Search results

 1. S

  Barua Kutoka Ughaibuni - Rais Uwezo Wa Kutatua Matatizo ya Umeme tunao

  Zakumi, Nitakuunga mkono kwa kuleta makala nyingine iliyochambua uwezo wa vyanzo vya umeme/maji tulivyonavyo: The curious case of electricity dearth in Tanzania (Dec 17, 2010).
 2. S

  Sidanganyiki - Leo ndio mnajua Tanzania inahitaji katiba mpya?

  Ndio hapo sasa. Matatizo ya Tanzania na Watanzania wengi ni kuwa karibia yote yanahusiana. Huwezi kuzungumzia elimu bila kutaja umaskini, uongozi mbovu, uzembe, uwizi n.k.. Kuhusu Katiba kuwa ndefu, nadhani kama watu walivyosema hapo juu, Katiba mara zote inatakiwa kuakisi na kujaribu kutatua...
 3. S

  Sidanganyiki - Leo ndio mnajua Tanzania inahitaji katiba mpya?

  Mtanzania, shukrani kwa mchango wako. Kuhusu suala la Katiba Mpya (KM)... umetoa hoja zako ambazo sina haja ya kuzirudia. Lakini, tunashindwa kuingiza kifungu cha uwajibishwaji wa viongozi? Maana'ke inaonekana watu wenye nyadhifa wanafanya mambo kama wanavyotaka, kwasababu wana "uhakika" kuna...
 4. S

  Sidanganyiki - Leo ndio mnajua Tanzania inahitaji katiba mpya?

  Mundali, nadhani unaongelea watu waliojiandikisha kupiga kura tu. Ndio, walikuwa milioni ishirini. Lakini watu waliojitokeza kupiga kura ni takribani milioni 8... (Unaweza ukajadili zile sababu kama majina ya watu kukosekana kwenye madaftari ya wapiga kura; lakini haifiki milioni 10!)
 5. S

  Tanzania: A quietly divided nation

  Baada ya miaka mitano, tutegemee Erick aandike makala kama hii? Au mambo yatabadilika? Kuwa mabaya au mazuri?
 6. S

  Tanzania: A quietly divided nation

  Wakati tukisheherekea uhuru, itakuwa sio vibaya tukichambua makala ya Erick Kabendera, iliyochapishwa kwenye tovuti ya African Arguments tarehe 23 Novemba, 2010. Source: African Arguments » Blog Archive » Tanzania: A quietly divided nation
 7. S

  JF's Impact on Tanzanian Politic (Part 2)

  Mbona watu wengi wa JF, kutoka kila kona ya dunia waliweza kuchangia kwenye huu mjadala: Mjadala wa Bongoradio: Kuelekea Uchaguzi Mkuu Tanzania 2010 Kazi ya atakayekuwa nyuma ya kipaza sauti ni kukusanya mawazo tu. Ningependa kusikia kutoka kwa GQ ambaye alionesha kuwa ana uwezo na uzoefu wa...
 8. S

  JF's Impact on Tanzanian Politic (Part 2)

  Usikonde... Nina swali dogo tu (out of topic); hivi ile makala ya Erick Kabendera (A quietly divided nation) ime'shajadiliwa hapa Jamii Forums?
 9. S

  JF's Impact on Tanzanian Politic (Part 2)

