Search results

 1. Mzee wa Gumzo

  Wasiostahili kurudi bungeni 2010

  Kwenye list namuongeza Fuya Kimbita wa Hai. By the way, suala la kuwaondoa wabunge hovyo siyo la kuzungumza. Tusipoteze muda na nafasi adimu ya kutumia sanduku la kura kubadili hali ya nchi for better. Kura yako na yangu = USHINDI
 2. Mzee wa Gumzo

  Kampeni za ccm kibangu na changa la macho

  Siku zote ninaamini katika ukweli kwa kuwa daima humweka mtu huru hata kama unauma Wakati Bw.Charles Keenja anaomba kura za wanaubungo wa kibangu na makoka aliweka bayana kuwa yeye na CCM wanaelewa tatizo la barabara inayowaunganisha wakaazi wa Kibangu na Makoka na maeneo mengine ya mkoa wa Dar...
 3. Mzee wa Gumzo

  Kagoda: Ni Rostam

  Nziku umeuliza maswali ya msingi sana. Kwa uelewa wangu ni kuwa katika sheria ukimkamata mtu na kitu huyo mtu anakuwa shahidi wa kwanza katika shauri husika. Mfano, Hao ambao DPP anadai walitumwa wanapaswa kisheria kuisaisia polisi katika upelelezi wao.Pamoja na hilo hao nao wanaingia katika...
 4. Mzee wa Gumzo

  'Soko kuu la Ubungo' limeidhinishwa?

  Kwa kipindi kirefu sana tumeshuhudia kuibuka kwa soko la bidhaa mbalimbali eneo la ubungo.Soko hili lilianza kama utani.Wachuuzi wa nguo walikuwa wanajipanga na nguo za kuuza kuanzia jioni upande wa mandela road kutazamana na Songas. Nao wachuuzi wa matunda walikuwa wakijipanga pembeni mwa eneo...
 5. Mzee wa Gumzo

  siri imefichuka.sasa afanyeje?

  Kuzaa isiwe ishu sana kwa jamaa.Kutokuambiwa ukweli awali kunaweza kuwa kumechangiwa na jamaa kmwenyewe.Hatuna uhakika jamaa ameshakuwa mkweli kwa binti kiasi gani.Yawezekana ndivyo walivyoleana, nikimaanisha kuwa kuna mambo mengi hawajawa wazi kwa pande zote. Jamaa aendelee nae kama anaona...
 6. Mzee wa Gumzo

  Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

  Mtizamo mpana wa jambo hili unaweza kukupa picha mbili tofauti zinazokinzana. Kwanza, ni picha kuwa suala la mahakama ya Kadhi kwa waislamu ni la lazima na CCM ililigundua hilo ndio maana mwaka 2005 ikawa gia kubwa ya kupandia mlima wa uchaguzi. Tuelewe jambo moja kuwa, ilani ya uchaguzi...
 7. Mzee wa Gumzo

  The moment Obama ignores Berlusconi's handshake at G8 summit

  Navyoona mimi mawazo ya wawili hawa hayakuwa pamoja.Obama alikuwa kwenye 'move' na mzee wa AC Milan alikuwa na mawazo ya kumpa Obama shake.Ni lazima ingeonekana kama jamaa anamtolea nje hivi. Kunaweza kuwepo interpretation kibao kuhusu hii picha lakini naona hakuna kabifu kokote.Kwanza Obama...
 8. Mzee wa Gumzo

  Unapajua hapa?

  I think hili ni jengo la cathedral ya wa-othodox along Ali Hassan Mwinyi Road.picha imepigwa kwa nyuma kule
 9. Mzee wa Gumzo

  Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

  it came with a profound shock.how comes good people never last? I personally knew prof.haroub and it is sad to see him parting ways with us Rest in peace prof,your death is our victory
 10. Mzee wa Gumzo

  Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

  Hatimaye kile kitendawili cha ni wapi alipo mshitakiwa Liyumba kimeteguliwa.Hivi ninavyo post thread hii mshitakiwa amefikishwa mahakamani kisutu na maafisa wa TAKUKURU. Atapandishwa kizimbani muda si mrefu na ndipi itajulikana kama anafutiwa dhamana au la.Stay tuned!
 11. Mzee wa Gumzo

  African University Ranking

  Last year UDSM was placed number 13 in world universities' ranking. This year it has droped to 18. I think it is time now education stakeholders find answer to such situation.It is not a simple matter when a university drops five steps in just a year. What i know is that all universities are...
 12. Mzee wa Gumzo

  Amatus Liyumba: Balaa!

