman of Etihad Aviation Group, His Excellency Mohamed Mubarak Fadhel Al Mazrouei, today confirmed the appointment of Tony Douglas as Group Chief Executive Officer, who will join the company in January...
 13. N

  BoT sheds light on money flow

  Bank of Tanzania Governor, Professor Benno Ndulu, addressing a media conference yesterday in Dar es salaam to shed light on the country's economic performance.(left) is Director of Economic Policy and Finance Johnson Nyella. IN SUMMARY What we see is absence of cheap money obtained illegally...
 14. N

  Ufisadi wa fedha za elimu bure wagundulika

  FEDHA zilizotengwa na Rais John Magufuli kwa ajili ya kugharimia elimu ya bure nchini, zimeanza kutafunwa baada ya kubaini kuwapo kwa udanganyifu unaofanywa na walimu wakuu kwa kuongeza idadi ya wanafunzi hewa ili kupata fedha zaidi. Kutokana na hali hiyo, wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es...
 15. N

  Harmonize utafanikiwa ila chini ya unachostahili

  Hata kama anacopy tayari kwa sasa ameshatoka na ni bora kuliko alipotoka.....acheni wivu dogo ana kipaji
 16. N

  Ripoti ya NSSF mikononi mwa Magufuli

  RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) inayohusu miradi inayosimamiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), imepelekwa kwa Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya kuipitia. ================================ =================================== RIPOTI ya Mdhibiti na...
 17. N

  Shirika la ndege la etihad laendelea kukuza wigo wake afrika mashariki baada ya kuzindua huduma za s

  Shirika la Ndege la Etihad limepokea tuzo ya uzinduzi bora katika sekta ya usafiri wa ndege kwa mwaka 2016 kutoka kwenye jarida la kimataifa linaloongoza kwa makala za usafiri wa anga. Sherehe za tuzo hizo zilifanyika katika maonyesho ya ndege yaliyofanyika jijini Hamburg, nchini Ujerumani...
 18. N

  TAKUKURU yafuatilia sakata la Panama Papers

  Wakati viongozi, wafanyabiashara na makampuni makubwa barani Afrika yakitajwa kwenye kashfa ya ukwepaji kodi ya Panama Papers, TAKUKURU imesema inafuatilia ripoti hiyo kubaini kama kuna Watanzania waliohusika. Kashfa hiyo inayoendelea kutikisa dunia inahusisha nyaraka zilizoibuliwa na mtandao...
Back
Top Bottom