Search results

 1. Allah's Slave

  ewura

  Kama hivyo si uwapigie uwaulize? Pia nakushauri sana uende usifikirie kula hasara nauli itakupa hata eperience ya interview. Ingawa kazi stage yako wanao qualify huwa wengi ile mbaya.
 2. Allah's Slave

  Ushauri

  Labda inawezekana nina ndugu yangu mmoja amesoma IT ila masters kasomea Bussiness administration hizi ni fani 2 tofauti kabisa.
 3. Allah's Slave

  Fursa za Kazi kibao kwa Watanzania Kampala

  Tatizo waganda hawaongei kiswahili, Ukianzisha biashara hapo lazma hili likupe tabu maana hata hao wahudumu wenyewe watashindwa kuwasiliana na wapishi ambao wengi wao watakuwa wa TZ.
 4. Allah's Slave

  Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

  Information Technology (IT)
 5. Allah's Slave

  Tafsiri sahihi ya neno hili

  Kama yellow = Njano Green = kijani Red = Nyekundu White = Nyeupe Pink = ? Blue = ? Nipeni elimu
 6. Allah's Slave

  Mapishi kwa asiyejua

  Ndio maana naipenda JF. Ahsante sana hapa nimesha Print na lunch ya leo naweka kwenye gari kabisaaa tayari kwa kufanya mambo weekend. Members kama nyinyi mnaotumia muda wenu na resources zenu kutusaidia na kutuelimisha, Allah Awabariki Sana na Mpate zaidi na zaidi maana kupata kwenu ni manufaa...
 7. Allah's Slave

  niokoe ndugu yako!

  Tiba ni rahisi sana kijana. Watu wenye matatizo kama yako inatakiwa mfanye kitu kimoja tu. Amka asubuhi alafu ufunge kama tunavyofunga sisi waislam mwezi wa ramadhan. Ikifika jioni kula vyakula vyote. Ukiona hali haipo mchana anza kuruhusu vyakula vya aina moja tu mchana. Unaweza kuanza kwa...
 8. Allah's Slave

  Kinga inayozuia kuambukizwa HIV

  Points zako zote mbona zina ji contradict?
 9. Allah's Slave

  Mapishi kwa asiyejua

  Yaani umenichekesha.................. Ndio maana ya kujaribu ila pia huenda watoto wakanikubali kuliko hata mama yao kwenye mambo ya mapishi.
 10. Allah's Slave

  Mapishi kwa asiyejua

  Last wiki sikupata jibu mapema hivyo sikupika, Ntapika this weekend. Tatizo hivyo viungo vya samaki ni vipi? Ila chakula kinaonekana Simple sana hiki nakiweza kuchemsha tu ntashindwaje. Nitajie hivyo viungo vya samaki ulivyosema unaviweka. Ahsante
 11. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Wewe unaongea kama mwarabu. Imani za kizamani hizi siku hizi tunabadilika, Mwanamke sio pambo ndugu yangu. Hivi kuna anayefikiria kama mimi humu kweli. I'm out
 12. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Mkuu umenifumbua macho umenifanya Nifikirie tofauti lakini mimi binafsi nataka japo ajaribu ikionekana majukumu ya kulea familia yanamshinda kwa sababu ana kazi ataacha. Huenda anaweza mudu vyote tu. Just because analea familia haimaanishi kuwa asichakarike. Mwisho wa siku hakuna kitu muhimu...
 13. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Biashara yangu na ya baba ni sawa hivyo mama ndio aliyeamua kumuweka karibu na kumfundisha jinsi ya kukabiliana na matatizo yatokanayo na kazi zetu. Mfano naweza nikarudi nyumbani nimenyong'onyea labda gari limeanguka, sometimes madereva nliyowazoea huenda wakafa na ajali au matatizo meeengi...
 14. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Unajua toka mimi mdogo hadi leo, baba alikuwa akifanya hivi kwa mama. Na mimi nimekuwa nikijua kuwa hivi ndio maisha yalivyo. Ni kama kautamaduni flani nilikokazoea kukaona nikashauriwa nikaendeleze na wazee.
 15. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Nshakaa naye sana nshahubiri weeee mpaka nimechoka. Hobby aliyonayo ni kuangalia Bongo Movie na tamthilia za kizungu. Anaweza akaangalia movie 3 za kibongo kwa siku bila tabu. Nkimuuliza yeye anachotaka utasikia ntakujibu. Ukimng'ang'aniza sana ndio mara nipeleke nikasome masters alafu naishia...
 16. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Asante kwa ushuri ila imani yangu iko tofauti na wala siamni hili hata chembe na sitokaa nije niamini hicho unachokisema.
 17. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Kujibu tu swali lako, Watoto anawapenda sana na ndio roho yake. Kuhusu majukumu yake kama mke kusema ukweli nisipate dhambi hana tatizo kwenye hilo na huenda labda ndio maana nimemvumilia miaka yote hii.
 18. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Unajua mama yangu ni mtu mzima na hana mawazo kama yangu. Akili ya mama ni kuwa mwanamke nafasi yake ni nyumbani na kulea watoto na mimi simlaumu kwani hiki ndicho kilikuwa kizazi chake ila hajui kuwa maisha siku hizi yamebadilika. Wengi mmeshauri nisimpe pesa mwisho wa mwezi. Tatizo wazazi...
 19. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Hili wazo gumu na kiufupi haliwezekani. Ingawa ukoo wetu umeshika dini, haijawahi tokea ndugu yangu yeyote akaoa zaidi ya mke mmoja. Ntaonekana wa ajabu sana na huenda nkatengwa na kupigwa vita ile mbaya. Wako walio wahi kuoa wakaacha na kuoa tena lakini si kuoa mke zaidi ya mmoja. Hii ni hatua...
 20. Allah's Slave

  Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

  Habari zenu ndugu zangu, ahsanteni sana kwa ushauri wenu mzuri. Nimesoma kwa kina ingawa kuna baadhi ya vitu utekelezaji wake kidogo unaweza kuwa mgumu ila ntajitahidi. Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kila aliyenipa ushauri kwenye hili. Ntajitahidi kujibu hoja za wote ingawa nyingine...
Back
Top Bottom