  Mimi sishangai kuhusu hawa dada na mama zetu waliopitiwa na 'twin tower'.Taarifa zinazidi kuzagaa kuwa mzee huyu amewapitia dada zetu wengine mikoani japo kuwa hao sio maarufu kama hao waliowekwa kwenye listi. Kazi ipo
 13. Mzee wa Gumzo

  Cancer updates

  Hi JF members. It is so sad that many of our beloved are dying of cancer which is not just killing them but it is also threatening us. I have come accross a useful update of which i would like to share. Take your time, do not ignore. Cancer Update from Johns Hopkins Hospital
 14. Mzee wa Gumzo

  Dk Slaa: Hakuna anayemchukia Ben Mkapa

  Kimsingi kuna matatizo makubwa katika jamii yyetu yanasababishwa na viongozi wetu wa nchi na wale wa dini na madhehebu. Itakumbukwa kuwa awali kabisa rais Kikwete alisema waziwazi kuwa hana mpango wa kumshitaki Mkapa kwa kuwa eti alilitumikia taifa vizuri hivyo ni wajibu wetu tumwache...
 15. Mzee wa Gumzo

  President Obama's first 100 days

  Hi JF members, Am not sure you have come across Obama's letter to East Africans. Dear Sirs, > Thank you for your support during my campaign and the kind words of > encouragement and counsel in the last few weeks. > > Kenya is the home of my father and I am not averse to being called a >...
 16. Mzee wa Gumzo

  Swali kuhusu mikopo ya elimu kwa mtu anayesoma nje

  Ninachoelewa mimi Khang ni kuwa serikali ilijitoa kufadhili wanafunzi wa Masters unless uwe mwajiriwa wa chuo fulani.Hata hivyo unaweza kuwa academician katika chuo lakini ukaambiwa hamna fedha. Bodi inafadhili undergraduate studies tu
 17. Mzee wa Gumzo

  IFM wamegoma

  Ninavyofahamu mimi ni kuwa kazi ya FFU ni kutuliza fujo.Uwepo wao ni mahali penye fujo.Kazi ya polisi wa kawaida ni kulinda usalama wa raia na mali zao.Case ya IFM haikuhitaji FFU kukaa pale.Haku uvunjifu wa amani hata kidogo.Kiutaratibu ni polisi wanatakiwa kulinda mali za chuo na usalama wa...
 18. Mzee wa Gumzo

  JK kufanya mabadiliko

  Asilimia kubwa ya watendaji wa serikali inayoongozwa na JK ni watu wa karibu nae kwa maana ya marafiki wa kuanzia vyuoni, jeshini, TANU na hata wale wenye ukaribu na mamaa. Alipowaamini kuwa wanaweza kumsaidia aliwapatia nafasi za kuwatumikia wananchi lakini wengi wao wamemwangusha kwa...
 19. Mzee wa Gumzo

  EU Chair comments on MwanaHALISI ban

  By Guardian Reporter SOURCE: Guardian In my opinion i think the concern shown by EU is a positive one especially now when the government has decided to deal with civilians and their democratic institutions instead of combating injustice done to civilians.Very unfortunately civilians are...
 20. Mzee wa Gumzo

  Mzungu apigwa visu UDSM

  Wana JF, Nimeona ni muhimu kupost thread hii ya kusikitisha kuhusu mwanafunzi wa kigeni aliyevamiwa na kuchomwa visu UDSM juzi. Kitendo hiki kimetokea katika taasisi nyeti ya elimu, mahali ambapo wanafunzi wengi wa kigeni hufika kila mwaka kwa vipindi tofauti kupitia exchange programme baina...
Back
Top Bottom