  Yaani watu ndio wamesusa au yaliyojadiliwa yatatekelezwa kimya-kimya?
 10. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Unaonekana hujazoea haya mambo, Gurudumu. Tunajua "kujadili" sana, lakini ni wachache ambao wanajua cha kufanya; na wachache mno, sana, ambao wanaweza kuamka na kufanya wanachopaswa kufanya (na hao ni wachache sana hapa.. wapo hapa lakini na ninawafahamu). Anyways, naona watu wamegomea...
 11. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Kwa kuongezea tu, naelewa lengo la huu mjadala... Na kama viongozi au waasisi wa JF wanafuatilia, basi inabidi waamue: 1. Je, wanataka JF iwe jukwaa la mijadala tu? Halafu, watu wakirudi nyumbani waache kila kitu hapa? AU: 2. Kuna malengo makubwa zaidi ya kujadili mambo tu? Wanataka...
 12. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Kuhusu redio, hapo kuna mtihani mwingine kama ulivyojadili hapo juu. Mi' binafsi nina "bifu" na vituo vingi vya redio -- hasa vile maarufu. Haya mambo ya taarifa za habari za dakika mbili mpaka tano ni matusi! Hakuna la maana linalowafungua macho watu na kuwaelimisha. Kuna watu hapa JF...
 13. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Naelewa, na mimi nina utitiri wa maoni ya aina mbalimbali kuhusu matumizi ya mtandao Tanzania. Sababu zako nimezielewa... 1. Kuhusu vyombo vya habari, magazeti, redio na televisheni ndio vitu ambavyo vina nafasi kubwa Tanzania. Idadi ya watu wanaosoma magazeti Tanzania inaweza ikakadiriwa...
 14. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Ujue tukishaelewa na kukubali ukweli kuwa JF ni jamii fulani, basi mambo yatakuwa rahisi mno... Yaani, utajadili mambo hapa, lakini ukisafiri ukaenda Mwanga, Songea, Ifakara au Sumbawanga huko kuwaona wazee, basi utapata ile "perspective"; tusijifungie, tuchungulie Tanzania kwa ujumla...
 15. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Haya, angalia takwimu zifuatazo... Kweleakwelea, tafadhali nifahamishe 'proportion' ya wadini Tanzania, kwa kutumia vielelezo hapa JF au mitaani. Majimbo mangapi yalikuwa yanajadiliwa JF kwenye kipindi cha uchaguzi? Yanazidi 80? Ilikupa picha halisi ya mambo Tanzania kwa ujumla?
 16. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Haswaaa, Gurudumu. Nadhani wengi tunaelewa jinsi JF ilivyokuwa kabla ya vuguvugu la uchaguzi kuanza. Palikuwa pametulia na mara nyingi mtu ulikuwa unaondoka na kitu kinachofanya ufikirie. Sisemi kuwa lazima kila jamii au kikundi cha watu kiwe na watu wengi ambao wana hoja na fikra...
 17. S

  JF's impact on Tanzanian Politicts

  Gurudumu, shukrani kwa kuanzisha hii post; kusema ukweli, tathmini inahitajika ili JF kama chombo cha habari na jukwaa la mijadala kijue kinapoelekea. Bongolander, yaani umeakisi mawazo yangu. Niliandika makala fupi kuhusu matumizi ya vyombo na vyanzo vya habari kwenye mchakato wa Uchaguzi...
 18. S

  Hadithi - Mwendo ni kula raha

  Hii hadithi inatoka hapa: http://vijana.fm/tag/jicho-la-tatu/ "Mwendo ni Kula Raha" ni kisa kutoka kwa kijana anayeitwa Magirini; yaliyotokea tarehe 15 Novemba, 2002. ____________________________ Nilikuwa nasubiri kipindi hiki kwa udi na uvumba; baada ya mtihani wangu wa mwisho wa kidato cha...
 19. S

  Tunawasilisha TZelect: Chombo cha Ushahidi

  Sir R, Mara nyingi watu tumekuwa tukiwategemea waandishi wa habari kutupasha mambo yanayotokea kwenye sehemu mbalimbali. Lakini chombo kama hiki kinawapa watu wote uhuru wa kuripoti yoyote yale yanayotokea mitaani; kubadilishana taarifa n.k. Pia, yanayobandikwa kwenye tovuti yanaweza kuonwa...
 20. S

  Tunawasilisha TZelect: Chombo cha Ushahidi

  Moderators, naomba msaada wa kuweka "STICKY" kwenye hii post. Natanguliza shukrani za dhati.
Back
Top Bottom