Search results

 1. Jatropha

  Watanzania wapenda amani tuzisusie kazi za Babu Seya na mwanae Papii Kocha

  jisomee hukumu ya Mahakam ya Rufaa ndipo utueleze huo upuuzi wako
 2. Jatropha

  Serikali, CCM vimebadilika. kwanini wapinzani nao hawabadiliki?

  Je ni kweli kiongozi wa chama amemzalisha mbunge wa viti maalum? Kama ni kweli kwanini mnamdharau Jerry Muro?
 3. Jatropha

  Serikali, CCM vimebadilika. kwanini wapinzani nao hawabadiliki?

  CCM imebadilika kwa kuwafaulishia wapinzani wake mliokuwa mkiwaita mafisadi papa. Wakati CCM inatekeleza ilani yake ninyi mko busy Ufipa kuwapiga deki mafisadi uke ucafu mliowapaka. Kuwafaulishia mliowaita mafisadi papapapa sio mabadiliko hayo?
 4. Jatropha

  Serikali, CCM vimebadilika. kwanini wapinzani nao hawabadiliki?

  Hakuna kitu kinaidhalilisha CDM kama kuutangazia umma kwa nguvu kubwa kuwa viongozi wake waliowaibua na kuwapatia udhamini wa chama ni wala rushwa. Bila ya kujijua mnautangazia umma kuwa chama chenu ni cha wala rushwa
 5. Jatropha

  Serikali, CCM vimebadilika. kwanini wapinzani nao hawabadiliki?

  Tokea serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani tumeshuhudia mabadiliko makubwa katiki nyanja mbali mbali ikiwemo kuongezeka kwa uwajibikaji wa viongozi na watumishi wa umma, kupigwa vita vya dhati kwa vitendo vya rushwa, ubadhirifu na ufujaji wa Mali za umma, kuanzishwa na kutekelezwa kwa...
 6. Jatropha

  Ethiopia wana Ndege, fly-overs, treni za kisasa n.k lakini hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ikoje?

  Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma Na kuelewa. Mtoa mada ametutahadhatisha juu ya makosa yaliyofanywa Na Ethiopia kuwekeza fedha nyingi ktk miundombinu ya kisasa pasipo kuwekeza kuwainua watu wake. Matokeo yake ni watu waliotegemewa kutumia miundombinu husika kukimbia nchi kwa sababu ya ukosefu...
 7. Jatropha

  Mwalimu elimu, tingatinga bomoa bomoa

  Kwani bomoa bomoa haikuwasababishia madhara wahanga? Wapo waliopoteza maisha kwa mshtuko, familia zinalala nje na kuharibiwa kwa njia za kujitafutia riziki. Mungu amekasirishwa Na Jamii ya kinafiki inayoshindwa kukemea uonevu ndio maana kashusha gharika (tingatinga kuu) ili liwe funzo kwa...
 8. Jatropha

  Mwalimu elimu, tingatinga bomoa bomoa

  Hayo ndio mafanikio ya kiongozi kujikita katika kukuza Elimu had I kuitwa Mwalimu. Sasa tuko zama za bomoa bomoa ndio maana Na mungu anatuongezea ubomoaji was miundombinu
 9. Jatropha

  Mwalimu elimu, tingatinga bomoa bomoa

  Kuna methali inasema "Jina humuua mwenyewe", Tuliwahi kuwa Na kiongozi aliyeitwa "Mwalimu". Matokeo ya jina hilo in wananchi waume, wake na watoto kupatiwa Elimu bure kupitia program mbali mbali. Mamilioni ya watu wazma ambao hawakubahatika kusoma katika utoto wao walipatiwa Elimu nchi nzima...
 10. Jatropha

  Wana JF, Tutofautishe Kati ya Kusema Uongo na Kuteleza Ulimi, Rais wa TZ Hawezi Kusema Uongo, Labda Kuteleza tuu!

