Search results

 1. Kilbark

  TANZIA Rapa mkongwe wa Hip Hop, Coolio afariki Dunia

  OPIOID SILENT KILLER
 2. Kilbark

  Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

  BURIANI. KWA HAKIKA NI PIGO KUBWA KWA SISI TULIOMFAHAMU KUPITIA MITANDAO NA MAANDIKO YAKE JAPO KWA UCHACHE. NISEME ALIKUWA MTU MUUNGWANA ALIYEHESHIMU KILA MTU. PIA ALIIJUA HISTORIA NA MATUKIO MBALIMBALI YA NCHI HII VYEMA.
 3. Kilbark

  Mrusi aliyetengeneza Ak-47

  AK ni noma chukua chimbia ardhini kavu kavu fukua test mtambo. Ngoma jino moja. Ni bunduki imara mno ambayo inahimili mazingira magumu. Kuna aina nyingi za AK 47 kutokana na maendeleo ya teknolojia.
 4. Kilbark

  Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

  Hii Bill itakapo jadiliwa na kupitishwa kwa kura na Bunge la JMT, na kisha rais kuridhia na kuwa sheria, tutegemee ulanguzi,ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na mauaji. Pengine serikali pamoja na bunge watatakiwa kuweka vipengele maaalum kisheria baina ya donor na recipient na...
 5. Kilbark

  Thomas Isidore Sankara: Taa ya AFRIKA iliyozimika ghafla ikiwa na umri mdogo wa miaka 38 kwa mapinduzi na kuuawa na Rafiki yake Kipenzi

  Sankara alimkejeli Rais wa Ivory Coast Houphet Boigny na kumuita kibaraka wa mabeberu hususan Ufaransa. Campaore amemuoa mtoto wa Boigny. Boigny alikuwa na ushawishi mkubwa wakati huo, kikanda na kimataifa na aliheshimika kwa kuwa mtu senior wakati ule. Hakuna kiongozi ambaye alithubutu...
 6. Kilbark

  Zitto Kabwe afunguka kuhusu Dr. Bashiru kumtaka CCM

  Na kuwepo kwake ACT hakutamaliza shida za watanzania.....Zaidi ya maslahi
 7. Kilbark

  Kuyumba na kufa kwa UCC, Chuo Kikuu UDSM chatoa ufafanuzi

  Ninachoona hapo ni kama mtiririko wa majungu na kupakana matope unaochagizwa na kundi moja dhidi ya kundi jingine. Hakuna jipya hapo ni maslahi tu.
 8. Kilbark

  Yawezekana ikawa ni masharti ya mganga...

  Bado muda wake haujafika. In fact DAB is a manifestation of the man himself. All of his action are depictions and result of his intentions. DAB is like an operated and programmed machine that does not think. Even dogs think over consequences of their actions. But if you read between the lines...
 9. Kilbark

  Bwana Heri jiandae mapema, unatafutiwa uchochoro wa kutokea

  Bwana Heri= Majaliwa, Kijana wa New York = Bashite, Mzee wa Misuti na Miraba= Lugola, Figo= Korosho....... .Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 10. Kilbark

  Kitengo hatari zaidi katika MOSSAD

  GOLDA MEIER
 11. Kilbark

  Makosa ya Mtandao: Mbaroni kwa ‘kumtukana’ Naibu Spika, Tulia Ackson

  Hakuna mahali alipotukana. Narudia. Hakuna mahali alipotukana.
 12. Kilbark

  Mtatiro aanza 'kufaidi mafanikio' hata kabla ya kujiunga rasmi CCM

  Hakuna kitu kibaya kama kufanya jambo kwa kufuata maelekezo hata kama dhamira yako haitaki na sio sahihi. Njaa kitu kibaya sana.
 13. Kilbark

  President Mobutu Sese Seko of Zaire

  Mobutu, Kasavubu, Moise Tshombe wote waligeuzwa kuwa vibaraka wa mabeberu ila Mobutu aliitumia fursa hiyo vizuri kwa kuwamaliza wote na kuitawala Zaire.
 14. Kilbark

  Mwanadada yule wa Ughaibuni alikuwa sahihi sana na alistahili kuungwa mkono na watu binafsi pamoja na taasisi za kiraia

  Tatizo maneno mengi.....Tumekosa uthubutu katika mambo ya msingi...siasa tutaiweza?
 15. Kilbark

  Yaliyojiri kuagwa kwa mwili wa Samuel Sitta, Viwanja vya Karimjee

  Ha ha ha ha ha! Mkuu umeniacha hoi kwa kucheka. Mbavu zinauma.
 16. Kilbark

  Dawa za Sh. Bilioni 2 hazijafika Muhimbili toka Keko tangu Mei 2012

  Duh! Majipu limegeuka kuwa msamiati mkuu wa kisiasa na kupoteza maana yake halisi. Ama nadhani huu ni wakati wake baada ya neno ufisadi. Hata hivyo mchakato wa utumbuaji unahitaji utaalam na umakini na sio kujitafutia umarufu wa kisiasa kama inavyofanyika sasa.
 17. Kilbark

  Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

  Fikra za kimasaburi , mawazo ya kimasaburi,akili za kimasaburi na maamuzi ya ki masaburisaburi. Ikifika Oktoba 25 mwaka huu wa 2015,utachagua Masaburi. Kila la heri kwa uamuzi wako unaouamini wewe. Wenzako wanapanga.mikakati ya kukutia kwenye masaburi vitatu utulie.
 18. Kilbark

  CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

  Anza na CCM kisha umuulize mzee Nassor Moyo, Mzee Ntagazwa, Mzer Lwaitama na wengineo. Chadema ya Mbowe ni tofauti na ile ya Bob Makani ama Mzee Mtei. Hizi siasa za leo ni siasa huria haijalishi itikadi ama unaamini nini. Isipokuwa makubaliano na maridhiano yenye malengo yanayofanana chanya na...
 19. Kilbark

  TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

  R.I.P Pigo kwa Chadema na makamanda wapenda mabadiliko wote. Mtoi hakuwahi,hajawahi na hakuwa msaliti. Na alipambana mpaka tone la mwisho la damu yake. Mods kama itawapendeza na kama utaonekana umuhimu uanzishwe uzi maalum kwa ajili ya ku pay tribute kwa Kamanda Mtoi. Tujikumbus hebposts zake...
Back
Top Bottom