Search results

 1. Tatu

  Tatizo la maji Mjini Arusha sasa limekuwa sugu

  Tatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini? Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote kwa ujumla kwa hiyo suala la upungufu wa maji isiwe kisingizio. Kwa kweli hii hali haikubaliki hata...
 2. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  Nashukuru kwa ku-share uzoefu wako. Changamoto ambayo najaribu kuepuka hapa au iwe very minimal, ni interaction ya mimi na app/system on a daily basis. Kikubwa ninachotaka app/system iweze kufanya ni "Mwajiri aki-approve kazi baada ya kuridhika," malipo yafanyike automatically. Kwa hiyo swali...
 3. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  Unfortunately, hata AzamPay hawana hiyo service.
 4. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  Yes Dr. Hivyo vyote viko kwenye app ndio maana nilitaka kuweka hiyo mechanism yaku collect wages and hold. Hiyo TShs3000 nilimaanisha wage ya siku nzima.
 5. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  Nitajaribu kuongea nao. Kama nilivyosema hapo nyuma, ikishindikana kwa sasa, nitafanya employer wa-post kazi bila deposits yoyote. Labda baadae nita upgrade once hiyo huduma ikitokea. Thanks.
 6. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  Dr. I am glad you brought this. Actually hiyo ndiyo naifanyia kazi. Umeshaoanisha shida ya kwanza. Shida ya pili ambayo nataka kutatua ni hiyo ya malipo. Nimeona vibarua wengi wanazungushwa na malipo yao mara baada ya kumaliza kazi. Kwa hiyo solution yangu ni kwamba, employer yoyote akipost...
 7. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  That's great! Congratulations.
 8. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  Hongera ndugu. Penye nia pana njia. All you need is focus and determination.
 9. Tatu

  Wazo bunifu: Ma IT wa JF

  You're spot on! Shida yetu kubwa sana hasa linapokuja suala la hela ni UAMINIFU. Kwa kukazia tu point yako, kuna app moja namalizia kwenye NICHE fulani ambayo ina shida kubwa katika malipo lakini nimekwama. Hakuna kampuni hata moja Bongo inayotoa huduma ya Escrow. Naweza ku-integrate na PayPal...
 10. Tatu

  Mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?

  Use LibreOffice. It is a better alternative Here's the download link https://www.libreoffice.org/download/download-libreoffice/ Good luck
 11. Tatu

  Sijaelewa kuhusu Dkt. Mwigulu kukopa Trilioni 5 ili kulipia Hati Fungani za serikali zilizoiva

  Pale pale kwenye mshono alipopiga Mh. Lema lakini bado watu wanajifanya hawamuelewi. That's the bigger implication of what Hon. Lema implied.
 12. Tatu

  Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Nakatwa salio langu Tsh.100 ya huduma ya Mdundo bila ya ridhaa yangu

  Naamini mtu akiweka tangazo hapo kwa wale waliounganishwa kwenye service bila consent zao, wengi watajitokeza. Baada ya hapo ni kuweka action plan to end this madness and daylight robbery once for all.
 13. Tatu

  Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Nakatwa salio langu Tsh.100 ya huduma ya Mdundo bila ya ridhaa yangu

  Pole sana mkuu. Huo ni wizi 100%. Hakuna aliye juu ya sheria. Hiyo kampuni ni kuiburuza mahakamani. Mimi sio mwanasheria lakini I hope Tanzania kuna kitu kinaitwa Class Action Lawsuit. Kampuni inayowaibia watu kwa njia hii inabidi ifundishwe adabu na ustaarabu. Cha kufanya ni kutafuta wale...
 14. Tatu

  Natafuta ramani nzuri ya kizungu

  Ramani inaanzia kwako. Nyumba za kizungu is too general. Una nini au uko tayari kwa kiasi gani, i.e, una uwanja waku-accommodate hiyo nyumba ya kizungu? Sio unajenga nyumba halafu baadae uzio/ukuta uko mita moja kutoka kwenye nyumba. Wakati mwingine huwa nikiona nyumba za namna hii nashindwa...
 15. Tatu

  Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

  If you don't mind, why do you say WP was a big mistake?
 16. Tatu

  Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

  Asante. Hiyo ya mitihani siifahamu. Was it an app or website? Please share if you can. I will learn a thing or two. Bado sijaanza kuifanyia kazi hiyo ya education. Kwa sasa kuna app ndio inanichukulia muda mwingi ku-develop.
 17. Tatu

  Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

  I agree but it depends. Karibu kila kitu kipo kwenye tovuti au app siku hizi. You just need to come up with a spin plus a form of incentives. Kitu kingine cha kuangalia, creators au publisher inabidi waangalie maswahi kwa upana. Sio kujiangalia wao wanapata nini kwanza. Nina idea moja ambayo in...
 18. Tatu

  Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

  Zipo nyingi sana hasa kwa upande wa funtional ones with user feedback that can ease our daily life. Pia kwenye education, we lack students representation on their daily education's struggles or a way to bring up their innovative self to the surface.
 19. Tatu

  Wazo la channel ya youtube

  The way umeuliza hili swali I assume that you have YouTube channel. Before I share my 2 cents, 1. Kama una YouTube channel, what content do you air? 2. Do you monetize it? How?
 20. Tatu

  Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

  Acheni kuweka siasa kwenye kila kitu. That's market force, simply supply and demand. Ikifika April, tutaomba data mpya ya mauzo baada ya kombe la dunia kuisha. I guarantee you mauzo yatashuka. Je utamlaumu Mama? Acheni kutukuza ujinga.
Back
Top Bottom