  Paskali hivi sasa watu wenye hati miliki zilizotolewa na kusajiliwa na Kamishna wa Ardhi pembezoni mwa reli wanabomolewa majengo yao. Baada ya taifa kuambiwa kuwa eneo LA hifadhi ya teli lilitengwa toka enzi za mkoloni. Je Kamishna anaweza kutoa hati miliki kwenye hifadhi ya reli? Na kama...
 11. Jatropha

  Watanzania tujiulize busara ya kugomea $450m ya MCC, kisha kukubali $300m toka kwa wezi.

  Kwa mujibu wa sheria zetu za kodi TRA waliwapatia Acacia/Barrick Hati ya madai ya dola bilioni 190 sawa Na fedha za kitanzania Trilioni 425. Sheria zetu za kodi zinaelekeza namna ya kumshughulikia mkwepa kodi. Ndio maghorofa ya Lugumi yako mnadani. Tunachotakiwa kuhoji Na hatua gani...
 12. Jatropha

  Pamoja na Kurugenzi ya fedha Acacia kusema haina pesa ya kulipa bado tuna imani kubwa na wataalamu wetu!

  Ina maana haukusikia TRA imeipa Acacia/Barrick hati ya madai? Mbona hati hiyo hiyo Nyumba za Lugumi zinapigwa mnada?
 13. Jatropha

  Zitto acha kuilaumu Serikali kwa hesabu za kufikirika

  Unakosea kumalaumu Zitto. Awamu hii ni ya kukusanya kodi. Kwa mujibu wa sheria TRA inaidai Acacia/Barrick kodi waliyokwepa Dola Bilioni 190 sawa Na Trilioni 425 xa kitanzania, ambazo zingeweza kumpatia kila mtanxania Gari ya aina Noah. Kwakuwa kodi IPO Kwa mujibu wa sheria Na sheria haimpatii...
 14. Jatropha

  Pamoja na Kurugenzi ya fedha Acacia kusema haina pesa ya kulipa bado tuna imani kubwa na wataalamu wetu!

  Kwahiyo unataka kusema TRA inafanya Kazi kisissa badala ya kitaalamu? Au wakwepa kodi kunadiwa Mali zao ni Kwa akina Lugumi tu?
 15. Jatropha

  Pamoja na Kurugenzi ya fedha Acacia kusema haina pesa ya kulipa bado tuna imani kubwa na wataalamu wetu!

  Kwakuwa TRA walibaini kuwa Acacia walikwepa kodi $Bilioni 190 sawa Na Trilioni 425 za Kitanzania naamini kuwa makubaliano yaliyofikiwa tarehe 19 Oct 2017 hayahusu Trilioni zetu 425 ambazo zitaweza kumpatia kila mtanzania Gari ya aina ya Noah. Naamini hakuna kiongozi yeyote anaruhusiwa Na sheria...
 16. Jatropha

  Pamoja na Kurugenzi ya fedha Acacia kusema haina pesa ya kulipa bado tuna imani kubwa na wataalamu wetu!

  Tukumbuke kuwakuwa serikali ya awamu ya 5 imeweka mkazo katika ukusanyaji kodi. Acacia walipatiwa Na TRA hati ya madai ya dola bilioni 190 sawa Trilioni 425 za kitanzania baada ya kubainika kukwepa Kodi kiasi ambacho kingeweza kumpatia kila mtanzania Mzee, kijana Na motto Gari aina ya Noah...
 17. Jatropha

  Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

  Mara Paap mgodi umepata hasara 50/50 itatuhusu kulipa madeni
 18. Jatropha

  Fahamu tofauti kati Kadinali na Askofu ktk kanisa Katoliki

  " Canon Laws" ambazo ibara zake hutajwa hivi, Can. 381 nakafhalika zinatosha kumwelewesha yeyote muundo wa Kanisa Katoliki. Zinataja mamlaka ya askofu, askofu-mkuu, kardinali, rais wa baraza la maaskofu na zaidi. Sheria ya kanisa, Can. 381(1) na Can. 391(1), zinasema kwamba askofu jimboni...
Back
Top Bottom