Search results

 1. K

  Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

  "Iowa-based Summit Group and Global Agriculture Fund of the Pharos Financial Group, in partnership with AgriSol Energy LLC and the College of Agriculture and Life Sciences at Iowa State University, are developing a large agriculture enterprise in Tanzania. The site encompasses three abandoned...
 2. K

  Msaada jamani! Nini kifanyike?

  Kuna njia mbili katika kutatua mgogoro wa ardhi ama unafuata mkondo wa kiutawala kwa maana ya kuwaona watu wa idara ya ardhi hasa ama serikali ya mtaa,sana sana idara ya ardhi kwasababu wao tunatarajia watakuwa na kumbukumbu zote muhimu za kiwanja husika na njia ya pili ni mkondo wa mahakama kwa...
 3. K

  Public Debate on Land Grabbing in Tanzania

  MTM si ndio akina Idd Simba local investors wana team up na foreign investors...hyo ndiyo unayopenda kama modal? kwanini wasiwashirikishe wanakijiji ikawa joint venture kati ya kijiji au vijiji kwa mfano na huyo investor....umesoma lakini hayo ma tax holiday wanayoomba na incentives nyingine...
 4. K

  Public Debate on Land Grabbing in Tanzania

  Mwanakijiji acha huko kwa akina Pinda, bonde lote la Rufiji sasa lipo sokoni wanavijiji wanaambiwa wasubirie modals watakaoathirika watalipwa fidia...sasa sijui kama hiyo fidia itakuwa endelevu au ndio yale yale kutuletea mambo ya India....
 5. K

  Public Debate on Land Grabbing in Tanzania

  Habari ndio hiyo wakuu,ardhi ndio inaendelea kunadiwa hawa jamaa wanataka wahakikishe by 2015 wameshapiga bei kila natural resources.
 6. K

  Nitawezaje Kukabiliana na Majaribu Haya?

  mh!Hii kali, kwani jamaa hauana mafrendo wengine? ila haya majaribu kwelikweli,dawa moja wape hawa wadau wako nauli warudi Songea kisha jamaa arudi ajipange upya,kama unakazi simple kabisa chukua advance salary ya kutosha wape nauli
 7. K

  Bima ya mapenzi tanzania

  Yes hii mwafaka kabisa; ita cover yafuatayo; akikuudhi,akikupiga kibuti, akikununia, ukipungukiwa mkwanjwa wa kumtoa out, vocha za simu,mafuta ya gari kumpeleka misere outing mnaita wenyewe, mengineyo ongezea! Hawa watu wa bima wangekuwa serious hii inalipa na true unakata comprehensive...
 8. K

  Mratibu wa mradi kigamboni vs katibu mkuu ardhi (Patrick Rutabanzibwa)

  Mkuu Jatropha upo sahihi kabisa na hiyo attachment big up, hawa wengine hata undani wa miradi hii hawafahamu ama kama wanafahamu basi wana maslahi binafsi! Unaandaliwa mradi ambao matokeo yake ni upokaji wa ardhi na umasikini uliopindukia kwa ndugu zetu wakazi wa maeneo ya pembezoni wakisimama...
 9. K

  Mratibu wa mradi kigamboni vs katibu mkuu ardhi (Patrick Rutabanzibwa)

  Wakazi gani wa Kigamboni wanasema hawaitambui Kamati ya ufuatiliaji wa Mradi wa Kigamboni City? na huyu Ruta anahusika vipi na kamati hii iliyoundwa na waathirika wa mradi huu ambao kwa sehemu kubwa wanachokidai ni kushirikishwa kama wadau?Kama wananchi wana sema jamaa anauza yaweza kuwa kweli...
 10. K

  Ni kweli tumesahau aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 mpaka tuandamane kumtetea?

  Wa tz wepesi kusahau so sishangaii wao kuingia barabarani kuunga mkono chochote
 11. K

  Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

  mh! Chakachua chakachua wapo juu yetu macho twajiandaa na 2015 hakuna kulala
 12. K

  Mechi Kali Bungeni

  First eleven ya kila upande! nimeipenda hii imetulia
 13. K

  Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

  mh! kazi kweli kweli
 14. K

  Huyu Jane Shirima wa TBC vipi?

  Did you guys vote for me? sasa the NEC has chakachuwadi my votes?
 15. K

  Sharif Hamad adondosha chozi...!

  Busara itumike, mambo gani haya watu tumetazama mwanzo mpaka mwisho hayo machozi hatukuyaona kwani alikuwa kashtukizwa?
 16. K

  Nicholas E. Mgaya amjibu JK

  Kasemaje na wapi? leteni habari kamili, sasa hii breaking news gani? ama hatuelewi maana ya breaking news? hata news alert huwa zinajitoshereza ama kwa kutoa link yenye habari kamili! sasa sisi hata kitu hakijaiva hao tayari tushakurupuka JF taratibu wajameni!
 17. K

  Mkapa denounces culture of aid dependency

  MM hapo umenena! ni sawa na Padre au Mchungaji kukumbuka maji ya baraka akishakuwa kafunga ibada na kanzu kaweka kando!
 18. K

  Mkapa denounces culture of aid dependency

  Uwekezaji wekeza, wekezwa wawekezeji, duh Ben nimemsikia sijui ndio ile majibu ya akina Sumaye kuwa hawakuelewa kwanini hatuendelei mpka walipoenda Havard inawezekana sasa Ben naye baada ya kukaa nje ya wanja sasa aweza ona vema fursa za kufunga magoli na anashangaa kwanini mastriker...
 19. K

  Activists 'escorted' out of Tanzania - Hiki ndicho kilichotokea wakati wa WEF?

  Siku yenyewe ya ufunguzi kulikuwa na mkwara mzito! asubuhi nilipokuwa naelekea kazini nilipitia UDSM njia ya Mcity ilikuwa imefungwa, jamaa wa FFU wakiwa na magari takribani mnne na boza la maji ya upupu walikuwa wamejipanga sawasawa maeneo ya geti maji! sasa nkajiuliza hii ni WEF Jukwaa la...
Back
Top Bottom